Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
1-Hamis Kigwangala(Nzega)
2-Ezekiel Maige(Msalala)
3-Selemani Zedi(Bukene)
Hawa kurudi mjegoni 2015 Ni mbinde Ni rahisi kwa senene(panzi) kupenya kwenye matobo ya mosquito net.Labda kwa ndumba.
 
wenje.
Tundulisu
mnyika.
Nassary
MSIGWA
KIWIA.
hao wameponzwa na dhambi mmoja tuu ya kuwa sehemu ya maamuzi ya kijuha na propaganda za kijinga zidi ya zitto na ikumbukwe kwamba hao wengi walipa ubunge kupitia jina la chadema na kupitia kupotea kwa umaarufu wa chadema mbele ya wananchi basi hao watapoteza majimbo.

WATU WATASHANGAA SANA MAANA 2015 CHADEMA BADALA YA KUONGEZA IDADI YA WABUNGE ITAPUNGUA.

WATALIA NA KUSAGA MENO.
TENA HAO WAKINA WENJE NDIO WALA WASIFIKIRI KABISA KUHUSU UBUNGE.
naona tangu zitto atimuliwe umewageuka kabisa makamanda wenzako. Wewe lazima ulikua unafaidika na zitto.
 
braza Zitto, Rage, Mahenge-makete naenda kumtoa mwenyewe hata aende kwa Mwakipande Jr
 
Hizo Listi mnazozitaja, ni kutokana na maamuzi ya wapiga kura wa maeneo husika au kwa hisia zenu? Siasa hazipo hivyo, kuweni wakweli. Shibuda labda asiamue kugombea, lakini wasukuma lazima wamchague
 
Mh. Mnyika mchapakazi kazi kweli, sijui atabahatika kutumia Laptop zake tena kuhesabia kura 2015?
 
Ngeleja, Kawambwa, Nkamia, Rage, Na CCM wote kwa ujumla. Waondoke zao hao...nyambafu
 
wabunge wengi hawatarud mjengon na baada ya uchaguz walioshindwa wengi watakimbilia mahakaman haswa lisu
 
Mheshimiwa malole dodoma mjini
mohamedi misanga singida magharibi
Wanajamvi,
Kutokana na bunge letu kutawaliwa na ngojera na mipasho ni dhahiri kwamba kutakuwa na lundo la wambunge ambao hawatarudi bungeni 2015. Mfano hai wa kundi hili ni Juma Kamia, Shibuda, John Komba. Hawa ni maarufu kwa mipasho zaidi ya Khadija Kopa. Kwa heshima na taadhima naomba iongezeeni list hii ndefu. Kwa manufaa ya kuujuza uma ni vyema kutaja sababu zitakazopelekea kutokurudi kwao..!
 
Ole medei,ole sendeka, maghembe na domo lake km chai jaba, ahmad rashid, Lowasa, manyanya, lucy nkya,mwigulu..
 
wenje.
Tundulisu
mnyika.
Nassary
MSIGWA
KIWIA.
hao wameponzwa na dhambi mmoja tuu ya kuwa sehemu ya maamuzi ya kijuha na propaganda za kijinga zidi ya zitto na ikumbukwe kwamba hao wengi walipa ubunge kupitia jina la chadema na kupitia kupotea kwa umaarufu wa chadema mbele ya wananchi basi hao watapoteza majimbo.

WATU WATASHANGAA SANA MAANA 2015 CHADEMA BADALA YA KUONGEZA IDADI YA WABUNGE ITAPUNGUA.

WATALIA NA KUSAGA MENO.
TENA HAO WAKINA WENJE NDIO WALA WASIFIKIRI KABISA KUHUSU UBUNGE.
Uliowataja majimboni mwao wana nguvu,una chuki nao 2
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom