Wabunge wapinga billlioni 6 kurejeshwa Serikalini

Wabunge wapinga billlioni 6 kurejeshwa Serikalini

ELIMU bure walimu walishirikishwa ? Au mkuki kwa nguruwe, kama hawapendi waache kazi, wapo wananchi tena wenye ELIMU kubwa wanaweza kufanya ubunge Hata KWA M-tatu tu jumla na posho.

Kumbe posho za makalio za wabunge zikifutwa CCM NA UKAWA WATAKUWA WAMOJA KUPIGANA ZIREJESHWE. WATANZANIA WENZANGU TUUNGANISHE DOTS.......
 
Eeeh. Yani wazunguke dunia kuangalia nyumba za ubalozi? Wana taaluma ya ujenzi. Watumiwe picha za hizo nyumba watsap. Zibaki safari zenye tija
 
TATIZO SI WABUNGE KUTAKA KWENDA KUKAGUA NYUMBA ZA MABALOZI, HILO LIPO KATIKA MAJUKUMU YA KAMATI. MSIMUONE MSIGWA KAMA MPENDA STAREHE HAPANA SERIKALI IMETOA HELA KUJENGA HIZO BALOZI LAZIMA ZIKAGULIWA KWA ILE DHANA YA VALUE FOR MONEY TUACHE FITNA NA MAJUNGU NA TUPUNGUZE MIHEMUKO WATZ WENZANGU MBONA HAMUOJI KAMATI YA MIUNDOMBINU INAVYOZUNGUKA NCHINI KWA KUTUMIA PESA ZA KODI ZETU KUKAGUA RELI,BARABARA NA MAJENGO AU KISA NI HAPAHAPA TUNACHOTAKIWA KUJUA HATA HIZO BALOZI NI ZETU NA ZINAPASWA KUKAGULIWA KAMA AMBAVYO KAMATI YA AFYA, MIUNDOMINDU, MASHIRIKA YA UMMA NK. ZINAVYOFANYA KUPITIA PESA YA SERIKALI. KAMA SUALA NI KUBANA MATUMIZI BAS KAMA ZIFUTWE ZOTE HELA PELEKENI KWENYE MADAWATI. TUKUBALI TUKATAE HIZO PESA NI MUHIMU KWA SHUGULI ZA KIBUNGE HAYA BALOZI HAZIKAGULIWA NA WAZIRI KWENYE BAJETI ANATAJA PESA ZILIZOTUMIKA JE HIYO KAMATI INAWEZA WAPI KUPATA UKWELI HALISI ILI IWEZE KUTOA MAONI YAKE KUHUSU BAJET NA UJENZI HUSIKA. STAREHE HAPA TZ WABUNGE WANAFANYA SIO ULAYA TU MSIMCHORE MSIGWA KWA UBAYA KWENYE ILI ANA HOJA
 
Yaani umewapa za uso. Eti wanataka kwenda kuangalia nyumba za balozi zetu!!!! Kwa hali hiyo sioni faida ya bunge!!!!
Kweli nimeamini wabunge wetu wengine ni hasara kwa Taifa nilitegemea wangesema walitaka safari za kuzunguka majimbon kwao kwa wanaowawakilisha hasa huko nje si kwenda kutumbua pesa bure tu
 
Amma hakika Tanzania tuna safari ndefu ya kwenda.

Siioni mantiki ya kurudisha hizo pesa.

Hakika huyu aliyefanya maamuzi hayo shule alienda kusomea ujinga.

Na huyo aliyetowa hoja ya kuwa walitaka wakatembelee nyumba za ubalozi kwa hizo pesa ni punguani nambar wahed.
Hahahahahahaha
 
Watupe madhara ya hayo wanayosema yameminywa. Sijaona hoja yao hata kidogo, labda kama ni kukosa hizo per diem na kusafir first class ndio zimewakasirishha.
 
