Wachaga na stout.

jamani tumesemwa sana basi sasa yatoshaaaaaaaaaaaaa.......mwehhhh

I agree with you, nimeamini mti wenye matunda ndio unarushiwa mawe, kwa nini wachaga kila siku, anyway sasa hivi tunatumia Hilux double cabin (multi-purpose), shambani, bar, ofisini kila mahali, semeni hadi mchoke, kuhusu kuoa, stout haipo kwenye list ya mahari za kichaga, sasa mmetoa wapi? suala la kuangalia uwezo wa familia ya mtoto anakoenda ni kwa kila mzazi, mnajua kila mzazi anapenda kuona mwanae anaishi maisha mazuri... got it people!!?
 
watu mko wakorofi sana ..duh..:doh:
Ukifika kuchumbia, Mzee anakuuliza:

Mkwe: Utiree nyumba ya mawe?
Kijana: Oteee...........

Mkwe: Utiree Radio ya Picha.... (TV)
Kijana: Otee....

Mkwe: Utiree ng'umba ya Mareli (ng'ombe wa maziwa)
Kijana: Otee....

Mkwe: Utiree kabati ya Mbeho? (Friji)
Kijana: Otee

Mkwe: Utiree toyota Staout?
Kijana: Otee...

Mkwe: Chukua binti yangu ... (Haijalishi umri, kibaka, jambazi, Ladies Boxer, hata nani sijui ................)

NB: Ninaweza kuwa nimekosea Spelling ya maneno ya Kichaga (Mezeeni).

Miaka ya 80 na 90 mwanzoni, walikuwa wakitesa na Peogeout 504

22415449_56632fda6d.jpg
 
Back
Top Bottom