Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

Mkuu mafanikio ya wachaga huwezi kuyaona vizuri Eneo moja nenda huko huko Mwanza na MBEYA utawakuta haswa kwenye makanisa yao ya kkt
Ujaribu kuwachunguza vizuri
Kwani makabila mengine huko unako sema hayapo? Mbona watanzania wengi wsnezaga kila mkoa wapemba kila sehemu wapo na wanapesa, wahaya wanyekusa nk
 
Niseme tu kwanza mimi sio mchaga na wala sina unasaba wowote na kabila hilo ila kiukweli nahusudu sana mafanikio ya wanaotoka kabila hili na kuwaomba watuanikie siri ya mafanikio yao.

Maana kama hizi shule wote tunasoma nao shule hizihizi tena wengi wao wala hawana maajabu huko madarasani ila wenzetu hawa mkikutana miaka kadhaa baadaye unakuta wewe upo hapa yeye yupo kuleee.

Siri nini wakuu? wengine tunakosea wapi?
Kwani Makonda mchaga?
 
Hawa jamaa wamewajaza ndugu zao daharini sana,pia kibosho na rombo kila nyumba inakichaa.usitamani mafanikio ya mtu..pambana na uangali kupitia Mungu utafanikiwa vip katika maleengo yako ila bidii na kujiongeza inamashiko sana katika mafanikio
Umeongea kweli hawa jamaa wanatoana sana kafara mm nipo rombo machizi ni wengi sana ukiuliza kwanini unaambiwa mambo ya utajiri
 
Wabongo wanapenda sifa tu! Hao Wachaga hawana tofauti na makabila mengine sifa tu ndo zimewazidi!
Jamaa ni kweli wamepiga hatua ila Kuzidiwa kunaumiza sana maana wengine tunaonekana mambumbumbu tunashidwa kuwakubali lazima tuoneshe kutowakubali kibishi ili kujimwambafy kidogo 😇
 
Ni kweli wako bele,nilipita Machame ndanii hukoo nilishangaa sana kuona hakuna nyumba ya nyasi Wala tembe...mara magorofa mapolini mwa migomba.

1.Hawaoneani nongwa kwenye harakati za utafutaji hususani wanafamilia,Jamii zingine ukipata Million kumi akazijua kaka mtu,mjomba,shangazi atataka umsomeshee wanae kumi...ukikaidi Vita.

2.Kujitambua,wanavupaombele sahihi kwenye maisha Yao...Mfano wakipata pesa wanawekeza iwape pesa zaidi.Jamii nyingi mtu anapambana saana akipata Million 5 anahama kimalengo Mademu sana,Bia club na accessories buying,au familia nzima inaanza change mke hataki tena ugari dagaa. Mwisho wa siku umaskini unarudii haswa!
 
Wanaitana, mimi nimefanya kazi namanyere, akija mchaga mmoja kufungua duka , akiona biashara nzuri anaita na wenzake, kamji kapo mpakana. na Congo ila unakuta ni akina Mushi, Mongy, Mosha, Kimario, Kessy, Kimei yaani hawa jamaa huku kwetu tunawaita "wayahudi"
Tabia nzuri. Sio unakutana na fursa unatamani wengine wasiifahamu.
 
😊
Sweetheart, mimi jina langu halipo kwenye vitabu vya ukoo kule Marangu...

Tutapandisha tu wote mlimani ikifika Disemba...

Ile supu ya asubuhi wataka kunywa mwenyewe mama?
Acha niende nikaongee na wazee wa wazee wangu bila kuogopa your sweet but judgemental eyes.

Supu ntakutumia huko huko mjini.
 
Niseme tu kwanza mimi sio mchaga na wala sina unasaba wowote na kabila hilo ila kiukweli nahusudu sana mafanikio ya wanaotoka kabila hili na kuwaomba watuanikie siri ya mafanikio yao.

Maana kama hizi shule wote tunasoma nao shule hizihizi tena wengi wao wala hawana maajabu huko madarasani ila wenzetu hawa mkikutana miaka kadhaa baadaye unakuta wewe upo hapa yeye yupo kuleee.

Siri nini wakuu? wengine tunakosea wapi?
Njoo uolewe. Huwa mnaolewa kirahisi
 
Back
Top Bottom