Kweli. Ki uhasibu pale fedha inapobaki kwenye mwaka mmoja wa fedha huwa carried forward kwenye mwaka mwingine wa pesa... Na sio kurudishwa ilipotoka...
Kwa kawaida hurudishwa hazina. Mara nyingi hutafutiwa matumizi mengine kwani ikirudi hazina ni kwamba the following financial year kiasi kile kilichorudishwa hupunguzwa kwenye bajeti ya wizara husika. So ili bajeti isipunguzwe mara nyingi fedha iliyobaki hairudishwi.
 
Magufuli na huyo dada naibu spika full komedy!Inakuwaje urudishe hela wakati wabunge kibao wanadai mishahara ya miezi minne?!Yote hiyo kutaka sifa kwenye vyombo vya habari!Serikali ya wasanii hii...
 
Wana utaalamu wa majengo mpaka wawe wakaguzi? serikali inajenga balozi kila mwaka? Sheria msumeno. Hakuna safari bila kutoa sababu usiposafiri nchi itakosa nini? Wabunge wakague, CAG akague. Ndo maana shilingi imeporomoka
TATIZO SI WABUNGE KUTAKA KWENDA KUKAGUA NYUMBA ZA MABALOZI, HILO LIPO KATIKA MAJUKUMU YA KAMATI. MSIMUONE MSIGWA KAMA MPENDA STAREHE HAPANA SERIKALI IMETOA HELA KUJENGA HIZO BALOZI LAZIMA ZIKAGULIWA KWA ILE DHANA YA VALUE FOR MONEY TUACHE FITNA NA MAJUNGU NA TUPUNGUZE MIHEMUKO WATZ WENZANGU MBONA HAMUOJI KAMATI YA MIUNDOMBINU INAVYOZUNGUKA NCHINI KWA KUTUMIA PESA ZA KODI ZETU KUKAGUA RELI,BARABARA NA MAJENGO AU KISA NI HAPAHAPA TUNACHOTAKIWA KUJUA HATA HIZO BALOZI NI ZETU NA ZINAPASWA KUKAGULIWA KAMA AMBAVYO KAMATI YA AFYA, MIUNDOMINDU, MASHIRIKA YA UMMA NK. ZINAVYOFANYA KUPITIA PESA YA SERIKALI. KAMA SUALA NI KUBANA MATUMIZI BAS KAMA ZIFUTWE ZOTE HELA PELEKENI KWENYE MADAWATI. TUKUBALI TUKATAE HIZO PESA NI MUHIMU KWA SHUGULI ZA KIBUNGE HAYA BALOZI HAZIKAGULIWA NA WAZIRI KWENYE BAJETI ANATAJA PESA ZILIZOTUMIKA JE HIYO KAMATI INAWEZA WAPI KUPATA UKWELI HALISI ILI IWEZE KUTOA MAONI YAKE KUHUSU BAJET NA UJENZI HUSIKA. STAREHE HAPA TZ WABUNGE WANAFANYA SIO ULAYA TU MSIMCHORE MSIGWA KWA UBAYA KWENYE ILI ANA HOJA
 
msigwa amezingua
Mkuu amezingua kweli msingwa hawa ndio wabunge wetu hapa ndipo tunapokosa mtu sahihi Wa kuisaidia nchi hasa linapokuja swala ambalo wabunge wote ni financial beneficiaries!
 
Kuna issue za maana nyingi za international relations kuliko majengo. Na haziitaji mtu uwe nje ya nchi kuzishughulikia. Mshahara wa mbunge haukatwi kodi. Posho mara 3 ya mshahara wao. Bado tu watumbie ela ya wanaolipa kodi. Very selfish
 
TATIZO SI WABUNGE KUTAKA KWENDA KUKAGUA NYUMBA ZA MABALOZI, HILO LIPO KATIKA MAJUKUMU YA KAMATI. MSIMUONE MSIGWA KAMA MPENDA STAREHE HAPANA SERIKALI IMETOA HELA KUJENGA HIZO BALOZI LAZIMA ZIKAGULIWA KWA ILE DHANA YA VALUE FOR MONEY TUACHE FITNA NA MAJUNGU NA

Huyo msigwa ni injinia wa majengo? Kwa hiyo akienda kukodolea macho jengo anajua kama ukarabati limetumia milioni kadhaa ni sahihi au sio sahihi kwa tu kukodolea macho?

HIYO VALUE FOR MONEY INAPIMWA KWA KUKODOLEA MACHO NA KUPIGA PICHA MBELE YA JENGO?

Wanaenda tu kutalii.Wasiende pesa za safari zao zipelekwe kwenye madawati.
 
Huyo Msigwa jimboni kwake ana shule ina walimu wanne tu, Aibu kubwa sana ndani ya manispaa unakua na shule yenye walimu wanne wakati shule zingine ndani ya manispaa hiyo hiyo zina walimu mpaka 50 ameshindwa hata kuongea na afisa elimu au kumbana mkurugenzi ahamishe walimu kutoka shule zingine na kuwapeleka huko. Meya chadema, diwani chadema mbunge chadema wao wanaangalia matumbo yao. ni Aibu sana kutaka fedha wakazitumbue badala ya kwenda kuwasaidia wananchi
Kwa kuwa msigwa ni waziri wa elimu wa serikali ya ccm chini ya magufuli basi ondoa shaka hiyo shule itapata walimu
 
Huyu Mchungaji Msigwa si ndo aliwahi kusema atakayemuunga mkono EL akapimwe akili? Anapohoji fedha ya bunge kwenda kwa watoto wetu, kichwani yuko sawasawa? Kitendo cha bunge ni cha kuenziwa. Wanairinga, michango inahitajika mbunge wenu apimwe iwapo ni akili yake au siyo. Pia kondoo wa mchungaji huyu waingie katika maombi mazito pamoja na kufunga kwa ajili ya hekima. Sivyo aibu kubwa inawanyemelea.
 
Huyo Msigwa jimboni kwake ana shule ina walimu wanne tu, Aibu kubwa sana ndani ya manispaa unakua na shule yenye walimu wanne wakati shule zingine ndani ya manispaa hiyo hiyo zina walimu mpaka 50 ameshindwa hata kuongea na afisa elimu au kumbana mkurugenzi ahamishe walimu kutoka shule zingine na kuwapeleka huko. Meya chadema, diwani chadema mbunge chadema wao wanaangalia matumbo yao. ni Aibu sana kutaka fedha wakazitumbue badala ya kwenda kuwasaidia wananchi
1461236997757.jpg
Hizo ndio shule zinapelekewa madawati kutoka kwenye 600,na watoto wanapata elimu bure kwa ccm kila kitu kinawezekana aisee
 
Huyu Mchungaji Msigwa si ndo aliwahi kusema atakayemuunga mkono EL akapimwe akili? Anapohoji fedha ya bunge kwenda kwa watoto wetu

Yaani Msigwa anaona raha hela zitumike kwa safari yake ya kwenda kuzurura nje kuliko kuwapa madawati watoto wanaokaa chini na kukalia mawe na matofali.

Ona hapo Msigwa akiwa kazini kwenye jengo la ubalozi wa Tanzania marekani.Hapo pichani ndio anaonekana kachachama anakagua jengo hilo la ubalozi kujua kama value for money ya hilo jengo iko sawa.

_DSC8604.JPG
 
Wana utaalamu wa majengo mpaka wawe wakaguzi? serikali inajenga balozi kila mwaka? Sheria msumeno. Hakuna safari bila kutoa sababu usiposafiri nchi itakosa nini? Wabunge wakague, CAG akague. Ndo maana shilingi imeporomoka
UKISEMA IVYO UNAKUWA UNAKOSEA MBONA HUOJI KAMATI YA MIUNDOMBINU INA UTALAMU NA BARABARA NA RELI MBONA WANAKAGUA NA KUKOSOA NA KUTAKA TAARIFA ZA UJENZI. TATIZO TUNACHUKIA SAFARI ZA NJE MAANA ZINA GHARAMA ILA SIO KILA SAFARI HAINA MAANA NYINGINE MUHIMU MAANA HATA HUKO KUNA MAJIPU PIA
 
Kwa hiyo kila wakati lazima waende kukagua hayo majengo? kwenda kuthibitisha kuwa yapo au kuwa yana magurudumu yatakuwa yameondoka kwenda sehemu nyingine?
 
Back
Top Bottom