St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,637
- 4,521
Kuna simulizi zinasema kwamba zamani wazee wa Kichaga walikuwa hawamtoi binti mpaka mume mtarajiwa atoe Toyota Stout. Hivi habari hizi ni za kweli?

jamani tumesemwa sana basi sasa yatoshaaaaaaaaaaaaa.......mwehhhh
wewe mbona mbishi ivo???Si kweli hadithi tu
we tulia kabisa sio mcahaga mana umeongea KIHEHEjamani tumesemwa sana basi sasa yatoshaaaaaaaaaaaaa.......mwehhhh
yakubebea mbege mkuu au ?
Kwani kuna ubaya kutoa asante kwa wazee kama umepata kitu cha ukweli???:bowl:Nwyz haikua lazima ila ni makubaliano tu!!!:yield: