Wachaga na stout.

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,638
4,524



Kuna simulizi zinasema kwamba zamani wazee wa Kichaga walikuwa hawamtoi binti mpaka mume mtarajiwa atoe Toyota Stout. Hivi habari hizi ni za kweli?
 



Kuna simulizi zinasema kwamba zamani wazee wa Kichaga walikuwa hawamtoi binti mpaka mume mtarajiwa atoe Toyota Stout. Hivi habari hizi ni za kweli?

kila katika Toyota stout 10, unazoziona barabarani basi walau 8 ni za WACHAGA!
 
Unajua stout zamani zilikuwa ndiyo gari zakubeba mbege na abiria!!then zikaja hilux mashavu kamaunakumbuka!!sikuhizi stout hazitengenezwi!!!
 
Au coz ni gari za kazi. 6 days mon-sat inabeba nyasi, pumba ndz na mbege sun ndo inatumika kifamili kupeleka familia church!
 
jmani wazazi walikuwa wanataka kuonyesha tu ni jinsi gani wanavyowajali watoto wao, inabidi waangalie kwa makini huko aendako je atapata shida/raha kiasi gani..... ni hayo tu:tape:
 



Kuna simulizi zinasema kwamba zamani wazee wa Kichaga walikuwa hawamtoi binti mpaka mume mtarajiwa atoe Toyota Stout. Hivi habari hizi ni za kweli?
Kwani kuna ubaya kutoa asante kwa wazee kama umepata kitu cha ukweli???:bowl:Nwyz haikua lazima ila ni makubaliano tu!!!:yield:
 
Jamani hivi kuweka picha huku jamvini ikoje kama ilivyowekwa hii pickup maana nina picha zangu utaalamu wa kuweka humu zimenishinda
 
Ukifika kuchumbia, Mzee anakuuliza:

Mkwe: Utiree nyumba ya mawe?
Kijana: Oteee...........

Mkwe: Utiree Radio ya Picha.... (TV)
Kijana: Otee....

Mkwe: Utiree ng'umba ya Mareli (ng'ombe wa maziwa)
Kijana: Otee....

Mkwe: Utiree kabati ya Mbeho? (Friji)
Kijana: Otee

Mkwe: Utiree toyota Staout?
Kijana: Otee...

Mkwe: Chukua binti yangu ... (Haijalishi umri, kibaka, jambazi, Ladies Boxer, hata nani sijui ................)

NB: Ninaweza kuwa nimekosea Spelling ya maneno ya Kichaga (Mezeeni).

Miaka ya 80 na 90 mwanzoni, walikuwa wakitesa na Peogeout 504

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…