Dabaga1998
JF-Expert Member
- Apr 10, 2016
- 994
- 502
MAGu avunje t hilo Bunge la watu wanaojali kulisha matumbo yao. Jamani million 90 haziwatoshi.Mbunge anayepinga juhudi za JPM huyo hatufai;
Pamoja na kupewa madawati wapeleke kwenye majimbo
yao bado wanalalamika;
Hizo posho nazo zipunguzwe pesa ziingie kwenye maendeleo;