Wabunge wa CUF wakamatwa na polisi

Wabunge wa CUF wakamatwa na polisi

Mkuu umenifumbua macho mke wangu no mwalimu yeye alipelekea vyeti vyote vya shule nawakabaki navyo
Ila ninarafiki yangu askari yeye alinidokeza wao walijaza form tu hakuombwa vyeti Leo ndio umenijibu
Wengi wanatumia majina ya watu wengine vyeti si vyao
 
Baada ya "Bwana Yule" kumaliza ziara yake katika baadhi ya wilaya za Kusini mwa Tanzania huku akilindwa na Polisi, Polisi hao hao jioni hii wamewakamata wabunge wa CUF, Mhe. Bungala (BWEGE) wa Kilwa na Mhe. Katani Katani (Mbunge wa Tandahimba) wakiwa wanakula chakula kwenye mgahawa. Tukio hili limetokea wilayani Nachingwea.

Lengo la Polisi ni kuwazuia viongozi hao wasiendelee na ziara ya vikao vya ndani kama ilivyokuwa kwa "Bwana Yule". Yaani kwa maneno mengine, dola inataka BWANA YULE afanye ziara za kuivunjavunja CUF huku viongozi wa CUF wakizuiwa kukilinda chama. Nimewahi kusema huku nyuma kuwa mwisho wa mapambano haya wapo watu watajulikana kwa rangi zao, sura zao na kazi zao. CUF itashinda mapambano haya.

Mtatiro J
Yaani Mbowe akizunguka kufanya Mikutano ya CDM anakamatwa,
Lakini Lipumba anaruhusiwa, dah
 
Wakati ule alipewa kichapo sasa anapakwa mafuta kwa mgongo chupa .sijui kwa nini mijitu mingine haijielewi.!
 
Muzee amefifisha PhD hadi level ya Petticoat Hanging Down.
 
story na porojo FB ns jf hazijengi chama..mnampa huyo mzee kiki...grt back kws katiba kisha weigh objectively who owns the power..baada ya hapo majadiliano ndio solution..

narudia aaache kuwa kasuku wa mipasho FB wakati prof anapambana kufungua account...
Anapambana au anatumia dola kwenye chama hana chake.
 
MTATIRO KAWA MSEMAJI WA CHAMA FB...KILA KUKICHA YEYE POROJO TU WAKATI LE PROFESEE ANAJIJENGA...

WOKE UP MTATIRO...JOIN EFFORTS AND RESOLVE CRISIS ACHA BLAH BLAH ZA FB...

AU WEWE CUF TAWI LA MARK ZUCKERNBUG NINI???
Mtatiro amekutukana?
 
Lakini anavyofanyA haya mambo sio njema kabisa hata kidogo sijaipenda anacho taka lipumba nn jamani watu wameumiza vichwa kampeni za ubunge mpaka wamepata wabunge 10 yeye ameka kwenye umwenyekiti miaka migapi hao wabunge alikuwa hajawahi kuwapata kwa hiyo hawezi kuongoza na hafai kuwa kiongozi hata kidogo
 
Kitendo cha kutumia pesa za walipa kodi kumlinda lipumba huku Msajili akila njama waibe ruzuku kwa njia haramu ni Aibu kubwa sana ni aina ya ufisadi mkubwa , pesa za maafa Bukoba walichangisha watu cha ajabu pesa za lipumba zimejaa Hazina.
 
Back
Top Bottom