Wabunge wa Lowassa wamerudi CCM na kumpa majibu Dr Slaa kwamba mzee wao alikuwa ni Liability kwa CHADEMA!

Chadema ilikufa pale ilipobadiri gia angani na kumchukua LOWASA hili kosa limekigharimu chama hadi kinakufa
Yaani wasingemchukua Lowasa Chadema ingeweza shinda hata uraisi sababu Lowasa alikuwa mtego CCM wangempitisha Watu wangempigia kura mgombea wa Chadema wakiwemo wana CCM sababu walikuwa hawamtaki kwa kuwa ni fisadi.Hivyo Chadema ingeshinda uraisi.Walipomchukua Lowasa wakajimaliza wenyewe kura zikaenda CCM.Chadema ilikuwa imeshajijenga vya kutosha bila Lowasa ilitakiwa isivuruge last minute ingemuweka Slaa hata Mbowe au yeyote Ila sio Lowasa.
 
Poor you!

Ni "Jiwe" ndio liability kwa nchi na maendeleo ya nchi yako kwa ujumla kwani tunateketeza kodi kurudia chaguzi huku hospitali hazina hata madawa, nchi imejaa madeni, n.k,

Isitoshe, mkakati huu hauisadi CCM kwasababu wanaohama ni mercenaries na sio wananchi (wapiga kura).

Kwa ujinga wenu ,ndio maana hata kwenye makinikia wanaume waliwajaza vitumbo
Sijakuelewa hapo ndugu
 
Poor you!

Ni "Jiwe" ndio liability kwa nchi na maendeleo ya nchi yako kwa ujumla kwani tunateketeza kodi kurudia chaguzi huku hospitali hazina hata madawa, nchi imejaa madeni, n.k,

Isitoshe, mkakati huu hauisadi CCM kwasababu wanaohama ni mercenaries na sio wananchi (wapiga kura).

Kwa ujinga wenu ,ndio maana hata kwenye makinikia wanaume waliwajaza vitumbo

mkuu una moyo

nyie malaya mmejianika mitaa gani mnunuliwe?
 
Yaani wasingemchukua Lowasa Chadema ingeweza shinda hata uraisi sababu Lowasa alikuwa mtego CCM wangempitisha Watu wangempigia kura mgombea wa Chadema wakiwemo wana CCM sababu walikuwa hawamtaki kwa kuwa ni fisadi.Hivyo Chadema ingeshinda uraisi.Walipomchukua Lowasa wakajimaliza wenyewe kura zikaenda CCM.Chadema ilikuwa imeshajijenga vya kutosha Bila Lowasa ilitakiwa isivuruge last minute ingemuweka Slaa hata Mbowe au yeyote Ila sio Lowasa.

Likely asingeshinda, angeongeza wabunge, CDM ingekuwa na nguvu ile ile, falsafa ile ile na kwa kipindi hili, royal cdm members including polisi wangeweka moyoni baya lolote la JPM na kujaribu another big attempt mwaka 2020

CDM ingekuwa na nguvu sana nyakati hizi za kubanwa kuliko wakati wowote ule.

2020,2025 CDM ingekuwa inawaziwa kuchukua dola


sasa hivi watachukua dola 2245!
 
Chadema hawajielewi..period!
Leo utasema Chadema hawajielewi,jana CUF ya Seif imehujumiwa na nani?
Labda jambo usiojua ni kwamba kwa mwendo huu hakuna aliesalama.Iwe CCM yenyewe,Iwe vyama pinzani,iwe wasionachama.
Kwasababu mimi na wewe hatujui kesho utawala utapanga nini?
 
Lowassa si alisema anakuja Na wabunge sijui 50!! Kipindi kile walipohamia chadema mliwaona malaika Leo wanarudi CCm mnawaona mashetani !! Hahahaaaaa!! Shame on you!!Kwenu Barababa,viwanda,ndege,reli ya kisasa nk siyo vya msingi!! ??? Eti Uhuru ( kana kwamba mmetekwa ) haki ( sijui haki ya kufanya au kuongea matusi) ndiyo vya msingi huko chadema!!! Hahahaa!! Nyumbani kwako ( chadema hakuna Uhuru Na haki) maana ukiutaka uenyekiti sijui ukahoji matumizi ya ruzuku unatishiwa( according to Zitto ,wangwe,Waitara nk)!!
 
chadema kilishapoteza mwelekeo pale watu wachache walipofanya maamuzi ya kijinga na kulazimisha kila mtu wako sahihi sijui watasemaje pale Lowassa wao atakaposema anarudi CCm kwani kuna kila dalili ameshakata tamaa na ndoto ya urais
 
Kwa namna mambo yanavyoendelea ndani ya Chadema ni waxi Lowassa hakuwa asset bali liability kwenye chama

Lowassa kaondoka si na wabunge wake tu akina Karanga na Dr Mollel bali hata akina Selasini na Lwakatsre aliowakuta Chadema
Hakika Dr wa ukweli uliona mbali

Maendeleo hayana vyama!
Jo naona unateseka sana na CHADEMA... Ila kumbuka hili ni chama la wana.. Halifi kesho wala keshokutwa.. Litadumu miaka 1000
tapatalk_1590166850924.jpg


Jr
 
Kwa namna mambo yanavyoendelea ndani ya Chadema ni wazi Lowassa hakuwa asset bali liability kwenye chama

Lowassa kaondoka si na wabunge wake tu akina Karanga na Dr Mollel bali hata akina Selasini na Lwakatare aliowakuta Chadema
Hakika Dr wa ukweli uliona mbali

Maendeleo hayana vyama!
Unajua hayo maneno "Asset" na "liability" yalikuwa na uthamani wakati gani?
 
Back
Top Bottom