Wabunge wa CCM kuweni wazalendo japo kidogo!

WABUNGE WA CHADEMA WASHINDWA KUTOKA NJE YA BUNGE.....mill 90 si mchezo kwao....... KIMYA CHAO KIMETUSALITI WANANCHI....! WANA-UBAVU WA KUZIKATAA? AMA WASHAZILAMBA TAYARI
 
Waliotoa siri hiyo ya mkopo huo ni wabunge wa Chadema, wakati huo huo wabunge wa CCM wanalalamikia wabunge wa upinzani kutoridhishwa na mkopo huo. Ni kama wabunge wa upinzani wamewasaliti wenzao wa CCM.

Ukimwa wa wabunge wa Chadema ni ishara ya kuridhika kwamba ujumbe umefika ndo maana wabunge wa ccm wanalalamika
 
Kwa mtaji huu wa wabunge wa CCM kupenda sana na kuendekeza ANASA katika taifa lenye uhaba wa kukithi mahitaji yake, inamaana chama hiki hata kingepewa zaidi ya miaka 150 kuvua gamba bado zoezi hilo kamwe lisingewezekana kuzaa matunda yaendanayo na hali ya sasa.

CCM safari bado ni ndefu saaaana kurejesha kitu imani kwetu sie wananchi!!!
 
kama ni mkopo kwa nini wasiende kwa dealer na kumaliza huko, kwa nini serikali inaingia hapo, hatudanganyiki tumeshashituka,
ina maan hao wabunge wanatufanya sisi wajinga kiasi cha kuto jua mishahara yao imewekewa na hizo pesa za mashangingi, wao wanaita mikopo kutupoza sisi, lakini kwa hali ya kawaida mtu kulipa milioni 90 kwa msharaha tu ina maana wanalipa mishahara mikubwa kupitiliza, ukishukuwa hiyo 90/5 =18milion kwa mwaka au 18/12= 1.5 milioni kwa mwezi, ina maana kila mwezi wabunge wanatakiwa kulipa shilling 1.5mil, sasa wao wanalipwa ngapi kabla ya kodi pamoja na posho
 
Unafiki wa Chadema na Wabunge wao! Hivi Wabunge wa Chadema hawakuchukua 90 milioni? Kama wanaweza kutoka nje ya ukumbi kwa nini wamelamba 90 m nakutulia!!! Sauti ya Wabunge wa Chadema mbona haitoki hapa kwenye 90 milion?

kweli kabisa kaka...never trust the politicians.
 
Nimeshasema Mshahara wa Mbunge unajumlishwa na mahitaji ya gari hili..Hivyo wanalipwa mishahara mikubwa ili kulipia gharama hizi na sii kupokea mishahara kulingana na kazi wanayoifanya...
 
Wabunge wasiwafanye watanzania wajinga ,kwani katika hali ya kawaida mshahara unao weza kulipa mkopo wa milioni tisini kwa miaka mitano ni mshahara mkubwa sana ambao mafisadi tu wanalipwa.
hawana hata haya!hivi hawaigi mazuri ya majirani zetu wa msumbiji ambako wabunge wamekataa kuchukua magari mapya ya kifahari aina ya mercedes benz na kusema wataendelea kutumia pegoeut zao kuukuu
 
kama ni mkopo kwa nini wasiende kwa dealer na kumaliza huko, kwa nini serikali inaingia hapo, hatudanganyiki tumeshashituka,
ina maan hao wabunge wanatufanya sisi wajinga kiasi cha kuto jua mishahara yao imewekewa na hizo pesa za mashangingi, wao wanaita mikopo kutupoza sisi, lakini kwa hali ya kawaida mtu kulipa milioni 90 kwa msharaha tu ina maana wanalipa mishahara mikubwa kupitiliza, ukishukuwa hiyo 90/5 =18milion kwa mwaka au 18/12= 1.5 milioni kwa mwezi, ina maana kila mwezi wabunge wanatakiwa kulipa shilling 1.5mil, sasa wao wanalipwa ngapi kabla ya kodi pamoja na posho

Nakubaliana nawe 100% kama ni mkopo waende kwa car dealer badala ya kuendelea kutukaba walipa kodi. Kwa ufahamu wangu mdogo wabunge ambao wanaweza kwenda kuchukua mkopo kwa car dealer watakuwa wachache sana na wengi wao hawatachukua magari ya gharama kubwa kama hiyo. Huu ni usanii waserikali ya ciciem kuchakachua kila kitu badala ya kusema wazi magari hayo ni kwa ajili ya kuwaziba mdomo wabungu, bribe stuff.
 
hawana hata haya!hivi hawaigi mazuri ya majirani zetu wa msumbiji ambako wabunge wamekataa kuchukua magari mapya ya kifahari aina ya mercedes benz na kusema wataendelea kutumia pegoeut zao kuukuu

Nimeshawaambia CCM ni gari kukuu ambalo halitengenezeki tena na liwapo barabarani ni kutoa moshi usiokatika. Tangu lini fisadi akageuka kumjali mlala hoi?

