Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
Kiwia, msigwa, Lisu, Mdee, Shibida, Maji Marefu, Makinda, Pinda, Sugu,
 
wenje. Tundulisu mnyika. Nassary MSIGWA KIWIA. hao wameponzwa na dhambi mmoja tuu ya kuwa sehemu ya maamuzi ya kijuha na propaganda za kijinga zidi ya zitto na ikumbukwe kwamba hao wengi walipa ubunge kupitia jina la chadema na kupitia kupotea kwa umaarufu wa chadema mbele ya wananchi basi hao watapoteza majimbo. WATU WATASHANGAA SANA MAANA 2015 CHADEMA BADALA YA KUONGEZA IDADI YA WABUNGE ITAPUNGUA. WATALIA NA KUSAGA MENO. TENA HAO WAKINA WENJE NDIO WALA WASIFIKIRI KABISA KUHUSU UBUNGE.
Ahaaa!!! Kumbe weye ndiye nke ntarajiwa wa huyu msaliti Zitto!!!
 
joseph selasini(chadema) mbunge wa rombo yaani huku jimboni hajafanya chochote zaidi ya kujenga ghorofa nyumban kwake
 
wenje.
Tundulisu
mnyika.
Nassary
MSIGWA
KIWIA.
hao wameponzwa na dhambi mmoja tuu ya kuwa sehemu ya maamuzi ya kijuha na propaganda za kijinga zidi ya zitto na ikumbukwe kwamba hao wengi walipa ubunge kupitia jina la chadema na kupitia kupotea kwa umaarufu wa chadema mbele ya wananchi basi hao watapoteza majimbo.

WATU WATASHANGAA SANA MAANA 2015 CHADEMA BADALA YA KUONGEZA IDADI YA WABUNGE ITAPUNGUA.

WATALIA NA KUSAGA MENO.
TENA HAO WAKINA WENJE NDIO WALA WASIFIKIRI KABISA KUHUSU UBUNGE.

Mimi Mbunge wangu aliniaidi kuleta maji kama hayajafika nitaungana na wananchi wenzangu kumuhoji alikuwa anafanya nn zaidi ya kuwa msemaji wa chama na kutusahau sisi wana sinza, kimara, manzese, mbezi na Goba....nachelea kusema anaweza hasirudi
 
Hizo Listi mnazozitaja, ni kutokana na maamuzi ya wapiga kura wa maeneo husika au kwa hisia zenu? Siasa hazipo hivyo, kuweni wakweli. Shibuda labda asiamue kugombea, lakini wasukuma lazima wamchague
Umetudhalilisha wasukuma. Sisi siyo misukule kama wa kule Tanga na Bagamoyo.
 
nadhani 2015 tutakuwa na katiba mpya na kila mkoa utatoa wabunge wawili Me na Ke, hivyo wabunge wengi hawatarudi
 
kagasheki,masele,ndugai,nyangwine,mdee,makongoro,mwandosya,lusinde,shibuda,zitto,zambi,kigoma mjin,arfi,ole nanguro,selasin,kilango,mwakiposa n.k
 
Achen ushabik tuongee ukweli,wasio rud hawa hapa
Wenje
Machemli
Mnyika
Msigwa
Lowasa make atakuwa rais wa JMT
Na ZZK coz atapumzika siasa kwa muda
 
Dr. shola paston atatinga bungeni 2015 jimbo la ileje huku kibona akibakia kusuka nyungo hk kwao. pplz' power!
 
Wabunge wote wa chadema waliopo hakuna hata mmoja atakayerudi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom