sinamvuto
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 528
- 899
Siri ya utajiri ni ubahili!!Wachaga hawana lolote, ni wajanja mdomoni tu. Kingine mabahiri kinoma hayo majamaa
Siri ya utajiri ni ubahili!!Wachaga hawana lolote, ni wajanja mdomoni tu. Kingine mabahiri kinoma hayo majamaa
Uliona wapi mkuu? Huwa hatuna mambo ya kishirikina.Hapa umetushika masikio...
Matambiko na zile mishemishe za kuongea makaburini mkirudi migombani huwa unaona jambo la kawaida sio?
Sio lazma uwe bahiri, kuwa tajiriSiri ya utajiri ni ubahili!!
Toa basi hints za kutapeli na sisi tukazitumie tutoke mkuu.Sisi wachaga ni Utapeli hakuna zaid..
Mimi naishi Dar kila siku nakutana na vichaa wazaramo na wandengereko mbona ndugu zao hawana kitu?Hawa jamaa wamewajaza ndugu zao daharini sana,pia kibosho na rombo kila nyumba inakichaa.usitamani mafanikio ya mtu..pambana na uangali kupitia Mungu utafanikiwa vip katika maleengo yako ila bidii na kujiongeza inamashiko sana katika mafanikio
Kwahiyo , uliripoti polisi, pccb, TISS nk?Nimeongea hayo nikiwa na 'Case studies' nyingi sana za kuwahusu, sijakurupuka.
Sijalalamika bali Nimeongea kitu ambacho ni cha kweli kipo na halisia.
Ni ukweli mchungu sana kuhusiana na Wachagga.
WAsukuma mtakufa kwa kuonea wachaga wivu badala ya akusomesha na kaucha ndoa za utotoni.Sisi wachaga ni Utapeli hakuna zaid..
[emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu mafanikio ya wachagga ni yapi mimi niko hapa kilimanjaro sioni tofauti yake na Mwanza au mbeya, elezea mafanikio yao ni yapi?
Yap ukitaka kufanikiwa kama wachagaNidhamu ya PESA
Maisha huwa yanwapendelea watu wenye self control Sana
Upo njooro ya Pepsi au Njoro ya Dobi?Mkuu mafanikio ya wachagga ni yapi mimi niko hapa kilimanjaro sioni tofauti yake na Mwanza au mbeya, elezea mafanikio yao ni yapi?
Tia nyama kidogo mkuu mkuu ..nidhamu ya pesa ni kufanya nini na nini na kuacha nini?Yah , watu wanaweza kusema mambo mengi ,Kama kukwepa kodi, magendo, wizi, n.k
Ila kitakachobeba mambo yote bado itakuwa nidhamu ya PESA.
So nidhamu ya PESA ndo imeshikilia uchumi wa MTU mmoja mmoja .
Wachaga wengi Wana elimu ya pesa huu ndio msingi
Kwel unakuta watoto wadogo wanashindana nani ana sungura nyingi.cha kwanza wanavipaji vikubwa sana kweny masuala ya fedha na uwekezaji mchaga anaweza aka ishia darasa la nne ila akili ya fedha na uwekezaji alinayo ata mtu wa chuo kikuu anaweza asimguse pili wachaga ni watu ambao hawachi furusa iwapitie haijarishe iyo fursa wanauwahika ita tiki au haita tiki wenyewe ni watu wakujaribu kama unabisha weka apa Tangazo la fursa ya Biashara na ajira uwone wachaga utakao wapata ila kuna watu wata comment uwongo na utapeli ila wachaga watakufwa pm nazani wachaga pia wanandaliwa toka wakiwa wadogo wawe wapambanaji kweny kutafta fursa cha mwisho kabisa wachaga hawachi tamaduni zao never and ever