Unafiki wa Chadema na Wabunge wao! Hivi Wabunge wa Chadema hawakuchukua 90 milioni? Kama wanaweza kutoka nje ya ukumbi kwa nini wamelamba 90 m nakutulia!!! Sauti ya Wabunge wa Chadema mbona haitoki hapa kwenye 90 milion?
hawana hata haya!hivi hawaigi mazuri ya majirani zetu wa msumbiji ambako wabunge wamekataa kuchukua magari mapya ya kifahari aina ya mercedes benz na kusema wataendelea kutumia pegoeut zao kuukuuWabunge wasiwafanye watanzania wajinga ,kwani katika hali ya kawaida mshahara unao weza kulipa mkopo wa milioni tisini kwa miaka mitano ni mshahara mkubwa sana ambao mafisadi tu wanalipwa.
kama ni mkopo kwa nini wasiende kwa dealer na kumaliza huko, kwa nini serikali inaingia hapo, hatudanganyiki tumeshashituka,
ina maan hao wabunge wanatufanya sisi wajinga kiasi cha kuto jua mishahara yao imewekewa na hizo pesa za mashangingi, wao wanaita mikopo kutupoza sisi, lakini kwa hali ya kawaida mtu kulipa milioni 90 kwa msharaha tu ina maana wanalipa mishahara mikubwa kupitiliza, ukishukuwa hiyo 90/5 =18milion kwa mwaka au 18/12= 1.5 milioni kwa mwezi, ina maana kila mwezi wabunge wanatakiwa kulipa shilling 1.5mil, sasa wao wanalipwa ngapi kabla ya kodi pamoja na posho
hawana hata haya!hivi hawaigi mazuri ya majirani zetu wa msumbiji ambako wabunge wamekataa kuchukua magari mapya ya kifahari aina ya mercedes benz na kusema wataendelea kutumia pegoeut zao kuukuu
Serikali haibagui wafanyakazi wa sekta binafsi. Ni kwamba katika mfumo wa uchumi huria serikali haiwezi kuwapangia wafanyakazi wa sekta binafsi mishahara kwa sababu haiwalipi yenyewe. Mshahara ni makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Kwenye swala la kodi kila mfanyakazi awe wa serikali au wa sekta binafsi analipa kodi. Unapotokea msamaa fulani wa kodi ni kwa sekta zote. Kwa hiyo kama posho kwa wafanyakzi wa uma zimesamehewa kodi. Hata za sekta binafsi hazitakatwa kodi. Huko nyuma ilkuwa hivyo. Ili kuwapa nafuu zaidi wafanyakazi wao sekta binafsi walikuwa wanalipa kiasi kidogo kama mshahara na kiasi kikubwa kinalipwa kama posho hivyo kutokatwa kodi.Imekuwa ni desturi kwa serikali kwa kila bajeti kutengeneza matabaka miongoni mwa jamii,inakuaje kila mwaka wa bajeti unafuu unakuwa kwa wafanyakazi serikalini na si kwa wafanyakazi wa sekta binafsi? Kwanini mfanyakazi wa serikalini awe exampted kulipa kodi? Why are you creating discrimination in the public? Mbaya zaidi wakati Mkulo anatamka kuhusu msamaa wa kodi kwenye posho za hao waserikalini wabunge wa CCM wakashangilia,hivi walishangilia hawajui maana yake au madhara yake au hawakumwelewa Mkulo? Hii ni aibu na ni hatari kwa mustakbari wa ustawi wa hii amani ya kuchora kwa Chaki.
Ushauri wangu ni kwamba waungane na wapinzani kupinga ubaguzi wa serikali kuchagua nani alipe kodi na nani asilipe bila kuzingatia haki na usawa.
Nafuatilia bunge hapa kuna mbunge katoka kutoa hoja kabla ya mheshimiwa Hamad Rashid yaani kaongea tu mashairi ya taarabu na vilaza wenzie wa CCM walikua wakimpigia makofi. Sasa kaingia mheshimiwa Hamad Rashid anashuka point za maana with evidence hakuna makofi kutoka CCM.
Walahi nawaambia watanzania tunaona sidhani kama mtarudi 2015
Kasema nini ? Mbona unaongea kama vile na mimi naona hayo matukio wakati sina TV hapa . Tujulishe kinacho jiri ili tuchangie sasa unataka tuanze kusema nini hapa ?
Ni wa kufuta viti maalum.Tatizo ni viti maalumu. Watoe upupu hapo bungeni.
.