kichina na kizuru
Duuuuuuuuuuuuuuuuu! hapo uniweza mama
ulivyoniambia kuwa lugha zote wazijua nilidhani hata lugha yangu ya kizuru utaijua kumbe sivyo best
my akanana Passion Lady nawewe hebu andika kichagga tuongee au kama huwezi andika kihaya.
Hii thread imenikumbusha Mamsera kwa Mwarabu. Jamaa anachoma mbuzi kiasi kwamba mbuzi wakimuana wanamwaga michozi. Nikiwa naelekea kwetu kuzuri lazima nisimame pale.
Karibuni kwetu Rombo. Kuna mtaa unaitwa Kiboro. Mi naupenda sana mtaa ule walahi..,
Yani chapchap sana Kaizer kuja pande hii tuangalie namna ya kwenda kufanya hija December.
niomba madhi ya kunwaa!!
What I hate about being a Chagga ni kutojua kiChagga...huwa najisikia am less of a Chagga kila wenzangu wakianza kukimwaga mitandaoni. Inabidi mitafute rafiki wa kike anayejua kiChagga nipige tuition! Am serious...
Haika mnu meeku,
Ngiirikiria na bana mkanga oru o Riwa
pole wewe,What I hate about being a Chagga ni kutojua kiChagga...huwa najisikia am less of a Chagga kila wenzangu wakianza kukimwaga mitandaoni. Inabidi mitafute rafiki wa kike anayejua kiChagga nipige tuition! Am serious...
​umeona eeeee!!!avache!!ha ha ha!
Endelea kutuenzi shemeji zako sie!
niomba madhi ya kunwaa!!
hivyo hivyo mradi tutonge na bajeti B'REAL!!hichi kipare au kichanga yetoniiiiiiiiiii
B'REAL shemeji yetu Passion Lady kaongea kipare, tena safiiii...hichi kipare au kichanga yetoniiiiiiiiiii
B'REAL shemeji yetu Passion Lady kaongea kipare, tena safiiii...