Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

Wanaendaga kuoga dawa kila mwisho wa mwaka tarhe 25 december to jan 1 pia hufanya matambiko na ibada za kichawi ili mizimu ya babu zao iwape utajiri na wakija humu jukwaani hujifanya wanaponda sana mambo ya waganga na kujifanya wao ni watu wa mungu na degree zao za hapa na pale
Mkuu thibitisha unayoyasema
 
Unaongea logical au upo emotional ni vizuri kwenye mada Kama hizi ukawa logically kuliko kutoa mambo as if Una uhakika.

Uchawi na mambo yasiyooneka yamewafanya watu wengi weusi Ku-stumble .

Kutoa sadaka ni swala la imani ya MTU na kusaidiana Kama binadamu .

Hakuna watu wanaroga Kama watu weusi na kutoa sadaka Ila still wapo chini hawana kitu
Mali inalindwa na nguvu isiyoonekana positive or negative!!

Huo ndio uhalisia!!

Kuna watu walikua top na walifanya kazi kufika hapo juu lakini kilichowatokea walirudi nyuma!!
 
Niseme tu kwanza mimi sio mchaga na wala sina unasaba wowote na kabila hilo ila kiukweli nahusudu sana mafanikio ya wanaotoka kabila hili na kuwaomba watuanikie siri ya mafanikio yao.

Maana kama hizi shule wote tunasoma nao shule hizihizi tena wengi wao wala hawana maajabu huko madarasani ila wenzetu hawa mkikutana miaka kadhaa baadaye unakuta wewe upo hapa yeye yupo kuleee.

Siri nini wakuu? wengine tunakosea wapi?
 
Mali inalindwa na nguvu isiyoonekana positive or negative!!

Huo ndio uhalisia!!

Kuna watu walikua top na walifanya kazi kufika hapo juu lakini kilichowatokea walirudi nyuma!!

Mimi naamini katika AKILI ndo huwa inaamua upande au ubaki chini.

Kuhusu spiritually , naamini kuwa unaweza kumiliki spiritually power Ila Kama haupo vizuri mentally still utaweza kuwa broke.

Binadamu kwa kutumia akili yake vizuri tayari anakuwa amemiliki hadhina kubwa ya kumiliki Mali.

Hii nguvu isiyoonekana haitokuwa na nguvu ikiwa mentally maana MTU kufirisika hukuna uhusiano na kitokuwa na hiyo nguvu.

Na mwisho universe ndo huwa naamini inamsapoti MTU ikiwa utatoa mambo chanya na yenyewe itakurudishia mambo chanya.

Ila uchawi
Kwenda kwa kanisani au msikitini kwa mganga hizi njia hazitoi matokeo
 
Niseme tu kwanza mimi sio mchaga na wala sina unasaba wowote na kabila hilo ila kiukweli nahusudu sana mafanikio ya wanaotoka kabila hili na kuwaomba watuanikie siri ya mafanikio yao.

Maana kama hizi shule wote tunasoma nao shule hizihizi tena wengi wao wala hawana maajabu huko madarasani ila wenzetu hawa mkikutana miaka kadhaa baadaye unakuta wewe upo hapa yeye yupo kuleee.

Siri nini wakuu? wengine tunakosea wapi?
Discipline ya Hela, Kujali Nyumbani kwetu (Wazazi) Kujituma, na Kusaidiana
 
Yap ukitaka kufanikiwa kama wachaga

1 take RISK na usiache fulsa.
2 Kuwa na nidhamu ya pesa.
3 Control your PENY(DICK) and STOMACH.
4.Achana na kukimbizana na wasichana stick na mwanamke mmoja Sahihi.

Habari za kusoma Mavitabu sijui RICH DAD POOL DAD katika mambo ya BIASHARA kwa wewe mtoto wa mkurima mtaji wa masikini ni nguvu zako mwenyewe vitakupotezea muda utaishia kuishi kwenye NDOTO tu na muda ymri unakwenda biashara ni kipaji kama huna kipaji usiwe mbishi ingia Field jifunze taratibu kwa waliopo kwenye game muda

Wachaga wanasimamia hizo falsafa hapo juu ndio mana wanafanikiwa
Wao wanainvest then wanakuja kuspend FAIDA hata kama itachukua miaka 10 kupata faida watasubiri tu kuliko kula bata msingi waje wakati hajafikia malengo yake
Ndo mana wanapenda SANA toyota enzi hizo TOYOTA STOUT zilikuwa za WACHAGA tu
Hili la kupenda vitu vinavyodumu hata mimi japo mzaramo ila wachaga wameniambukiza
Dadeki zao wachaga wao wanauza vitu feki lkn wenyewe wanatumia vitu OG mkataba
😂😂😂Eti wanauza feki wanatumia Org aisee
 
Mali Ina asili yake!!

Kuna Ile aliyopewa mfalme Suleiman Wala hakuhangaika kivile !

Na Kuna Ile ya shetani ambayo yesu aliambiwa amsujudie ndio apewe milki zote duniani!!

Inategemea ya kwako ni ipi na inalindwa na nani!!

Mungu au shetani!!
Hizo habari za mungu na shetani ni story tu , mkuu kuna watu hawaamini hayo mambo na wapo vizuri kiuchumi.
 
Sisi wachaga ni Utapeli hakuna zaid..
Kwa kiasi chake

Ila mimi binafsi naishi nafanya kazi na wachaga jamaa huwaambii kitu kwenye pesa

Ila naukubali utaratibu wao, "Ukioa mwanamke wa kichaga ikifika mwisho wa mwaka ule msimu wa sikukuu si huwa wanarudi kwao....mwanamke akienda kwao lazima ataulizwa mwaka huu mmefanikiwa kwenye jambo gani kubwa kimaendeleo akisema hakuna basi familia yake itavunja ndoa ila akisema lipo/yapo basi hapo mwanaume utaeleweka" haya nimeyajua baada ya kuwaambia na mimi nataka nioe mchaga

Wakaniambia, "hutaweza"

Maana pia mwanaume ukirudi kazini mwanamke anataka kujua umeingiza sh ngapi na pesa anasimamia yeye ili mfanye maendeleo

Nimejifunza mengi tu kwa hili kabila ila kubwa kuliko yote ni kuwa na nidhamu kwenye pesa
 
Niseme tu kwanza mimi sio mchaga na wala sina unasaba wowote na kabila hilo ila kiukweli nahusudu sana mafanikio ya wanaotoka kabila hili na kuwaomba watuanikie siri ya mafanikio yao.

Maana kama hizi shule wote tunasoma nao shule hizihizi tena wengi wao wala hawana maajabu huko madarasani ila wenzetu hawa mkikutana miaka kadhaa baadaye unakuta wewe upo hapa yeye yupo kuleee.

Siri nini wakuu? wengine tunakosea wapi?
Si mchaga but wana vitu viwili, Jicho la fursa and hardwork. Hawa watu wakipata upenyo wanautumia effectively, question is how unaupata au kuweza kuona fursa mahali ambapo wengine hawaioni
 
Back
Top Bottom