Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
mahaRAGE,Mahasira,Mkaamia,Shibuda,Nchemba,Na yule aliuziwa na MWAMPAMBA kule MBY VIJIJINI...
 
Lema na sugu ni kama vile hawapo tuh bungeni,huko majimboni kwao ndio laana kila siku
 
Wanajamvi,
Kutokana na bunge letu kutawaliwa na ngojera na mipasho ni dhahiri kwamba kutakuwa na lundo la wambunge ambao hawatarudi bungeni 2015. Mfano hai wa kundi hili ni Juma Kamia, Shibuda, John Komba. Hawa ni maarufu kwa mipasho zaidi ya Khadija Kopa. Kwa heshima na taadhima naomba iongezeeni list hii ndefu. Kwa manufaa ya kuujuza uma ni vyema kutaja sababu zitakazopelekea kutokurudi kwao..!
Kamata orodha hiyo Broo

Tundu Lissu
Highness Kiwia
Halima Mdee
Wenje
Machemli
Sylivester Kasulumbayi
Prof. Kulikoheya
Mbozi Magharibi
Sugu
John Mnyika
Ndesamburo
Mbowe
Mch. Natse
Mch. Msigwa
Tundu Lissu
Godbless Lemah
Rombo


Arfi, Shibuda, ZZK watarudi kwa tiket ya kijani
 
Kamata list Hiyo Broo

Tundu Lissu
Halima Mdee
Nyerer-Musoma mjini
Sugu
Mbozi Magharibi
Mnyika
Kiwia
Wenje
Machemli
Kasulumbai
Opolukwa
Prof Kolikoyela
Mbowe
Rombo
Ndesamburo
Mch. Natse
Mch. Msigwa
Lemah

Zitto, Said Arf na Shibuda watarudi
 
wenje.
Tundulisu
mnyika.
Nassary
MSIGWA
KIWIA.
hao wameponzwa na dhambi mmoja tuu ya kuwa sehemu ya maamuzi ya kijuha na propaganda za kijinga zidi ya zitto na ikumbukwe kwamba hao wengi walipa ubunge kupitia jina la chadema na kupitia kupotea kwa umaarufu wa chadema mbele ya wananchi basi hao watapoteza majimbo.

WATU WATASHANGAA SANA MAANA 2015 CHADEMA BADALA YA KUONGEZA IDADI YA WABUNGE ITAPUNGUA.

WATALIA NA KUSAGA MENO.
TENA HAO WAKINA WENJE NDIO WALA WASIFIKIRI KABISA KUHUSU UBUNGE.

Oooh!but dreaming is free.
 
Wanajamvi,
Kutokana na bunge letu kutawaliwa na ngojera na mipasho ni dhahiri kwamba kutakuwa na lundo la wambunge ambao hawatarudi bungeni 2015. Mfano hai wa kundi hili ni Juma Kamia, Shibuda, John Komba. Hawa ni maarufu kwa mipasho zaidi ya Khadija Kopa. Kwa heshima na taadhima naomba iongezeeni list hii ndefu. Kwa manufaa ya kuujuza uma ni vyema kutaja sababu zitakazopelekea kutokurudi kwao..!

MBOE NA ZITO.wametumia muda wao mwingi ktk isue nyepesi,wananchi wao wakihaha
 
HAPA WAPO WENGI TENA WENGNE WALIBEBWA NA UPEPO WA UPINZANI NA KUJICHANGANYA KWA CCM KATIKA UTEUZI WAO WA WAGOMBEA: KUNDI HILI LINA WATU KAMA:- EZEKIA WENJE NYAMAGANA (alikuwa awe na kahungwa) MCH PETER MSIGWA IRINGA TOWN,(angekuwa na mwakalebela) JOHN MNYIKA UBUNGO (Alikuwa awe na nape) Wengne Ni Akina Joseph Mbilinyi Mbeya Mjn, Prof Kolikohigi Kahigi Muhambwe, Tundu La Choo Lisu Ikungi, Mbowe Hai, Idi Azan K'ndoni, Highnes Kiwiya Ilemela, Ismail A, Rage Tabora, Mizengo K. Pinda Mpanda Na Wengne Kibao Ambao Hawataweza Kurudi Kama Ccm Wakisahihsha Makosa Ya 2010...!
 
Anna Makinda,
Job Ndu_ _ _,
Job Lusinde,
 
1-Hamis Kigwangala(Nzega)
2-Ezekiel Maige(Msalala)
3-Selemani Zedi(Bukene)
Hawa kurudi mjegoni 2015 Ni mbinde Ni rahisi kwa senene(panzi) kupenya kwenye matobo ya mosquito net.Labda kwa ndumba.
Umemsahau Athumani Mvutakamba,
 
Lusinde(kibajaji)
Mwigulu michemba
Shibuda
Zitto
pinda
makinda
kapuya
lowasa
komba
ndugai
zungu
sophia simba
mrema
celina kombani
wengine kesho ntawataja
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom