Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

Wabunge wa ukawa wakiongozwa na Mbowe ambao mpaka sasa hivi wamesusia kumtambua Raisi wa JMTZ pmj na serikali yake wameshasaini posho ya kuhudghuria vikao Bungeni itakayolipwa na Serikali ya Raisi Magufuli!

11220126_923246657750250_1362120904712811456_n.jpg

Kuna haja ya sheria kama hizi kufanyiwa marekebisho, haiwezekani mtu alipwe pesa ambayo hajaifanyia kazi..... Ndo maana wasomi wetu wengi wanakimbilia siasani, kwa sababu ya pesa za bure bure kama hizi.
 
Sometimes upinzani ni total contradiction,hawakumtambua JK mwaka 2010 na km kawa wkt wa uzinduzi wa bunge walitoka,wakiwa kwenye mijadala,hoja nk wanamtaja JK km Rais ni sawa na ngonjera ya EL jana fisadi leo sio fisadi NI VEMA KUWA CONSISTENT NA MASUALA/HOJA TUNAZOAMINI NI SAHIHI BILA KUPELEKWA NA UPEPO isiwe 1+1=2 kesho 1+1=11
 
Wananchi wamemkataa Mchange apumzike tu sasa......Mbona kwenye bunge la katiba waliacha pesa wakaondoka.....???
 
Barbarosa hiyo Posho hawalipwi kama hisani bali ni stahili yao inayotokana na wao kuchaguliwa na wananchi, pia Magufuli hana hiyari ya kuwalipa au kutokuwalipa kwani hata yeye hizo pesa hazitokani na kuuza Mifugo ya Familia yao bali zinatokana na Kodi tunazotozwa watanzania wote waliomchagua na wasiomchagua Magufuli!! Na wala hizo Posho hazitokani na fedha zilizopatikana kwa kuuza kadi za CCM hivyo wabunge toka vyama vingine wakose sifa za kupewa!!

Kutokwenda kwenye sherehe za kuapishwa kwa Magufuli hakuko Kikatiba bali hizo posho zinatokana na sheria zilizotungwa kwa kufuatisha Katiba iliyopo inayoshabikiwa na CCM hata kama ni Hovyo kabisa!! Kuna ujinga miongoni mwetu kuona kama serikali inafanya mambo kwa hisani jambo ambalo si sahihi.

hii imekaa njema
 
Last edited by a moderator:
Achaneni na habibu huyo hajitambui kabisa analeta siasa za maji taka tu hapa hivi wabunge wa ukawa wamechaguliwa na magufuli au wananchi na pesa wanazo lipwa si za magufuli ni za wananchi jielewe wewe mchage nyambafu kubwa zima jinga ata ubunge sijui nani angekupa kwa akili fupi kama hizo.
 
Wabunge wa ukawa wakiongozwa na Mbowe ambao mpaka sasa hivi wamesusia kumtambua Raisi wa JMTZ pmj na serikali yake wameshasaini posho ya kuhudghuria vikao Bungeni itakayolipwa na Serikali ya Raisi Magufuli!

11220126_923246657750250_1362120904712811456_n.jpg

Akili yako matope sana. Bungeni muhimili mwingine kabisa unajitegemea
 
Lakini hauoni kama kuna unafiki hapo? Kwamba ukawa hawamtambui Raisi wa JMTZ lkn wanasaini kwenda Bungeni kushiriki ufunguzi wa Bunge utakaofanywa na Raisi wa JMTZ ambaye hawamtambui na kuapa kwa jina lake Raisi wa JMTZ, sasa kama siyo kuchanganyikiwa ni nini?

Wanaapa Kwa katiba na biblia si Kwa jina la Rais. Unaonyesha Ni jinsi gani wewe Ni kilaza. Acha mada zipite usipende kutupia vitu usivyojua
 
Wanamtambua rais, atazindua barabara majimboni Kwao na watampa sifa
 
Hicho kiapo kwa rais walishakipangua zamani akina Tundu Lissu nadhani ikapeleka wabunge kurudia kuapa.
 
Sasa ulitaka waape kwa jina la nani na sheria inasema hivyo?? Nadhani kungekuwa na alternative ya kukataa kuapa kwa jina la Rais wangeweza kufanya hivyo.. Hata sherehe za kuapishwa zingekuwa ni compulsory kwa wabunge kwenda wangeenda tu..

BTW huu ni wakati wa kujenga nchi sio tena wakuanza kupika majungu.. Sukari ikishuka bei mpaka 1000 kwa kilo ni jambo jema kwa wanaCCM na wanaUKAWA.. Thamani ya shilling ikipanda na kubaki stable ni jambo jema kwa wananchi wote.. Tuache majungu na roho mbaya na CCM m'practise msemo wenu wa HAPA KAZI TU..

Sheria IPI inasema waape Kwa jina la Rais???? Kweli kuna vilaza hapa ndiyo maana tusema Elimu Elimu Elimu
 
Wewe ndiyo maana umekosa jimbo, kazi yako majungu tu. Hujui hapa kazi tu.
 
Lakini hauoni kama kuna unafiki hapo? Kwamba ukawa hawamtambui Raisi wa JMTZ lkn wanasaini kwenda Bungeni kushiriki ufunguzi wa Bunge utakaofanywa na Raisi wa JMTZ ambaye hawamtambui na kuapa kwa jina lake Raisi wa JMTZ, sasa kama siyo kuchanganyikiwa ni nini?

akili haziwatoshi. hili ni bunge la kwanza, wabunge wataapishwa, kumchagua spika na naibu wake, kumpitisha waziri mkuu, kuunda kambi yao, kuunda kamati, ndo wanakwenda kusajiliwa, mnataka wasiende?
 
Ndio maana nchi hii tuna matatizo yasiyosemeka.Watu wanaingia siasa kama ajira na uelewa wao uko chini. Na hilo limefanya pia wanasiasa waliopo ndani ya CCM wajione kama vile nchi ni ya kwao. Wanadhani kuwa madarakani ni kumiliki nchi na wengine wanafanyiwa kama hisani. Inatokea mpaka mtu anapokuwa Rais anajiona kama ni mmiliki wa nchi. Na hii inatokana na udhaifu kwenye uongozi kama taasisi. Mtu anadiriki kusema posho za wapinzani mpaka Rais akubali kuwalipa. What a stupid politician!!
 
Ni lazima kama Wabunge wa Ukawa wataapa kwa Jina la Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa TanZania ambaye kwa bahati mbaya hawamtambui sasa hapo inakuwaje tena?

Na isitoshe ili wao walipwe posho ni lazima Serikali iliyo chini ya Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania iliridhie na kukubali kuwalipa sasa kama wao hawaitambui Serikali yake ina maana kwa akili ya kawaida hana mamlaka (Raisi na Serikali yake) ya kuidhinisha fedha ya Umma kwa maana kwa kujibu wa ukawa yeye siyo Raisi hahali!
Hivi kuitambua serikali ni sehemu ya vigezo vya kulipwa hiyo posho..??
 
kwa hiyo ulitaka wasaini kwenye papuchi ya ma...ako au?
 
Ninachikitamani makosa ya mtandao! Yawanase wengi maana hizi kejeli na dharau zitatuharibia Taifa wakindelea kukamatwa na kushtakiwa watu Wa namna hii. Twaweza kuwa na heshima na nidhamu kwa serikali yetu.
 
Back
Top Bottom