Wabunge wamuelekeza CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Ina Ufisadi Mkubwa

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,662
Reaction score
59,099
Bunge lataka CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu

Wabunge akiwemo kibajaji, amedai muda hautoshi. Ripoti ya CAG ipelekwe Bungeni Mwenzi Novemba baada ya Uchaguzi Mkuu. Amedia kama ikipelekwa bunge hili kuelekea Uchaguzi Mkuu, itapunguza kura za Rais Samia.

Kadai Mafisadi waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ya 2023-2024 watashughulikiwa kuanzia Novemba kwasababu sasa hivi Serikali ina mengi ya kufanya na muda ni Mdogo.
 
Kibajaji ni la Saba A.

Hawa ndio watu ambao wanapitishwa bila kupingwa Kwa Hila ,alafu túnategemea waionyeshe Serikali Matundu yako wapi.



Hakika, NO REFORMS ,NO ELECTION .



OFISI YA CAG ,itadhihirisha ni wenda wazimu na wajinga kama walivyo hao Wabunge endapo Utashindwa kuipeleka Report hiyo Bungeni na Wananchi itabidi wachukue Hatua dhidi ya Ofisi ya CAG na Bunge .
 
Atamuharibia Rais Samia kwa Hashim Rungwe?
 
Sifa za mbunge ni kujua kusoma n a kuandika tu.
sasa tuongeze na ..... kuomba miongozooooo........ na kuitikia ndiyoooooo kwa sauti kubwaaaaa
ccm oyeeeeeeee.
 
hivi ile ripoti ya CAG ya mwaka jana ambayo madam spika alidai itajadiliwa bunge la mkutano wa november mwaka jana hivi ilijadiliwa kweli.?
 
hata kama ni kweli, uwezekano wa jamvo hilo kutokea ni slim to none.
CAG kama taasisi ana wajibu wa kutimiza.

Bunge likiamua kuachana nalo kama ambavyo wamekuwa wakifanya since 2022, basi lawama zote zifike huko.


CHAGUA kwa umakini 2025.

Tumia haki yako uliopewa kikatiba kupiga kura 2025
 
Kwahiyo aache kutimiza wajibu kwa maslahi ya mtu mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…