Nchi zilizokuwa vitani miaka mingi zinatupita kwa mengi, hii amani wanayoimba ccm miaka yote imetufikisha wapi imaendeleo badala ya kujinufaisha viongozi tu?
 
Imekuwa ni desturi kwa serikali kwa kila bajeti kutengeneza matabaka miongoni mwa jamii,inakuaje kila mwaka wa bajeti unafuu unakuwa kwa wafanyakazi serikalini na si kwa wafanyakazi wa sekta binafsi? Kwanini mfanyakazi wa serikalini awe exampted kulipa kodi? Why are you creating discrimination in the public? Mbaya zaidi wakati Mkulo anatamka kuhusu msamaa wa kodi kwenye posho za hao waserikalini wabunge wa CCM wakashangilia,hivi walishangilia hawajui maana yake au madhara yake au hawakumwelewa Mkulo? Hii ni aibu na ni hatari kwa mustakbari wa ustawi wa hii amani ya kuchora kwa Chaki.
Ushauri wangu ni kwamba waungane na wapinzani kupinga ubaguzi wa serikali kuchagua nani alipe kodi na nani asilipe bila kuzingatia haki na usawa.
 
Serikali haibagui wafanyakazi wa sekta binafsi. Ni kwamba katika mfumo wa uchumi huria serikali haiwezi kuwapangia wafanyakazi wa sekta binafsi mishahara kwa sababu haiwalipi yenyewe. Mshahara ni makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Kwenye swala la kodi kila mfanyakazi awe wa serikali au wa sekta binafsi analipa kodi. Unapotokea msamaa fulani wa kodi ni kwa sekta zote. Kwa hiyo kama posho kwa wafanyakzi wa uma zimesamehewa kodi. Hata za sekta binafsi hazitakatwa kodi. Huko nyuma ilkuwa hivyo. Ili kuwapa nafuu zaidi wafanyakazi wao sekta binafsi walikuwa wanalipa kiasi kidogo kama mshahara na kiasi kikubwa kinalipwa kama posho hivyo kutokatwa kodi.
 
Nafuatilia bunge hapa kuna mbunge katoka kutoa hoja kabla ya mheshimiwa Hamad Rashid yaani kaongea tu mashairi ya taarabu na vilaza wenzie wa CCM walikua wakimpigia makofi. Sasa kaingia mheshimiwa Hamad Rashid anashuka point za maana with evidence hakuna makofi kutoka CCM.
Walahi nawaambia watanzania tunaona sidhani kama mtarudi 2015
 
Tatizo ni viti maalumu. Watoe upupu hapo bungeni.
Wanaliingizia taifa hasara ya bure.
 
Kasema nini ? Mbona unaongea kama vile na mimi naona hayo matukio wakati sina TV hapa . Tujulishe kinacho jiri ili tuchangie sasa unataka tuanze kusema nini hapa ?
 
Kasema nini ? Mbona unaongea kama vile na mimi naona hayo matukio wakati sina TV hapa . Tujulishe kinacho jiri ili tuchangie sasa unataka tuanze kusema nini hapa ?

Anasema kua bajeti ni nzuri sana na imemgusa kila mtu kwa hiyo kuanzia sasa kila mtanzania maisha yake yatakua safi
 
Tatizo ni viti maalumu. Watoe upupu hapo bungeni.
.
Ni wa kufuta viti maalum.
pili si kwamba wabunge wa CCM vilaza, ni kuwa wanaweka maslahi binfsi mbele kwanza, Chama kinafuata then to hell with tanganyika.
 
hiyo mibunge ni mzigo kwa kweli, wanatumia kodi zetu vibaya maendeleo hakuna bungeni ni kulala tuu, kutwaa kugombea posho yaani ingekuwa km ni afghanistan ni suicide tuu tuondokane na hii mizigo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom