Wabunge wa CCM kuweni wazalendo japo kidogo!

Wingi wa wabunge wa namna hii hauna tija kwa taifa zaidi ya kutuongezea umaskini kwa kutumia pesa yetu kidogo tuliyonayo kuwaudumia. Wabunge wa ccm wengi wanatia aibu kwa michango yao juu ya bajeti!
 
Ukitizama Bunge la Kenya namna wabunge wtimizavyo wajibu wao wa kusimamia Serikali yao no mata wanatoka chama gani na hii mipumbavu ambayo imekuwa ikifanya kazi za mawaziri za kutetea Serikali inakatisha tamaa sana. Jana Sugu alizungumzia suala la wanamuziki na sanaa kwamba serikali haijachukua hatua za makusudi kuendeleza sekta hii akasimama kigwangala kutoa taarifa as if yeye ni waziri, kama kijana km huyu anakua mjinga, mlamba viatu na mwenye akili ya mende kiasi hiki jee magamba yaliyokomaa, nashukuru Sugu alimuuliza on the spot km rais ameshatangaza baraza jipya. Ni mijitu mijinga, haifikiri chochote kusaidia na kutetea wananchi zaidi ya kuwa mivuvuzela ya serikali
 
Nafuatilia bunge hapa kuna mbunge katoka kutoa hoja kabla ya mheshimiwa Hamad Rashid yaani kaongea tu mashairi ya taarabu na vilaza wenzie wa CCM walikua wakimpigia makofi. Sasa kaingia mheshimiwa Hamad Rashid anashuka point za maana with evidence hakuna makofi kutoka CCM.
Walahi nawaambia watanzania tunaona sidhani kama mtarudi 2015
Huyu si yule yule au kajivua gamba?
 
Nafuatilia bunge la bajeti la Tz kwa karibu sana,utasikia mbunge wa chama tawala anasimama na kuelezea matatizo yanayolikabili taifa ikiwemo jimbo lake, lakini mwisho wa maongezi yake utasikia 'naunga mkono bajeti hii'ukifikiria kwa undani zaidi utagundua hawajajua nini wanatakiwa wafanye kwa wananchi,ila wao wana ushabiki wa kisiasa.
 
lazima u support kila kitu as long as kimetoka kwenye serikali - vinginevyo kura za maoni si unajua kazi yake?
 
Wabunge wa CCM wanaopinga kuondolewa kwa posho ni wezi wakubwa!! Wanawaibia waTZ kungali kweupe kabisa!! Kwa siku moja wanaweza kupata sitting allowance hata mara 3. Wanapata ya kuhudhuria kikao cha bunge. Pili wanaweza kupata ya kuhudhuira kikao cha kamati ndogo. Kwa vile vikao vya kamati ndogo vinakuwa vifupi, kikiisha kuna uwezekano kukawa na kikao cha kamati nyingine siku hiyo hiyo, hivyo kumfanya mbunge apate sitting allowance ya tatu!! Kwa hiyo kwa siku anaweza kupata Sh. 210,000.00 za sitting allowance peke yake!! Jamani tupige kelele hadi hii sitting allowance iondolewe. Namshangaa sana Pinda anayejiita mtoto wa mkulima kutetea hii posho. Pia namshangaa sana Makinda kuitetea wazi wazi huku akiwa Speaker. Anasahau kuwa Speaker ni refa ambaye hatakiwi kuwa na upande.

Nawasilisha
 
Mods ifuteni hii kwa kuwa inaleta uchochezi dhidi ya Wabunge wa CCM na wapiga kura wao.
 
Mtu akisema ukweli anakuwa mbaya,mchochezi na zaidi anatafuta sifa.kulingana na pinda posho zinatumika kugawia wananchi 'ombaomba'.so wabunge wa ccm wanataka kusifiwa muda wote na wanchi anapowaomba hela na mbunge anampa bila kujua ile hela ni ya mwanamchi.sasa itolewe ipelekwe kwa maendeleo ya mwananchi ili asiombe tena tuone umaarufu wa ccm na wabunge wao utatoka wapi.tukaze buti jamani inawezekana bunge bila posho.
 
Wabunge wa CCM huanza na uungaji mkono bajeti kwa 100% kwa sababu ni maagizo ya chama cha magamba, lakini kwa ndani wanazo hoja za kupinga bajeti na hizo ndizo wanazotoa baadaye. Kimsingi ni uhuni kuunga hoja mkono na hapo hapo kuipinga.
 
Hawa CCM ndivyo wanavyo fundishwa ndiyo namna yao ya kuchangia hawana kitu zaidi ya hapo . They are not creative hata kuwa brave na kuita waziri mdogo hawawezi .Hawawezi kusema ndugu Spika lazima wasema mh spika .
 
Yatawakuta 2016, waache tu, Siasa inaenda na kubadilika kesho watakuwa wao. Sharia ndio zitakuwa hizi.
 
Back
Top Bottom