Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

Uchaguzi haukua wa haki na amani teh teh

Kwa Ukawa motto ni: Hapa Dili Tu!
Kwao kila kitu ni dili. Kumchukua Lowassa ni dili, kulalama kupitia Joe Tripp ni dili, kusaini posho za Bunfe ni dili. Wafuasi wao ndo wanajitakia kutumika kama mpira huku akina Mbowe wakiiineemesha na kunawiri na dili.
 
Sioni ACT inakujaje hapa na unafiki wenu.. Mlishamsema zitto sana amekaa kimya bado hamuoni raha. Mnakuwa kama mnajiuza mnafuta Bwana Wa kuwanunua.... Mnakera mnapokuwa ukweli mnaupindisha kwa maslahi ya matumbo yenu na sio Taifa hili.
 
Back
Top Bottom