Polisi wanashangaza sana yaani lipumba wanamlinda hata ofisini akiwa amelala na sakaya.Honestly nimetokea kulichukia sana Jeshi la polisi tangu awamu hii ilipoingia.
Jeshi halifanyi kazi kwa weledi, linafanya kazi kutumikia chama tawala CCM. Mbona Said Mwema aliweza kuwaunganisha polisi na raia
Kwa mwendo huu, sitashangaa wananchi kuendelea kushangilia endapo polisi wakiuliwa na majambazi
Ndugu yangu Msajili amesema hakutambui! Hiki unachokisema siyo kulinda Chama bali kuchochea Vurugu!Baada ya "Bwana Yule" kumaliza ziara yake katika baadhi ya wilaya za Kusini mwa Tanzania huku akilindwa na Polisi, Polisi hao hao jioni hii wamewakamata wabunge wa CUF, Mhe. Bungala (BWEGE) wa Kilwa na Mhe. Katani Katani (Mbunge wa Tandahimba) wakiwa wanakula chakula kwenye mgahawa. Tukio hili limetokea wilayani Nachingwea.
Lengo la Polisi ni kuwazuia viongozi hao wasiendelee na ziara ya vikao vya ndani kama ilivyokuwa kwa "Bwana Yule". Yaani kwa maneno mengine, dola inataka BWANA YULE afanye ziara za kuivunjavunja CUF huku viongozi wa CUF wakizuiwa kukilinda chama. Nimewahi kusema huku nyuma kuwa mwisho wa mapambano haya wapo watu watajulikana kwa rangi zao, sura zao na kazi zao. CUF itashinda mapambano haya.
Mtatiro J
Msajili ni nani? Kama Msajili kala njama za kufungua Account ili waibe ruzuku na lipumba atashindwa kutamka hamtambui mtu, huyo Msajili sasa amekuwa Dalali wa siasa anakula 10% mgao toka kwa lipumba.Ndugu yangu Msajili amesema hakutambui! Hiki unachokisema siyo kulinda Chama bali kuchochea Vurugu!
Utafungwa kwa kudharau Mamlaka ukanyee ndoo. Hoja zako zinafanana na jina lako period!Msajili ni nani? Kama Msajili kala njama za kufungua Account ili waibe ruzuku na lipumba atashindwa kutamka hamtambui mtu, huyo Msajili sasa amekuwa Dalali wa siasa anakula 10% mgao toka kwa lipumba.
Za kichina anazo lipumba eliyetorokea Rwanda kipindi cha kampeni na sasa kaja kuiba ruzuku na Msajili yaani wanakula pesa ambazo hawakuzisotea.Siasa za Kijima Zitaisha Lini?
Sasa kwa ukilaza wako hili jambo wataka mpaka msemaji wa chama aseme jambo la kukamatwa viongozi mwenyekiti wa Muda anahusika moja kwa moja hebu ficha up. MBA. Vu wako usitake nipigwe ban zomb..ie mkubwa weMtatiro sasa amekuwa ndio msemaji wa cuf maana kila siku haachi kupiga mayowe wakati wenzie wanaendelea kupiga kazi
Wakichunguza vyeti vya polisi ujue Duniani kote kutasambaa Aibu kwani yatatokea maajabu ya karne.Do polisi wetu ndio naomba vyeti vyao pia vichunguzwe sio kukomalia walimu
Huyu ndiye dunia inamtambua kama Mwenyekiti wa cuf kwa sasa , hutaki unaacha .Mtatiro sasa amekuwa ndio msemaji wa cuf maana kila siku haachi kupiga mayowe wakati wenzie wanaendelea kupiga kazi
Tatizo unalaumu na kulaani lakini huna maelezo mbadala bora wakague vyeti feki maana mmezidi pumba humuPropaganda za kitoto hizo, yaani unakubali kutumika bila ya aibu kha!
Dunia ipi mkuu unayomaanisha ya watumiaji facebook au?Huyu ndiye dunia inamtambua kama Mwenyekiti wa cuf kwa sasa , hutaki unaacha .
Utoto gani hapo? Kuhoji juu ya tabia za polisi ni Utoto?Mtatiro haachi tu utoto
Mkuu umenifumbua macho mke wangu no mwalimu yeye alipelekea vyeti vyote vya shule nawakabaki navyoWakichunguza vyeti vya polisi ujue Duniani kote kutasambaa Aibu kwani yatatokea maajabu ya karne.
Wakichunguza vyeti vya polisi ujue Duniani kote kutasambaa Aibu kwani yatatokea maajabu ya karne.
Lipumba atanyooka tu hata atumikeje!Baada ya "Bwana Yule" kumaliza ziara yake katika baadhi ya wilaya za Kusini mwa Tanzania huku akilindwa na Polisi, Polisi hao hao jioni hii wamewakamata wabunge wa CUF, Mhe. Bungala (BWEGE) wa Kilwa na Mhe. Katani Katani (Mbunge wa Tandahimba) wakiwa wanakula chakula kwenye mgahawa. Tukio hili limetokea wilayani Nachingwea.
Lengo la Polisi ni kuwazuia viongozi hao wasiendelee na ziara ya vikao vya ndani kama ilivyokuwa kwa "Bwana Yule". Yaani kwa maneno mengine, dola inataka BWANA YULE afanye ziara za kuivunjavunja CUF huku viongozi wa CUF wakizuiwa kukilinda chama. Nimewahi kusema huku nyuma kuwa mwisho wa mapambano haya wapo watu watajulikana kwa rangi zao, sura zao na kazi zao. CUF itashinda mapambano haya.
Mtatiro J