Wabunge wa CUF wakamatwa na polisi

Wabunge wa CUF wakamatwa na polisi

We nawe jiulize je bwana yule ni mbunge wa wapi? Siasa za namna hii hazijengi
 
Hupendi ujinga na wakati huo unaongea na kutenda kijinga??? Mtu yule ni wa jimbo gani??? Huko anakofanya mikutano ni jimboni kwake??Amefanya mkutano wa ndani au wa hadhara?? Ipi imeruhusiwa???

Sipendi wajinga

umeonaeeeeeee.... mimi huwa nasikitika sana arguments nyingine humu jf..... ila naogopa tusije kuwa tunaexhaust alot of our energy kuaArgue na tudents twa form two humu JF
 
u

kindly understand that your foolishness has been originated from your revealed happiness when you see falling of democracy

en that's all
Kila mtu ndugu hapa duniani ana interest yake hata siku moja huwezi lazimisha punda aote pembe kama ng'ombe.

Mimi interest yangu sio siasa hata kama demokrasia itanyongwa mchana kweupe "nimezaliwa na kuikuta demokrasia siwezi kuishobokea kaka" kila mtu awe interested na anachopenda hayo mambo yakulazimisha yapeleke huko uyole sio hapa.

Wewe tetea tu demokrasia ndugu naona uko on fire.


Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
MTATIRO KAWA MSEMAJI WA CHAMA FB...KILA KUKICHA YEYE POROJO TU WAKATI LE PROFESEE ANAJIJENGA...

WOKE UP MTATIRO...JOIN EFFORTS AND RESOLVE CRISIS ACHA BLAH BLAH ZA FB...

AU WEWE CUF TAWI LA MARK ZUCKERNBUG NINI???

'Zuckernbug' ndio mdudu gani huyo? Kama umezowea majina kama magu, muhongo n.k si unyamaze tu! Mkuu si lazima ku coment kila jambo.
 
Baada ya "Bwana Yule" kumaliza ziara yake katika baadhi ya wilaya za Kusini mwa Tanzania huku akilindwa na Polisi, Polisi hao hao jioni hii wamewakamata wabunge wa CUF, Mhe. Bungala (BWEGE) wa Kilwa na Mhe. Katani Katani (Mbunge wa Tandahimba) wakiwa wanakula chakula kwenye mgahawa. Tukio hili limetokea wilayani Nachingwea.

Lengo la Polisi ni kuwazuia viongozi hao wasiendelee na ziara ya vikao vya ndani kama ilivyokuwa kwa "Bwana Yule". Yaani kwa maneno mengine, dola inataka BWANA YULE afanye ziara za kuivunjavunja CUF huku viongozi wa CUF wakizuiwa kukilinda chama. Nimewahi kusema huku nyuma kuwa mwisho wa mapambano haya wapo watu watajulikana kwa rangi zao, sura zao na kazi zao. CUF itashinda mapambano haya.

Mtatiro J
Mtatiro semeni kweli acheni kumchafuwa Prof mbona hamsemi maazimio yenu yakinafiki kipindi cha kuingia ndowa ya ukawa?
 
Kila mtu ndugu hapa duniani ana interest yake hata siku moja huwezi lazimisha punda aote pembe kama ng'ombe.

Mimi interest yangu sio siasa hata kama demokrasia itanyongwa mchana kweupe "nimezaliwa na kuikuta demokrasia siwezi kuishobokea kaka" kila mtu awe interested na anachopenda hayo mambo yakulazimisha yapeleke huko uyole sio hapa.

Wewe tetea tu demokrasia ndugu naona uko on fire.


Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

Ahya bhana mzee wa TECNO-C8 lakini ujue hii mada ni ya kisiasa sasa mwenzetu wa Ureno kama wewe ni engineer we are very sorry
 
Yaani Mbowe akizunguka kufanya Mikutano ya CDM anakamatwa,
Lakini Li Pumba anaruhusiwa, dah
Lipumba ni mwenzetu anafanya kazi yetu kwanini tusimpe ulinzi wetu???Propesa piga pesa na timiza majukumu yako
 
Du hao jamaa leo nasikia walikua Ruangwa kwa hiyo wamewakamata kwa kosa gani wakati mikutano ya ndani imeruhusiwa?
 
Mtatiro semeni kweli acheni kumchafuwa Prof mbona hamsemi maazimio yenu yakinafiki kipindi cha kuingia ndowa ya ukawa?
Ukweli upi? Kuna uongo juu ya lipumba? Uovu, wizi juu ya Account waibe pesa za Ruzuku na Msajili sio siri kabsa,kulala na sakaya kufanya mapenzi ofisini, lipumba kuwageuza CCM buzi la kuchuna pesa za walipa kodi, kula pesa za viwanda, pesa yote ya kubana matumizi, maazimio ya ndoa ya ukawa na unafiki anao lipumba kwani yy alikubali ndoa ya Ukawa lakini akanunuliwa na Membe kwa pesa haramu za marehemu Gadafi akasariti na kukimbilia Rwanda kuanzisha kikundi cha ugaidi lakini akaishiwa pesa baada ya kuendekeza michepuko kibao, sasa kaja na Mladi wa kula pesa za umma kwa kisingizio cha kuisadia CCM kudhoofisha ukawa mnabakia kumshabikia tu kisa kawapa ghetto la kulala buguruni mkipiga chabo penzi lake na sakaya.
 
Mtatiro usitafute huruma huku kwenye mitandao coz we are not in the same journey,,,,,,, ni bora lipumba Mara elfu kumi kuliko ww,wafuate haohao wasio na uwezo wa kupembua mambo.
 
Mtatiro usitafute huruma huku kwenye mitandao coz we are not in the same journey,,,,,,, ni bora lipumba Mara elfu kumi kuliko ww,wafuate haohao wasio na uwezo wa kupembua mambo.
Bora lipumba? Lipumba anajua kupambana nini? Mtu hana mke wala mtoto Uprofesa wenyewe feki anajua kupambanua nini? Kwenda kulala Ofisini na wake za watu ni kupambanua mambo? Uwezo gani huo wa kupambanua unao? Umeshindwa kugundua kuwa lipumba anakula pesa anashiba ajitajirisha ww unakariri anachokulisha tu, huko ndiko kupambanua mambo? Alivyoondoka kipindi cha kampeni kwa kudai nafsi inamsuta haukupambanua hilo? Pro--Kawa sumu na Bundi la CUF sasa wapemba watamsomea kisomo kikubwa mpaka ajutie ujinga wake.
 
Na hao wanahudhuria mikitano yake hiv hawajui wanatumika km dekio tu
 
Back
Top Bottom