'Vyasaka' wamevamia..
Kibosho.... Ngiterewa muuda we nna!! Naomba maji ya kunywa
Ngikwendye muda we nna ma! kwifo kuda mayako ma ngikwendye wari na makundu
Mmmh...
heeee!!! kumbe na wewe ni mchaga? kiruu
Wanajificha wenzio,siku izi kujulikana mchaga ni fedheha tupu..
mchaga aliyeoza meno ndio mchaga halisi kama Matola,,,na wanakunywa viroba hatari sku izi ata mbege hawaitaki.
Mi nimekualika kwenye thread ya wenzako!
Halafu we unanitolea matusi!
Hii ndio desturi ya wauru wa kishumundu au??
Dady unamaniisha umesahau? makundu (ndizi mbivu)= amabhifu
Tuko ndakushaghania nashimo panu, kali mkujhobha chonicho?
Bhati Ileje nu Baba V mchimenye ichi kali chafuma kughu? ladyfurahia upiliike isi bhikujobha muno?
Ngikwendye muda we nna ma! kwifo kuda mayako ma ngikwendye wari na makundu
Umevamia banah! Hahahaaa. Kukakumyako huku kulukubhachaga.
Tuko ndakushaghania nashimo panu, kali mkujhobha chonicho?
Bhati Ileje nu Baba V mchimenye ichi kali chafuma kughu? ladyfurahia upiliike isi bhikujobha muno?