Kama unabisha hilo niambie kwanini maduka ya wapemba yanakuwa wazi mpaka usiku, nawe jaribu uone.Mambo ya kizamani hayo. MTU aliyeelimika hawezi kuwaza wala kushiriki mambo hayo. Nakuekewa wewe ni MTU wa kiwango gani cha Elimu siyo kosa lako!!
Pesa za kubana matumizi kuzuia Safari za nje, pesa za viwanda, pesa Mwenge zote amepewa Lipumba ambaye kaigeuza CCM kuwa buzz la kuchuna pesa kiulaini tu.Watarudisha tuu hizo pesa walizo hongwa kusaliti umma. Mungu huwa hawi upande wa msaliti siku zote.
Sikujua kama Mtatiro ana uwezo mdogo kaisi hiki.
Honestly nimetokea kulichukia sana Jeshi la polisi tangu awamu hii ilipoingia.
Jeshi halifanyi kazi kwa weledi, linafanya kazi kutumikia chama tawala CCM. Mbona Said Mwema aliweza kuwaunganisha polisi na raia
Kwa mwendo huu, sitashangaa wananchi kuendelea kushangilia endapo polisi wakiuliwa na majambazi
Nikwasababu kuna nguvu ya dora nyuma yake.Tatizo ana backup inayompa kujiamini na cuf wasipoangalia vizuri chama kinaweza kuingia pabaya kwa sababu yake.
Baada ya "Bwana Yule" kumaliza ziara yake katika baadhi ya wilaya za Kusini mwa Tanzania huku akilindwa na Polisi, Polisi hao hao jioni hii wamewakamata wabunge wa CUF, Mhe. Bungala (BWEGE) wa Kilwa na Mhe. Katani Katani (Mbunge wa Tandahimba) wakiwa wanakula chakula kwenye mgahawa. Tukio hili limetokea wilayani Nachingwea.
Lengo la Polisi ni kuwazuia viongozi hao wasiendelee na ziara ya vikao vya ndani kama ilivyokuwa kwa "Bwana Yule". Yaani kwa maneno mengine, dola inataka BWANA YULE afanye ziara za kuivunjavunja CUF huku viongozi wa CUF wakizuiwa kukilinda chama. Nimewahi kusema huku nyuma kuwa mwisho wa mapambano haya wapo watu watajulikana kwa rangi zao, sura zao na kazi zao. CUF itashinda mapambano haya.
Mtatiro J
Chuki ipi? Chuki ya kutoka wapi? Hivi ni nani mwenye chuki zaidi ya lipumba? Tambua kuwa lipumba ndiyo mchokozi kavamia Ofisi sasa analala na mke wa mti ndani ya ofisiUnadhani chuki yako itamzuia Lipumba kutoendelea na majukumu yake ya uenyekiti?
Hujitambui.bwana yule ni hatari sana
Ninyi na wenzio ndio hamjitambui kwa undumakuwili wenu. Leo mnasema cheusi hakisafishiki kesho cheupe!Hujitambui.
Mshaangukia pua kwa mara nyingine.Ninyi na wenzio ndio hamjitambui kwa undumakuwili wenu. Leo mnasema cheusi hakisafishiki kesho cheupe!
[emoji53] [emoji53] [emoji53] ww unamzidi akil mtatiro kweli???Sikujua kama Mtatiro ana uwezo mdogo kaisi hiki.
Kichwa anakimbia mapambano?Tangu lini sikio likazidi kichwa? Yaani graduate amzidi professor? Yaani Mtatiro aanze siasa jana wakati Lipumba ana miaka 40+ kisha amshinde Lipumba?
Chuki ipi? Chuki ya kutoka wapi? Hivi ni nani mwenye chuki zaidi ya lipumba? Tambua kuwa lipumba ndiyo mchokozi kavamia Ofisi sasa analala na mke wa mti ndani ya ofisi