Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

Kuna watu wamenyimwa aibu na bila shaka kutojitambua. Mchange ni mmoja wapo

Kwanza isingetakiwa mwana ACT....yeyote aongee......na majigambo yote....yale wameambulia patupu.....!!!!!
 
Huyu Habib mchange analazimisha umaarufu was kisiasa kwa Maneno ya kipuuzi,wenzie wakina kafulila wanapendwa kwa kutetea wananchi yy anahangaika na viongozi wenzie huyu ni mpuuzi
 
Hao ni genge la dill lazima wamfurahishe kwanza mzee lowasa kuonyesha wamegoma kumbe furaha moyoni wamelamba za manvi sasa hizi wamuachie nani ni dill tu
 
kujiondoa CCM kwa EL na FTS haijawaondolea kupata stahiki zao za PM wastaafu. Hizi ni kodi zetu,si hisani za CCM. Wabunge ni haki yao kusaini,kupokea posho na haki zingine hata kama walisusa baadhi ya maeneo.
Watanzania tujenge nchi yetu,tusipende kutonesha vidonda vya uchaguzi,usipende kumjaza mwenzako hasira.Hizo ni siasa za utoto,tukue.
 
Kwani kura za Urais ndizo kura za ubunge?

Aina hii ya wanasiasa iliyonayo ACT ndio sababu huwa naamini chama hiki kitapotea haraka sana...

Hawa ACT wanazidi kwa uchokozi. Wangekaa kimya kwa sababu kazi yao ya kuisaidia ccm wameikamilisha kwa mafanikio makubwa. Wamepunguza kura za upinzani na kuuza majimbo kibao especially Kigoma. Wangetulia waedelee kula installment ya mwisho watakayolipwa. Majingambo kuwa walisimamisha wagombea wengi na mwanamke kwenye urais yamewasaidia nini? Sitashangaa ZZK akawa Mrema au Cheyo wa bunge la 11.
 
Naomba nisichangie sababu umefanya reference kutoka kwa MCHANGE.
 
Wana apa kwa jina la nani??? acha utani aiseee hata kiapo cha juzi Magufuri ka hapa kuwa mtumishi wetu. ambao wana hapa kuwa watiifu kwa Rais ni ma Askari tu bwana

Najaribu kuangalia kama unachoongea kina mantic lakini siioni. Kwani hapo nikanisani kuwa wanaapa kwa jina la Rais, Kuwa na ukomavu wakiakili, wataapa kwa rais wa jamhuri ya muungano bila kutaja jina magufuri or whatsoever, usikurupuke tu, hii ni kwamujibu wa katiba, sasa wewe ulitaka waikatae katiba ili washitakiwe? Ndg yangu, nilazima wafanye hivi ili wakatetee ujinga ulofanyika ndani ya bunge la jamhuri, na katiba inasema lazima raisi aloptangazwa na tume si aloshinda kihalali, hapo lazima uwe makini, aliotangazwa na tume, si aloshinda kihalali na kutangazwa na tume, sasa kama katiba hii ndo inavotaka wewe ulitaka wafanyeje? mfano, unapotoka Gongo la mboto kuelekea Kariakoo, ni lazima utapita Tazara, maana hiyo ndo network, au ulitaka uruke, kitu kisichowezekana maana huna mbawa. so jitahidi sana kukomaa kifikra na si kukaa kinafiki hivi kama akina nape na lukuvi, ilimradi tu upate chochote kinywani.
 
Ukiwa kijana wa ugambani lazima akili yako iwe pungufu hasa kama ww mleta huu uzi. Yani kazi kwelikweli kama hadi leo bado unaamini kuwa posho za wabunge ni pesa ya rais na co kodi za watz
 
Hujakatazwa kutoa mtazamo wako bila maneno ya kashfa na kejeli. Hisia zako ukiziruhusu kuwa huru Vila bila mipaka ni kero kwa wengine, upinzani haumaanishi kuwa na maneno ya karaha. Japo sio kosa lako. Huenda ni matokeo ya kusoma masomo ya Sanaa (art) zaidi. Na athari za magazeti ya udaku.!! Ingekuwa masomo ya sayansi. Sidhani huu muda ungekuwepo.
Shida ni kuwa you are thinking locally..bt if you open your mind globally ungenielewa, hapo shida sio arts wala science, wala hayo magazeti ya Udaku...Ni sehemu ya Maisha ndo mana nasema duniani kote haya mambo yapo...Kikubwa ni kwamba hiyo sheria ikate kotekote, sio Chadema polling centre inakamatwa, center ya Wanasheria inakamatwa ilhali centre ya CCM inaachwa huo ni uonevu
 
Haka kajamaa nilikaombea usiku na mchana kakose ubunge..kamepata kura 3000..
 
Lakini hauoni kama kuna unafiki hapo? Kwamba ukawa hawamtambui Raisi wa JMTZ lkn wanasaini kwenda Bungeni kushiriki ufunguzi wa Bunge utakaofanywa na Raisi wa JMTZ ambaye hawamtambui na kuapa kwa jina lake Raisi wa JMTZ, sasa kama siyo kuchanganyikiwa ni nini?
Hizo posho ni stahiki yao, hazilipwi na CCM. Watafanya kama walivyofanya kwa Kikwete. Wataondoka bungeni kwenye bunge litakalohutubiwa na JPM
 
Wasipohudhuria wakatwe posho hakuna kucheka na nyani.
 
Lakini hauoni kama kuna unafiki hapo? Kwamba ukawa hawamtambui Raisi wa JMTZ lkn wanasaini kwenda Bungeni kushiriki ufunguzi wa Bunge utakaofanywa na Raisi wa JMTZ ambaye hawamtambui na kuapa kwa jina lake Raisi wa JMTZ, sasa kama siyo kuchanganyikiwa ni nini?

.
Bunge sio rais na rais sio bunge ni mihimili miwili tofauti. Ndio maana wao kama wabunge ktk bunge la jamhuri akiingia rais wao watatoka nje na akisha toka humo watarudi ndani. wabunge tumewachagua sisi raia na wala hawajateuliwa na rais. pia pesa wanazolipwa wabunge ni kodi zetu na wala sii kutoka katika mshahara wa rais.
.
 
Najaribu kuangalia kama unachoongea kina mantic lakini siioni. Kwani hapo nikanisani kuwa wanaapa kwa jina la Rais, Kuwa na ukomavu wakiakili, wataapa kwa rais wa jamhuri ya muungano bila kutaja jina magufuri or whatsoever, usikurupuke tu, hii ni kwamujibu wa katiba, sasa wewe ulitaka waikatae katiba ili washitakiwe? Ndg yangu, nilazima wafanye hivi ili wakatetee ujinga ulofanyika ndani ya bunge la jamhuri, na katiba inasema lazima raisi aloptangazwa na tume si aloshinda kihalali, hapo lazima uwe makini, aliotangazwa na tume, si aloshinda kihalali na kutangazwa na tume, sasa kama katiba hii ndo inavotaka wewe ulitaka wafanyeje? mfano, unapotoka Gongo la mboto kuelekea Kariakoo, ni lazima utapita Tazara, maana hiyo ndo network, au ulitaka uruke, kitu kisichowezekana maana huna mbawa. so jitahidi sana kukomaa kifikra na si kukaa kinafiki hivi kama akina nape na lukuvi, ilimradi tu upate chochote kinywani.

Unaongea kama mtu anayejua au anayeamini? Ukiwa hujui Uliza,au google! Hakuna Mbunge anayeapa Mbele ya Rais, labda ungejifunza kuhusu mihimili ya Dola kwanza ili uelewe. Rais atazindua tu Bunge, mwaka 2010 wapinzani walisusia hotuba ya Kikwete na kutoka nje ya Ukumbi,je,waliapa wapi?
 
Wabunge wa ukawa wakiongozwa na Mbowe ambao mpaka sasa hivi wamesusia kumtambua Raisi wa JMTZ pmj na serikali yake wameshasaini posho ya kuhudhuria vikao Bungeni itakayolipwa na Serikali ya Rais Magufuli!

11220126_923246657750250_1362120904712811456_n.jpg

Ahh unajitaidi sana kujenga chuki sana sana well done
 
Zile ni pesq zetu za walipa kodi na sio za mangufuli wewe.

Acha wazichukue ili chama kikue zaidi.

Kauli hizo za kuwadanganya nyumbu tu, wenye akili timamu tumeshawastukia, kumbe ulidhani wabunge watalipwa kwa kodi za nani!? Mkisusa acheni vyote. Sio unakataa kula nguruwe unakunywa mchuzi tu!
 
Mpumbavu na lofa!

Barbarosa hiyo Posho hawalipwi kama hisani bali ni stahili yao inayotokana na wao kuchaguliwa na wananchi, pia Magufuli hana hiyari ya kuwalipa au kutokuwalipa kwani hata yeye hizo pesa hazitokani na kuuza Mifugo ya Familia yao bali zinatokana na Kodi tunazotozwa watanzania wote waliomchagua na wasiomchagua Magufuli!! Na wala hizo Posho hazitokani na fedha zilizopatikana kwa kuuza kadi za CCM hivyo wabunge toka vyama vingine wakose sifa za kupewa!!

Kutokwenda kwenye sherehe za kuapishwa kwa Magufuli hakuko Kikatiba bali hizo posho zinatokana na sheria zilizotungwa kwa kufuatisha Katiba iliyopo inayoshabikiwa na CCM hata kama ni Hovyo kabisa!! Kuna ujinga miongoni mwetu kuona kama serikali inafanya mambo kwa hisani jambo ambalo si sahihi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom