Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,168
Reaction score
8,977
Niseme tu kwanza mimi sio mchaga na wala sina unasaba wowote na kabila hilo ila kiukweli nahusudu sana mafanikio ya wanaotoka kabila hili na kuwaomba watuanikie siri ya mafanikio yao.

Maana kama hizi shule wote tunasoma nao shule hizihizi tena wengi wao wala hawana maajabu huko madarasani ila wenzetu hawa mkikutana miaka kadhaa baadaye unakuta wewe upo hapa yeye yupo kuleee.

Siri nini wakuu? wengine tunakosea wapi?
 
Kutokupenda mkekuu.
Elimu kwa mchaga inakuja baada ya Mungu!
Kusafiri ulaya na marekani.
Kupendana, ukiwakuta hata nje ya nchi, wao ni wa-moja.

Tajiri wa utalii juzi pale Arusha alikuwa akiongea na Makonda, kwa mwaka mapato yake ni karibu bilioni 32 na alisema pale na benki ana bilioni 91 na analipa kodi, lakini mwangalie yule Mrombo-ndio maana mtu akiambiwa bilionea wa kichaga huwa anabisha .

Kuchagua mke mchaga na asiye na makuu, huwezi kumjua mke wa Davis Mosha, shirima wa Precision Air, Garden Habash, na wachagga wengi ila makabila mengine mume akinunua tu hata IST lazma aende Clouds kutangaza.

Wanajituma sana alafu hawana aibu katika. Kupambana na maisha , kiukweli na Mimi japo siyo mchaga ila kwenye hivyo vipengele nawapa sifa

Ukimkuta mfugaji anajituma,Wapishi kwenye sherehe Yani catering wanajituma etc japo nao Wana madhaifu yao ambayo yanaitaji uvumilivu sana kustahimili
 
Moja kubwa kuliko yotee ni kumtangulizaa Mungu sana
Pili Kufanya kazi kwa badiii na kujitoaa sanaa
na kutokutegemeaa usaidizi kutoka popeye mkuuu.
Tatu Tukifika mjini tukijua wewe ni mchaga na unafanya kazi kwa bidii tutakushika mkonooo
Nne Hatuna unafiki hata kidogo unisadie unisadie kwelii ,ukishikwa mkono unashikika kwelii.
Tano Hatuamini Katika ushirikiana
 
Niseme tu kwanza mimi sio mchaga na wala sina unasaba wowote na kabila hilo ila kiukweli nahusudu sana mafanikio ya wanaotoka kabila hili na kuwaomba watuanikie siri ya mafanikio yao.

Maana kama hizi shule wote tunasoma nao shule hizihizi tena wengi wao wala hawana maajabu huko madarasani ila wenzetu hawa mkikutana miaka kadhaa baadaye unakuta wewe upo hapa yeye yupo kuleee.

Siri nini wakuu? wengine tunakosea wapi?
Kutokupenda mkakuu.
Elimu kwa mchaga inakuja baada ya Mungu.
Kusafiri ulaya na marekani.
Kupendana, ukiwaku hata nje ya nchi wao ni wamoja.
Kuna chembe chembe za ukweli kuhusu hoja hizi.
Lakini Kwa upande mwingine (dark side) ni kwamba wenzetu hawa wengi wao wanapenda Sana 'Madili ya Magendo.' Wanapenda Sana Sana Sana!
Mchagga na Magendo ni kama Samaki na Maji, huwezi kuvitenganisha halafu bado vikaendelea ku-exist.
 
Niseme tu kwanza mimi sio mchaga na wala sina unasaba wowote na kabila hilo ila kiukweli nahusudu sana mafanikio ya wanaotoka kabila hili na kuwaomba watuanikie siri ya mafanikio yao.

Maana kama hizi shule wote tunasoma nao shule hizihizi tena wengi wao wala hawana maajabu huko madarasani ila wenzetu hawa mkikutana miaka kadhaa baadaye unakuta wewe upo hapa yeye yupo kuleee.

Siri nini wakuu? wengine tunakosea wapi?
Mkuu mafanikio ya wachagga ni yapi mimi niko hapa kilimanjaro sioni tofauti yake na Mwanza au mbeya, elezea mafanikio yao ni yapi?
 
Kuna chembe chembe za ukweli kuhusu hoja hizi.
Lakini Kwa upande mwingine (dark side) ni kwamba wenzetu hawa wengi wao wanapenda Sana 'Madili ya Magendo.' Wanapenda Sana Sana Sana!
Magendo ni kila mtu tabia yake.
CAG report imejaa wachaga ama nchi nzima kwa maeneo yanayokaguliwa?

Rest assured, ukianza kuwaza mwenzio kafanikiwa kutokana na uchawi ama magendo ujue ni roho ya kimaskini, pambana uondoe umaskini familiani mwako na ukoo badala ya kulalamika sistaa.
Kesi za uhujumu uchumi na wasafirisha waethiopia wanaokamatwa na am -v8 kila siku ni WACHAGGA?
Halsmshauri ya Moshi, Arusha ufisadi unaofanyika hao wakurugenzi ni Wachagga?
Haow wakuu mikoa ni wachagga?
 
Magendo ni kila mtu tabia yake.
CAG report imejaa wachaga ama nchi nzima kwa maeneo yanayokaguliwa?

Rest assured, ukianza kuwaza mwenzio kafanikiwa kutokana na uchawi ama magendo ujue ni roho ya kimaskini, pambana uonfoe umaskini familiani mwako na ukoo badala ya kulalamika bro.
Nimeongea hayo nikiwa na 'Case studies' nyingi sana za kuwahusu, sijakurupuka.
Sijalalamika bali Nimeongea kitu ambacho ni cha kweli kipo na halisia.

Ni ukweli mchungu sana kuhusiana na Wachagga.
 
Niseme tu kwanza mimi sio mchaga na wala sina unasaba wowote na kabila hilo ila kiukweli nahusudu sana mafanikio ya wanaotoka kabila hili na kuwaomba watuanikie siri ya mafanikio yao.

Maana kama hizi shule wote tunasoma nao shule hizihizi tena wengi wao wala hawana maajabu huko madarasani ila wenzetu hawa mkikutana miaka kadhaa baadaye unakuta wewe upo hapa yeye yupo kuleee.

Siri nini wakuu? wengine tunakosea wapi?
Wako vzuri mno,mimi siyo mchaga ila I wish niolewe uchagani
 
Back
Top Bottom