Msukule Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 296
- 58
wenje.
Tundulisu
mnyika.
Nassary
MSIGWA
KIWIA.
hao wameponzwa na dhambi mmoja tuu ya kuwa sehemu ya maamuzi ya kijuha na propaganda za kijinga zidi ya zitto na ikumbukwe kwamba hao wengi walipa ubunge kupitia jina la chadema na kupitia kupotea kwa umaarufu wa chadema mbele ya wananchi basi hao watapoteza majimbo.
WATU WATASHANGAA SANA MAANA 2015 CHADEMA BADALA YA KUONGEZA IDADI YA WABUNGE ITAPUNGUA.
WATALIA NA KUSAGA MENO.
TENA HAO WAKINA WENJE NDIO WALA WASIFIKIRI KABISA KUHUSU UBUNGE.
Hao lazima warudi kwani ndiyo wanaoipelekea serikali moto wa makalio na inajamjamba nyingi wanapohoji maslahi ya wananchi ............hayo majembe yanaifanya CCM ikose usingizi.