johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 70,045
- 108,258
Katibu mkuu wa Chadema by then Dr Slaa kwa nia njema akamuuliza Mwenyekiti Mbowe swali Moja tu " Lowassa ni asset au liability?"
Swali hili lilikosa majibu Dr Slaa akashambuliwa kweli kweli na Bavicha lakini Bawacha walikaa kimya kwa sababu zama hizi Wanawake ni werevu na wanaume ndio Wambeya Waimba taarabu. Hata kwenye issue ya Bashiru wa CCM akina UWT wako kimya Wanaume ndio wanaimba taarabu
Dr Slaa Baada ya kuelemewa na mashambulizi ya Bavicha na Bazecha akaamua kurejea CCM
Lowassa akaingia na Kikosi Kazi chake akina Dr Mollel huku akielewa wazi hata akipata kura nyingi hawezi kuwa Rais kwa sababu CCM ni Chama Dola
Mwisho wa Siku gia ya angani ikageuka kuwa shubiri wamemkosa Dr Slaa na mzee Lowassa akaondoka na wabunge wake wote
J4 Ubarikiwe Sana!