Bega kwa Bega
Member
- Mar 16, 2016
- 62
- 30
Kama sio mhasibu yanin kujitia kujua mambo ya kiuhasibu mkuu..heshima yako ipo pale pale hata kwa kukaa kimya
Tuna Wabunge au Genge la wapiga hela tu....
Kama sio mhasibu yanin kujitia kujua mambo ya kiuhasibu mkuu..heshima yako ipo pale pale hata kwa kukaa kimya
Kwenye mambo ya msingi wanatoka nje ya bunge kwenye habari ya pesa wanaungana na wabunge wa CCM.Hata mimi pia ! Nimegundua hata wapinzani Wa nchi hii ni wachumia matumbo tu !!!
washazoea kuzigawanaNapendekeza kufuta posho zote kwa wabunge waimarishiwe mishahara tu
Pesa imepelekwa kutengeneza madawati,na kila mbunge atapewa madawati 600 wanalalamika
Walizoea kula nyama choma na wengine kususa kila wanapojisikia ilhali wamekomba posho