Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

Wanaendaga kuoga dawa kila mwisho wa mwaka tarhe 25 december to jan 1 pia hufanya matambiko na ibada za kichawi ili mizimu ya babu zao iwape utajiri na wakija humu jukwaani hujifanya wanaponda sana mambo ya waganga na kujifanya wao ni watu wa mungu na degree zao za hapa na pale
 
Niseme tu kwanza mimi sio mchaga na wala sina unasaba wowote na kabila hilo ila kiukweli nahusudu sana mafanikio ya wanaotoka kabila hili na kuwaomba watuanikie siri ya mafanikio yao.

Maana kama hizi shule wote tunasoma nao shule hizihizi tena wengi wao wala hawana maajabu huko madarasani ila wenzetu hawa mkikutana miaka kadhaa baadaye unakuta wewe upo hapa yeye yupo kuleee.

Siri nini wakuu? wengine tunakosea wapi?
kuhangaika
 
Hayo matambiko ndio asili yetu wachaga walio yaacha hawana lolote chunguza
Mali nyingi zinatoka chini kuzimu Kwa mizimu na wafu,uchinjaji was Mbuzi no sehem ya ibada ya kuunganishwa na miungu ya ukoo!!

Utajiri was Mungu was kweli ni pale unapotoa zaka na sadaka kama hufanyi hayo mawili sahau utajiri na kufanikiwa!
 
Ni
Tia nyama kidogo mkuu mkuu ..nidhamu ya pesa ni kufanya nini na nini na kuacha nini?

Nidhamu ya PESA ni kuwa na kiasi katika kipato chako unachopata ah unachoingiza kupitia katika biashara yako, kazi n.k

Ili kufika hatua ya kuwa na nidhamu ya pesa huenda sambamba na kujinyima starehe za muda mfupi Kama 👇🏾

@ Pombe
@ Bangi, sigara
@ wanawake ,kuhonga PESA n.k
@ mitoko ya weekend , party n.k
@ kukaa mbali na liabilities

Baada ya hapo hela utakayofanikiwa kuipata utaweka AKIBA then utaangalia wapi uendelee kufanya uwekezaji

Nb kuwa na nadhamu ya pesa hutegemea zaidi na kiwango chako cha kuzikabili hisia zako na za watu wengine Emotional intelligence.
 
ASante sana dokta, sasa shemeji zangu wasukuma na Wazarmo waipite hii kama wanaaga.!
 
Mchaga ata afanye kazi kweny taasi gani Ni Ngumu kuacha kufanya Biashara ata alipwe milioni 200 kwa mwezi Biashara lazima afanye na ata kama hajui atatfta Namna ya kujifunza mim kwa hilo nawapongeza sana jamaa wana passion sana na Biashara
Nimejifunza pia kwao.
Sisi "wakonongwa" tukiolewa tu, na kuajiriwa serikalini tunategemea mwisho wa mwei, mchaga atafuga, atauza maandazi na korosho na bado ana mshahara.
 
Mali nyingi zinatoka chini kuzimu Kwa mizimu na wafu,uchinjaji was Mbuzi no sehem ya ibada ya kuunganishwa na miungu ya ukoo!!

Utajiri was Mungu was kweli ni pale unapotoa zaka na sadaka kama hufanyi hayo mawili sahau utajiri na kufanikiwa!
wao huwa hawapendi hii siri watu waijue mfano angalia comment zao wanakuambia nidhamu ya pesa na mungu ila ukiwauliza kila mwisho wa mwaka wanaendaga kufanya nini huko kilimanjaro hawatakupa jibu watakudanganya eti wanaendaga kuhesabiwa kama huamini muulize huyo bwana hapo juu uone kama atakwambia wanaendaga kufanya nini
 
Ni

Nidhamu ya PESA ni kuwa na kiasi katika kipato chako unachopata ah unachoingiza kupitia katika biashara yako, kazi n.k

Ili kufika hatua ya kuwa na nidhamu ya pesa huenda sambamba na kujinyima starehe za muda mfupi Kama 👇🏾

@ Pombe
@ Bangi, sigara
@ wanawake ,kuhonga PESA n.k
@ mitoko ya weekend , party n.k
@ kukaa mbali na liabilities

Baada ya hapo hela utakayofanikiwa kuipata utaweka AKIBA then utaangalia wapi uendelee kufanya uwekezaji

Nb kuwa na nadhamu ya pesa hutegemea zaidi na kiwango chako cha kuzikabili hisia zako na za watu wengine Emotional intelligence.
Nidhamu ya pesa itakufanya uwe na fedha TU lakini sio utajiri was kudumu!!

Fedha lazima ilindwe na sadaka aidha sadaka Kwa mizimu au kwa mungu!

Bila ulinzi was aina hiyo,fedha itakimbia Kwa njia ya magonjwa ,hasara,utapeli,majanga na n.k!!

Waambieni watu ukweli msiwadanganye mkuu!!

Nidhamu bila ulinzi ni kazi Bure!!

Unafikiri zile za Benki pale hazilindwi na sadaka Kwa mizimu !!?
 
Nimejifunza pia kwao.
Sisi "wakonongwa" tukiolewa tu, na kuajiriwa serikalini tunategemea mwisho wa mwei, mchaga atafuga, atauza maandazi na korosho na bado ana mshahara.
watu uwa tunapenda kuwajengea chuki badala tutafte namna ya kujifunza kutoka kwao mchaga unaweza kuta anafanya kazi ya boda boda karikoo ila ukikaa naye chini usikilize ndoto zake utasikia nataka ni miliki mashamba heka 50 nifuge nguruwe.nikipata milioni 100 naenda kununua miparachi Njombe yani ata kabla hajapata hela anakua tayari ana Ndoto kubwa kichwani mwake tofauti na sis wengine mtu anasuburi apate milioni 100 ndio awe na plan
 
wao huwa hawapendi hii siri watu waijue mfano angalia comment zao wanakuambia nidhamu ya pesa na mungu ila ukiwauliza kila mwisho wa mwaka wanaendaga kufanya nini huko kilimanjaro hawatakupa jibu watakudanganya eti wanaendaga kuhesabiwa kama huamini muulize huyo bwana hapo juu uone kama atakwambia wanaendaga kufanya nini
Japo hizo mila hazina maana yoyote kwako ila ndio asili ya mchaga wazungu walivyokuja wakawadanganyeni mila zenu za asili ushirikina.
 
Nidhamu ya pesa itakufanya uwe na fedha TU lakini sio utajiri was kudumu!!

Fedha lazima ilindwe na sadaka aidha sadaka Kwa mizimu au kwa mungu!

Bila ulinzi was aina hiyo,fedha itakimbia Kwa njia ya magonjwa ,hasara,utapeli,majanga na n.k!!

Waambieni watu ukweli msiwadanganye mkuu!!

Nidhamu bila ulinzi ni kazi Bure!!

Unafikiri zile za Benki pale hazilindwi na sadaka Kwa mizimu !!?

Unaongea logical au upo emotional ni vizuri kwenye mada Kama hizi ukawa logically kuliko kutoa mambo as if Una uhakika.

Uchawi na mambo yasiyooneka yamewafanya watu wengi weusi Ku-stumble .

Kutoa sadaka ni swala la imani ya MTU na kusaidiana Kama binadamu .

Hakuna watu wanaroga Kama watu weusi na kutoa sadaka Ila still wapo chini hawana kitu
 
Back
Top Bottom