Wabunge wa CUF wakamatwa na polisi

Wabunge wa CUF wakamatwa na polisi

Dalili za chama chakavu kufilisika. Profesa anatumika kuivunja CUF tunasubiri kuona mwisho wake nani anashinda. Tutasikia mengi.
 
BWANA YULE anajaribu kikiyumbisha chama ili kisiendelee na harakati za judai haki yao but madali C. U. F wameshapata tamko rasmi la kesi ya BWANA YULE na MSAJILI YULE soon mwanasheria TUNDULISU atakerebisha mambo na hizi kiki kwa BWANA YULE zitaisha haraka.....
 
Wakoloni walituacha kabla hatujafahamu kujitawala Kama ambavyo tunalazimisha kuwa na vyama vya upinzani wakati mioyo ya watawala inaogopa uwwpo wa vyama hivyo!
 
Mtatiro naweza kusema ni moja ya mtu anaechochea huu mgogoro kwa kutumiwa na upande mwingine wa shilingi maana mwenye busara hawezi kiwa anatoa porojo kila kukicha halafu atamani chama kiwe salama.

Mtatiro wanaokutumia wanakutumia kufifisha chama chako na utakapokuja kuamka kutoka katika utumwa huo basi ushakipagaraganisha chama chako.
 
MTATIRO KAWA MSEMAJI WA CHAMA FB...KILA KUKICHA YEYE POROJO TU WAKATI LE PROFESEE ANAJIJENGA...

WOKE UP MTATIRO...JOIN EFFORTS AND RESOLVE CRISIS ACHA BLAH BLAH ZA FB...

AU WEWE CUF TAWI LA MARK ZUCKERNBUG NINI???
Anafahamu kuna watu wengi ukiwemo wewe! Na ili kufahamu kwamba anachokifanya Mtatiro ni sahihi, wewe mwenyewe umeweza kumpa ushauri hapa (kwenye fb?) baada ya kumsoma hapa (fb?), pengine anaweza kuufanyia kazi...
 
Mtatiro naweza kusema ni moja ya mtu anaechochea huu mgogoro kwa kutumiwa na upande mwingine wa shilingi maana mwenye busara hawezi kiwa anatoa porojo kila kukicha halafu atamani chama kiwe salama.

Mtatiro wanaokutumia wanakutumia kufifisha chama chako na utakapokuja kuamka kutoka katika utumwa huo basi ushakipagaraganisha chama chako.
Wanamtumia vipi? hivi mtatiro kulalamikia uonevu wanaofanyiwa CUF anahitaji kutumwa na mtu ? Porojo zipi? Kulalamika juu ya uonevu wa polisi ni porojo? Mgogoro upi unachochewa na upande wa pili wa shilingi? Kwani upande wa pili ndiyo walimtuma Lipumba akachukua pesa CCM avamie Ofisi na kulala huko na mke wa mtu sakaya? Tambua kuwa kiini ya vurugu ni lipumba na bila fujo za lipumba chama cha CUF kingekuwa na Amani usitake kuharalisha fujo za lipumba na kuita ni mgogoro hakuna asiyejua kuwa lipumba ndiyo Sumu na Bundi wa CUF kwa sasa.
 
Msajili + lipumba +sakaya + Madalali wa siasa + mkuu wa ndumba Abdalah kambaya wanakula pesa za CCM kijanja pasipo CCM kujijua na pesa hazikatwi Kodi huku Wajanja waliokosa Safari za nje kubuni mladi mpya wa kula pesa za umma kwa kisingizio cha kudhoofisha ukawa, siku mkulu akishituka kuwa kuna uchakachuaji ndipo ataacha kuwapa pesa kila mmoja atarudia kazi yake huku Abdalah kambaya akirejea kwenye uganga wa kienyeji.
 
CUF ipo kwenye hatari kubwa sana ya ķutapeliwa ruzuku zake na kupandikiza mgogoro kwa kupitia ofisi na baraka za msajili na usimamizi wa maagizo kutoka juu na kwa kumtumia propesa kanjanja wa siasa, le propesa lipumbav.
 
Baada ya "Bwana Yule" kumaliza ziara yake katika baadhi ya wilaya za Kusini mwa Tanzania huku akilindwa na Polisi, Polisi hao hao jioni hii wamewakamata wabunge wa CUF, Mhe. Bungala (BWEGE) wa Kilwa na Mhe. Katani Katani (Mbunge wa Tandahimba) wakiwa wanakula chakula kwenye mgahawa. Tukio hili limetokea wilayani Nachingwea.

Lengo la Polisi ni kuwazuia viongozi hao wasiendelee na ziara ya vikao vya ndani kama ilivyokuwa kwa "Bwana Yule". Yaani kwa maneno mengine, dola inataka BWANA YULE afanye ziara za kuivunjavunja CUF huku viongozi wa CUF wakizuiwa kukilinda chama. Nimewahi kusema huku nyuma kuwa mwisho wa mapambano haya wapo watu watajulikana kwa rangi zao, sura zao na kazi zao. CUF itashinda mapambano haya.

Mtatiro J
Hi BWANA YULE anatafuta nini, namuonea huruma sana..
 
Back
Top Bottom