Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
Tutaje hapa majimbo ambayo ungependa yaende upinzani mnamo October 2015.

Naanza na ---RORYA.
Ingekuwa vyema hata jimbo la Pinda nalo liende upinzani, ili ile kauli yake ya wapigwe tu imrudie mwenyewe, kwa 'kupigwa' kwenye sanduku la kura.
 
Songea mjini
Nyasa
Njombe
Namtumbo
Mbarali
Temeke
Segerea
Kinondoni
Katavi
Nkasi
Sumbawanga
Chunya
Ludewa
Mtera
Vunjo - Augustino Mrema ni ccm b
Bariadi - John Cheyo ni ccm b
Chakechake - Hamad Rashid ameyumba hadi anafanana na ccm
Mafinga
Rufiji
Simanjiro
Mwanga
Morogoro
Bunda
Maswa
 
Tutaje hapa majimbo ambayo ungependa yaende upinzani mnamo October 2015.

Naanza na ---RORYA.
Ingekuwa vyema pia lile jimbo, ambalo mbunge wake ametishia kwenda msituni, wapinzani walitwae jimbo lake, ili wamhalakishe huyo jamaa akimbilie msituni, ili akawape 'kampani' wanyama wa huko, ambako 'original' ya jina lake limetokea huko, kwa hiyo ni kama atakuwa anarudi Home kwake!
 
binafsi napenda majimbo yote ya dsm yachukuliwe na UKAWA nadhanI watatia adabU hawa mafisadI.
 
Unaposema majimbo yatakayoenda upinzani taja kwanza chama kitakachokuwa tawala October 2015 ili tujue sasa majimbo gani yanatakiwa yaende kwenye chama cha upinzani.Nasema hivo kwa sababu chama unachowaza wewe kama kitakuwa chama tawala kinaweza kikawa ndiyo chama cha upinzani October 2015 ama kile unachoona ni chama cha upinzani kinaweza kikawa ndiyo chama tawala kwa hiyo fafanua kwanza kabla hatujaanza kuchangia

Jamani mbona mhemsahau yule chizi wa misungwi mlevi mbwa watu wake wanateseka yeye kakalia umalaya
 
Charles kitwanga wa misungwi ni mzigo bora hata llusinde wa mtera
 
wenje.
Tundulisu
mnyika.
Nassary
MSIGWA
KIWIA.
hao wameponzwa na dhambi mmoja tuu ya kuwa sehemu ya maamuzi ya kijuha na propaganda za kijinga zidi ya zitto na ikumbukwe kwamba hao wengi walipa ubunge kupitia jina la chadema na kupitia kupotea kwa umaarufu wa chadema mbele ya wananchi basi hao watapoteza majimbo.

WATU WATASHANGAA SANA MAANA 2015 CHADEMA BADALA YA KUONGEZA IDADI YA WABUNGE ITAPUNGUA.

WATALIA NA KUSAGA MENO.
TENA HAO WAKINA WENJE NDIO WALA WASIFIKIRI KABISA KUHUSU UBUNGE.


Utangojea sana hilo litokee, but in vain. Tulia Dawa ikuingie.
 
Jibu sahihi linaweza kuwa, ubungo, mbeya mjini, kawe, arusha, kigoma kazikazini, mpanda, hai, moshi. kwasababu ukawa wamejiandaa kuchukua dola, watakuaje tena wapinzani, ccm watakuwa wapinzani basi wachukue hayo majimbo.
 
lema
mnyika
mbowe
lisu
wenje
hawa bungeni watakuona kwenye TV tu
 
Songea mjini
Nyasa
Njombe
Namtumbo
Mbarali
Temeke
Segerea
Kinondoni
Katavi
Nkasi
Sumbawanga
Chunya
Ludewa
Mtera
Vunjo - Augustino Mrema ni ccm b
Bariadi - John Cheyo ni ccm b
Chakechake - Hamad Rashid ameyumba hadi anafanana na ccm
Mafinga
Rufiji
Simanjiro
Mwanga
Morogoro
Bunda
Maswa

Katavi sio jimbo ni mkoa taja majimbo
 
Ngeleja,,Tizeba,mwigulu,sugu,mdee,,na wengineo kibaooo
 
Babati vijijini CHADEMA watashinda kwa kishindo. Jitu Soni hana chake tena. Diwani wa Bashnet kamanda Tara anasubiri kuapishwa tu.
 
Hassan Ngwilizi jimbo la MLALO,, huyu aasilimia zote hatarudi..sjawahi kumskia akichangia mada bungeni...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom