mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,502
Moja ya kitu wanachopatia ni kukumbuka nyumbani na kutosahau elimu.
Kwahilo wanastahili pongezi.
Kweli mkuu, wengi wamesoma na kama unakuta ambaye hajasoma ni street smart unakuta ni entepreneur wa ukweli anaijua market vibaya mno na hana hata degree ya uchumi
Nyie wa kuja ndo hamjui! Sisi tunajua! Walioko huku Kilimanjaro tunajua kuwa wengi hukodisha hayo mnayoyaita ma range na nini sijui! Ngoja lipate ajali ndo utajua lake ama vipi!
Sababu nyingine ninayoiona wengi wanakuja kutambiana na kuchapana bakora za macho na moyoni.
Nyie wa kuja ndo hamjui! Sisi tunajua! Walioko huku Kilimanjaro tunajua kuwa wengi hukodisha hayo mnayoyaita ma range na nini sijui! Ngoja lipate ajali ndo utajua lake ama vipi!
Wakati wengine wakishindana kuoa wake wengi sie tunashindana kufanya maendeleo kama hivyo
hahaha, na bado. subiri xmass ijayo utashangaa zaidi ya hapo. big up chaggaz
Mbona kawaida sana, your welcome...
thank u mkuu bado sijavuta yangu........ kwetu heshima hela aiseee....
Hatareee kaka mimi hapa boss wangu ni mkazi wa South Africa ila amenipigia simu amefikia hotel ya kilemakyaro huku huku moshi, hadi yeye ame'appreciate kwamba wachaga wameendeleaa