Zamazangu
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 948
- 613
Lakini hauoni kama kuna unafiki hapo? Kwamba ukawa hawamtambui Raisi wa JMTZ lkn wanasaini kwenda Bungeni kushiriki ufunguzi wa Bunge utakaofanywa na Raisi wa JMTZ ambaye hawamtambui na kuapa kwa jina lake Raisi wa JMTZ, sasa kama siyo kuchanganyikiwa ni nini?
mleta mada hajui anaongea nn. bunge na serikAl n mihimil 2 tofauti