Mtatiro sasa amekuwa ndio msemaji wa cuf maana kila siku haachi kupiga mayowe wakati wenzie wanaendelea kupiga kaziWABUNGE WA CUF WAMEKAMATWA MUDA HUU.
Baada ya "Bwana Yule" kumaliza ziara yake katika baadhi ya wilaya za Kusini mwa Tanzania huku akilindwa na Polisi, Polisi hao hao jioni hii wamewakamata wabunge wa CUF, Mhe. Bungala (BWEGE) wa Kilwa na Mhe. Katani Katani (Mbunge wa Tandahimba) wakiwa wanakula chakula kwenye mgahawa. Tukio hili limetokea wilayani Nachingwea.
Lengo la Polisi ni kuwazuia viongozi hao wasiendelee na ziara ya vikao vya ndani kama ilivyokuwa kwa "Bwana Yule". Yaani kwa maneno mengine, dola inataka BWANA YULE afanye ziara za kuivunjavunja CUF huku viongozi wa CUF wakizuiwa kukilinda chama. Nimewahi kusema huku nyuma kuwa mwisho wa mapambano haya wapo watu watajulikana kwa rangi zao, sura zao na kazi zao. CUF itashinda mapambano haya.
Mtatiro J
Katumika wapi apo mtatiro sasa kwa mfano, au kutupasha habari ndo kutumika Sheikh ama?Propaganda za kitoto hizo, yaani unakubali kutumika bila ya aibu kha!
A go wapi ?! Labda kuzimu kwa CUFProfesa Lipumba go baba go sitaki kuitwa mchochezi go baba go
Propaganda za kitoto hizo, yaani unakubali kutumika bila ya aibu kha!
Anayetumika ni Mtatiro au Lipumba?Propaganda za kitoto hizo, yaani unakubali kutumika bila ya aibu kha!
Unataka nani asemeMTATIRO KAWA MSEMAJI WA CHAMA FB...KILA KUKICHA YEYE POROJO TU WAKATI LE PROFESEE ANAJIJENGA...
WOKE UP MTATIRO...JOIN EFFORTS AND RESOLVE CRISIS ACHA BLAH BLAH ZA FB...
AU WEWE CUF TAWI LA MARK ZUCKERNBUG NINI???
story na porojo FB ns jf hazijengi chama..mnampa huyo mzee kiki...grt back kws katiba kisha weigh objectively who owns the power..baada ya hapo majadiliano ndio solution..Unataka nani aseme
Baada ya "Bwana Yule" kumaliza ziara yake katika baadhi ya wilaya za Kusini mwa Tanzania huku akilindwa na Polisi, Polisi hao hao jioni hii wamewakamata wabunge wa CUF, Mhe. Bungala (BWEGE) wa Kilwa na Mhe. Katani Katani (Mbunge wa Tandahimba) wakiwa wanakula chakula kwenye mgahawa. Tukio hili limetokea wilayani Nachingwea.
Lengo la Polisi ni kuwazuia viongozi hao wasiendelee na ziara ya vikao vya ndani kama ilivyokuwa kwa "Bwana Yule". Yaani kwa maneno mengine, dola inataka BWANA YULE afanye ziara za kuivunjavunja CUF huku viongozi wa CUF wakizuiwa kukilinda chama. Nimewahi kusema huku nyuma kuwa mwisho wa mapambano haya wapo watu watajulikana kwa rangi zao, sura zao na kazi zao. CUF itashinda mapambano haya.
Mtatiro J
Mwenyekiti wa ccm ni kasonova anadhani atashinda gwiji la siasa za fitina CUF anapoteza mudastory na porojo FB ns jf hazijengi chama..mnampa huyo mzee kiki...grt back kws katiba kisha weigh objectively who owns the power..baada ya hapo majadiliano ndio solution..
narudia aaache kuwa kasuku wa mipasho FB wakati prof anapambana kufungua account...
kama ni kweli hawajamaa mbona wanataka kufunga goli zaidi la lile la TAMBWE.Baada ya "Bwana Yule" kumaliza ziara yake katika baadhi ya wilaya za Kusini mwa Tanzania huku akilindwa na Polisi, Polisi hao hao jioni hii wamewakamata wabunge wa CUF, Mhe. Bungala (BWEGE) wa Kilwa na Mhe. Katani Katani (Mbunge wa Tandahimba) wakiwa wanakula chakula kwenye mgahawa. Tukio hili limetokea wilayani Nachingwea.