Wachaga hangaikieni mlima wenu

Kwa mfumo wa kupiga kuta online Mt Kilimanjaro utabwagwa vibaya sana na Table Mountain ya SA. Wenzetu wako mbali sana na suala la online voting na wako wengi. Wameanza kampeni toka 2007. But ukweli utabaki kuwa Kili yetu muzuri sana.
 
wizara imewasusia kuhamasisha watanzania kupigia kura mlima
wakuu wachaga mnasemaje kwenye hilo>?mnakubali wizara na waziri wake wawafanyie hivyo?
chezeni wenyewe kwa sababu mnaweza,tunawakubali
msikubali hii chance adimu iwatoke

Huu mlima si wa wachaga tu........hata sisi wamatumbi wa kusini mlima ni wetu...... hata wamanyema na wafipa na waha na wahangaza nao ni wao....huu ni mlima wa wote......
 
halazimishwi mtu kupiga kura kama vipi mnaweza potezea au msubiri bss mpige kura
 
Wao akili yao ni mbege na CDM, huo mlima hawana hata habari nao

nyie waswahili mtaendelea kucheza bao na kupiga miayo kutwa, pale moshi na vitongoji vyake vijana na watu wote wapo busy na utalii wakiongozwa na mh. Ndesamburo aka Ndesa pesa, vijana wanawapandisha wazungu mlima kilimanjaro wanpiga pesa tena in US$ , Makampuni ya kukodisha magari yanapata kazi throughout tourism seasons, wafanyabiashara wenye mahoteli wanapiga pesa mbaya sana, wenye maduka ya bidhaa (retails and mini supermarket) wanapiga hela, wafanyabiashara ndogo ndogo pia wana kama sokoni nao wananufaika, mji wa moshi ni msafi na uliopangika kuliko miji yote tanzania, mbege ni kinywaji cha kimila na inaheshima kuliko hata ghahawa na kashata,

kikubwa zaidi watu wasichofahamu kuhusu mlima kilimanjaro ni kwamba, ile volcano iliyotoka kwenye mlima ule ndiyo iliyotoa udongo wa volcano ambao ndio udongo bora kwa zao la kahawa, hebu jiulize kwanini mkoa huu kati ya mikoa midogo Tanzania lakini ina shule nyingi za sekondari kuliko mikoa yote Tanzania, straight forward hii ni matokeo ya uchumi bora unaotokana na zao la kahawa na mlima kilimanjaro pamoja na zawadi mungu aliyowapa wachaga ya kuwa aggressive in business

mswahili unalalama lalama tuu, kazi hamtaki kufanya ni ufitini tuu,

bakini na njaa zenu

wachaga kanyaga twende
 
Umesahau pia sifa zingine : ni mkoa wenye majambazi wengi kuliko kote TZ. Mkoa unao ongoza kwa biashara za magendo, ni mkoa unao ongoza kwa vijana wala msuba.
 
Umesahau pia sifa zingine : ni mkoa wenye majambazi wengi kuliko kote TZ. Mkoa unao ongoza kwa biashara za magendo, ni mkoa unao ongoza kwa vijana wala msuba.

mswahilina! afadhali umekiri

ila usipende kuandika upuuzi kila wakati, fanya kazi ufitini utakulemaza, pilau za bure na mafuso ndiyo yamewaingiza tamaa mkafunga ndoa na ccm
 
mswahilina! afadhali umekiri

ila usipende kuandika upuuzi kila wakati, fanya kazi ufitini utakulemaza, pilau za bure na mafuso ndiyo yamewaingiza tamaa mkafunga ndoa na ccm
CUF na nyie wala hamna tofauti, wote mtaolewa na CCM halafu tutawatoa kwenye udini na ukabila wenu
 
@ omr . .... wewe mswahili,

whichever you are, time is closing down, i can read from your facade you are suffering from fear and worry

a regime of oppression and suppression is getting close to an end

no more gunpoint democracy come 2015

hivi wewe hujashtuka, mabosi zako wanakwapua kifisadi na wala hawapo humu jf, wewe umekalia kubwabwaja, wewe na njaa zako ndiyo kutwa majasho yanakutoka humu jf ukitetea uovu, nakushauri kula pilau za mwisho mwisho we mswahili,
 
wewe mswahili,

whichever you are, time is closing down, i can read from your facade you are suffering from fear and worry

a regime of oppression and suppression is getting close to an end

no more gunpoint democracy come 2015

hivi wewe hujashtuka, mabosi zako wanakwapua kifisadi na wala hawapmo humu jf kubwabwaja, wew na njaa zako ndiyo kutwa majasho yankutoka humu jf ukitetea uovu, nakushauri kula pilau za mwisho mwisho we mswahili,
Msema kweli ni sanduku la kura kijana. Mi naona turudi kwenye mada, naona kizungu kimeanza na mchaga akianza kubadili lugha kwenye ubishi basi ujue mambo yanaelekea kwenye panga.
 
CUF na nyie wala hamna tofauti, wote mtaolewa na CCM halafu tutawatoa kwenye udini na ukabila wenu

Yaan!kaubwabwa ka ccm hukakosi!!mwanzo mwisho katatetea mabwana zake!mafisadi wakubwa!upigieni kura ili mfaidi zaidi!
 
Wao akili yao ni mbege na CDM, huo mlima hawana hata habari nao

inasikitisha sana kuwa na serikali lege lege matokeo yake bajeti ya nchi inategemea kodi ya bia na sigara!sekta ya utalii pekee ingetosha kuendesha nchi!watu wanawaza kujenga bandari na uwanja wa ndege mpya bagamoyo,wakati vilivyopo tumeviua
 
Wao akili yao ni mbege na CDM, huo mlima hawana hata habari nao

Acha kufikiaria kimasaburi wewe.
Kwanza ni kosa kubwa sana kusema kuwa wachagga tuchangamkie mlima wetu! Lazima muone haya kusema hivyo. Mlima Kilimanjaro sio mali ya Wachagga! Ni mali ya Watanzania. Kama tungeamua fedha yote inayopatikana kutokana na mlima huu itumike kwa ajili ya wachagga nafikiri tungekuwa mbali sana. Kwa taarifa Kila Mtanzania anawajibika kuutangaza mlima huu. Sikieni aibu kusema hoki cha wamasai kile cha wasukuma nk. Miaka hamsini msomi ka wewe unazungumza kabila fulani cjui kabila gani. Hata kama viongozi wetu wamefanya vibaya lakini jivunie kuwa Mtanzania na sio msukuma! Ukiweza mkane baba yako ndo ukatae kuwa wewe sio Mtanzania! Tunaanza na wewe kwa kuchukua hatua! Tangaza Tanzania Tangaza Kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom