Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

Hiv zito bungen atakuwa anaungana na wenzake wa ccm au atabaki mwenyewe maana wenzake wengine mrema na cheyo hawapo........
 
Hiv mchange unagombea unapata kura 3000 bado unapata ujasiri wa kuandika chochote .....

Hebu tujadili mengine Bhana! Who is Mchange? Alifikiri atauza jimbo na mwaka huu tena kama alivyofanya 2010.Mwaka huu ni njaa.
 
Barbarosa unajipotosha wabunge huwa hawaapi kuwa kutumia Jina la Rais wala hawana kiapo cha utii kwa Rais. kama alivyokueleza major mwendwa wanaokula kiapo cha utii kwa Rais ni Askari wetu tuu!! Narudia tena kwamba Wabunge hawalipwi posho zao kwa hisani ya Rais, atake asitake watalipwa tu posho zao, wawe wa chama chake wasiomkubali au wa kutoka vyama vingine!!
 
Lakini wataapishwa kwa Jina la Magufuli (raisi wa JMTZ) ni lazima!

Sasa ulitaka waape kwa jina la nani na sheria inasema hivyo?? Nadhani kungekuwa na alternative ya kukataa kuapa kwa jina la Rais wangeweza kufanya hivyo.. Hata sherehe za kuapishwa zingekuwa ni compulsory kwa wabunge kwenda wangeenda tu..

BTW huu ni wakati wa kujenga nchi sio tena wakuanza kupika majungu.. Sukari ikishuka bei mpaka 1000 kwa kilo ni jambo jema kwa wanaCCM na wanaUKAWA.. Thamani ya shilling ikipanda na kubaki stable ni jambo jema kwa wananchi wote.. Tuache majungu na roho mbaya na CCM m'practise msemo wenu wa HAPA KAZI TU..
 
Kwani kura za Urais ndizo kura za ubunge?

Aina hii ya wanasiasa iliyonayo ACT ndio sababu huwa naamini chama hiki kitapotea haraka sana...

Mwenye Chama ndiyo kamtuma Habibu kuja kutoa kauli ya chama
 
ACT kuwa na kiongozi kama huyu ni kufanya Komedy
 
Ni lazima kama Wabunge wa Ukawa wataapa kwa Jina la Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa TanZania ambaye kwa bahati mbaya hawamtambui sasa hapo inakuwaje tena?

Na isitoshe ili wao walipwe posho ni lazima Serikali iliyo chini ya Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania iliridhie na kukubali kuwalipa sasa kama wao hawaitambui Serikali yake ina maana kwa akili ya kawaida hana mamlaka (Raisi na Serikali yake) ya kuidhinisha fedha ya Umma kwa maana kwa kujibu wa ukawa yeye siyo Raisi hahali!
Nani alikuambia wabunge wanaapa kwa jina la rais? Kwani kawachagua yeye?
Na hata kama wanaapa kwa jina la rais, ni kuitambua ofisi ya rais bila kumtambua office-holder.
 
Lakini Wabunge wote wataapishwa kwa Jina la Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa TanZania ambaye wao ukawa hawamtabui, sasa hapo itakuwaje?

Katiba ya wapi hiyo yenye kuonesha mbunge huapishwa kwa jina la Rais wa JMT?

Niwekee nukuu ama ya ibara ya katiba yenye kueleza hivyo au kiapo cha uaminifu...
 
Mwenye Chama ndiyo kamtuma Habibu kuja kutoa kauli ya chama

Mwenye chama alishaweka bandiko lake hapa, wala hajaunanga upinzani kama huyu kanjanja...
 
Wabunge wa ukawa wakiongozwa na Mbowe ambao mpaka sasa hivi wamesusia kumtambua Raisi wa JMTZ pmj na serikali yake wameshasaini posho ya kuhudghuria vikao Bungeni itakayolipwa na Serikali ya Raisi Magufuli!

11220126_923246657750250_1362120904712811456_n.jpg
WE INAUMA NINI CHUKUA SUMU KAJINYONGE. HAIKUHUSU WALA NINI. LAZIMA WARUDISHE JASHO LAO; KWANZA WENGINE WANA MAPINGAMIZI NA TUNAVYOJUA WANAWEZA WAKAKATWA SASA NI LAZIMA WAACHE TABIA YA KITOTO YA KUZIRA HIZO HELA SIYO ZAKO NI HAKI YAO. HATA KAMA wameshasaini posho ya kuhudhuria vikao Bungeni itakayolipwa na Serikali ya Raisi Magufuli! WEWE NINI KINAKUUMA

Attachments

  • TEAM LOWASSA MTUNYOMI.jpg
    TEAM LOWASSA MTUNYOMI.jpg
    48.4 KB · Views: 456
Ni lazima kama Wabunge wa Ukawa wataapa kwa Jina la Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa TanZania ambaye kwa bahati mbaya hawamtambui sasa hapo inakuwaje tena?

Na isitoshe ili wao walipwe posho ni lazima Serikali iliyo chini ya Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania iliridhie na kukubali kuwalipa sasa kama wao hawaitambui Serikali yake ina maana kwa akili ya kawaida hana mamlaka (Raisi na Serikali yake) ya kuidhinisha fedha ya Umma kwa maana kwa kujibu wa ukawa yeye siyo Raisi hahali!

hizi akili zingine ni tabu tupu!! mbunge hafanyi kazi kwa ridhaa ya Rais bali kuwatumikia wananchi walio mchagua. nakushauri kasome upya kiapo cha wabunge nadhani utapata maarifa mapya.
 
Hivi huyu Mchange amesoma kweli au anajua kusoma na kuandika? Halafu ndio walimtangaza kuwa Meneja wa kampeni wa ACT!
Ndio maana hata asilimia alizopata yule mama pamoja na kazi nzuri zinasikitisha. Inaonyesha hata wanachama wao hawakumpa kura
 
Kwnn hao wabunge ili kutuonesha kama ni kwl wanamsimamo na hawamtambui magufuli kama rais inabidi wasihudhurie hiyo siku ya ufunguzi ili wasimsikilize anasem nn lakn kama kwl wamesaini basi shkamoo pesa
 
Kwnn hao wabunge ili kutuonesha kama ni kwl wanamsimamo na hawamtambui magufuli kama rais inabidi wasihudhurie hiyo siku ya ufunguzi ili wasimsikilize anasem nn lakn kama kwl wamesaini basi shkamoo pesa mbona zito kabwe aligomea kulipwa mafao makubwa ya mamilion ya shilingi ??
 
ACT bwana, hawa jamaa walisimamisha wagombea ubunge nchi nzima 208 au 216 (kama sikosei) wapata mbunge 1 aliyechaguliwa. Pigo la ajabu sana hili........
 
Back
Top Bottom