Wachaga hangaikieni mlima wenu

Wao akili yao ni mbege na CDM, huo mlima hawana hata habari nao

Omr siamini kama ni wewe unatoa haya maneno ambayo ni ya jumla sana eti "AKILI" ya Wachagga ni Mbege na CDM? Hili ni tusi kubwa ambalo kwa hakika tungejua uko wapi sasa hivi tungetuma vijana wakusake ili uthibitishe maneno yako ya kishenzi.

Mlima Kilimanjaro siyo mali ya Wachagga ni maliasili ya Taifa na ndio maana mapato yote yanayopatikana pale yahusuyo utalii yanagawiwa nchi nzima kwa manufaa ya kila mtanzania. Hivi leo wachagga wakisema Kilimanjaro yao, Wamasai na wasonjo waseme ngorongoro yao, wasukuma waseme Serengeti yao, wameru waseme Meru yao n.k hii nchi ingekalika wapi? je wewe ungekuwa hapo ulipo? Unaonyesha ni jinsi gani akili yako imejaa magamba kiasi cha kutoshindwa kuchambua mambo.

Kitendo cha kuwatukana Wachagga kimeniudhi sana na unatakiwa uombe radhi kwani nakwambia hata ungekuwa hapa Arusha tungekutafuta utueleze ni kwa vipi akili zetu ni Mbege. Kuna madaktari na wataalam wengi wa Kichagga wamekusaidia kufika pamoja na wataalam waliotoa mchango wao mkubwa katika maendeleo ya nchi hii ina maana walitumia mbege hao?
 
Umesahau pia sifa zingine : ni mkoa wenye majambazi wengi kuliko kote TZ. Mkoa unao ongoza kwa biashara za magendo, ni mkoa unao ongoza kwa vijana wala msuba.

Mbona matukio ya ujambazi Moshi ni kama hamna ukilinganisha na Tanga, Dar na Mbeya. Waliokuwa majambazi walitumia zile hela kusomesha watoto na kwa sasa imebaki historia. Wewe omr akili zako bado ni za enzi ya akina abushiri kasome updated data za kilimanjaro vizuri na pia mtafute OCD wa wilaya zote wakupe data za miaka kama 10 iliyopita ili uone ulivyo mweupe kichwani.
 
Umesahau pia sifa zingine : ni mkoa wenye majambazi wengi kuliko kote TZ. Mkoa unao ongoza kwa biashara za magendo, ni mkoa unao ongoza kwa vijana wala msuba.

kumbe unafahamu hata wewe ulipatikana wakati
bi mkubwa anapitisha magendo kwenda kuuza kule holili.
 
Omr siamini kama ni wewe unatoa haya maneno ambayo ni ya jumla sana eti "AKILI" ya Wachagga ni Mbege na CDM? Hili ni tusi kubwa ambalo kwa hakika tungejua uko wapi sasa hivi tungetuma vijana wakusake ili uthibitishe maneno yako ya kishenzi.

Mlima Kilimanjaro siyo mali ya Wachagga ni maliasili ya Taifa na ndio maana mapato yote yanayopatikana pale yahusuyo utalii yanagawiwa nchi nzima kwa manufaa ya kila mtanzania. Hivi leo wachagga wakisema Kilimanjaro yao, Wamasai na wasonjo waseme ngorongoro yao, wasukuma waseme Serengeti yao, wameru waseme Meru yao n.k hii nchi ingekalika wapi? je wewe ungekuwa hapo ulipo? Unaonyesha ni jinsi gani akili yako imejaa magamba kiasi cha kutoshindwa kuchambua mambo.

Kitendo cha kuwatukana Wachagga kimeniudhi sana na unatakiwa uombe radhi kwani nakwambia hata ungekuwa hapa Arusha tungekutafuta utueleze ni kwa vipi akili zetu ni Mbege. Kuna madaktari na wataalam wengi wa Kichagga wamekusaidia kufika pamoja na wataalam waliotoa mchango wao mkubwa katika maendeleo ya nchi hii ina maana walitumia mbege hao?
Niko Maswa, mpigie yule mangi hapa sokoni anitafute. Nyie tunajua kuwa hampendi kuambiwa ukweli na hii ndio sababu kubwa ya CDM kuonekana chama cha kipuuzi.
 
sitaki kufanya kitu chochote kinachohamasishwa na hawa wezi. Wametorosha wanyama hadi magogo? Wanatuambia tupigie kura huu mlima ili waendelee kuneemeka wao? Ni bora wafaidi wakenya ambao hata bidhaa wanatengeneza na kutuuzia kuliko haya madudu-watu yanayojali matumbo yao na malaya zao. Acha wakenya waupigie kampeni na waupigie kura

Tena umenikumbusha kuwa anayetangaza lile Tangazo ni Rais mstaafu Mzee Mwinyi, na ni yuleyule aliyeuza Loliondo kwa mwana wa mfalme wa Saudia wakati akiwa serikalini,na mwandishi wa habari alipofuatilia wakaua...hatunaye tena, leo huyo huyo Mwinyi anawapigia pande mafisadi ili waendelee kutuumiza...mie naona bora tukose
 
kama ni wa wachaga mbona viongozi wa wizara husika wameususa?hivi kuna wachaga pale wizarani?
 
Na wewe ni Mchagga? Au umeoa Uchaggani?

Wewe hivi hujui kuwa wachaga hawapendi dada zao waolewe na kabila jingine, lakini kama una uwezo wa pesa au mwanachama wa CDM basi unapewa mke.
 
Wao akili yao ni mbege na CDM, huo mlima hawana hata habari nao

Mods: Kipi bora? Hii post iondolewe au Iendelee kukaa hapa isababishe watu wapate ban?

Humuoni kama inatudhalilisha sisi Wachagga?

Hivi hakuna jema sisi wachagga tumeifanyia Nchi hii Mpaka tudharaulike Kiasi hiki?

Ni mkoa upo Tanzania utaenda ukose Mchagga?

Sipati picha Serikali ikisema Wachagga wote warudi kwao kilimanjaro.

Unaambiwa ukienda mkoa wowote ukakosa Mchagga basi hiyo siyo sehemu ya kuishi.
 
We bibie usitake kulalamika bila sababu, kwani ni uongo kwamba nyie ni wapenzi wa mbege? Na kwani uongo kuwa CDM kwao ni kwa kina mangi?
 
hivi kwa nini haipiti week bila post kuhusu wachaga kuletwa hapa?
 
Unazungumzia wachaga wa wapi aisee mekuu...tumia akili basi kufikiri na sio tope. hizo tuu ndo kasoro zao ulizoziona?

Wao akili yao ni mbege na CDM, huo mlima hawana hata habari nao
 
Wao akili yao ni mbege na CDM, huo mlima hawana hata habari nao
Nenda pale benk kuu nenda hazina,nenda muhimbili nenda vyuo vyote vya elimu ya juu ,ndio utajua faida ya kunywa mbege
 
Back
Top Bottom