Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
Unaota ww wabunge wa cdm watapita ila wa ccm ni wachache labda filikunjombe,zambi, na magufuli wawezapta
 
wenje.
Tundulisu
mnyika.
Nassary
MSIGWA
KIWIA.
hao wameponzwa na dhambi mmoja tuu ya kuwa sehemu ya maamuzi ya kijuha na propaganda za kijinga zidi yzitto na ikumbukwe kwamba hao wengi walipa ubunge kupitia jina la chadema na kupitia kupotea kwa umaarufu wa chadema mbele ya wananchi basi hao watapoteza majimbo.

WATU WATASHANGAA SANA MAANA 2015 CHADEMA BADALA YA KUONGEZA IDADI YA WABUNGE ITAPUNGUA.

WATALIA NA KUSAGA MENO.
TENA HAO WAKINA WENJE NDIO WALA WASIFIKIRI KABISA KUHUSU UBUNGE.
Abantu boona ti balolwa,ebilolwa bisigaile bukoba owanyu.mala abalikuzoola okwo bukoba mwinebishambu omumitwe ni amoi naiwe.
 
wenje.
Tundulisu
mnyika.
Nassary
MSIGWA
KIWIA.
hao wameponzwa na dhambi mmoja tuu ya kuwa sehemu ya maamuzi ya kijuha na propaganda za kijinga zidi ya zitto na ikumbukwe kwamba hao wengi walipa ubunge kupitia jina la chadema na kupitia kupotea kwa umaarufu wa chadema mbele ya wananchi basi hao watapoteza majimbo.

WATU WATASHANGAA SANA MAANA 2015 CHADEMA BADALA YA KUONGEZA IDADI YA WABUNGE ITAPUNGUA.

WATALIA NA KUSAGA MENO.
TENA HAO WAKINA WENJE NDIO WALA WASIFIKIRI KABISA KUHUSU UBUNGE.

Mkuu,unamaanisha unachokisema au unasema kwakua una nafasi ya kusema?
 
Nyambari Nyagwine wa Tarime, ameanza kuaga, kwani alisaidiwa na polisiccm kushinda Ubunge.
 
Jamani tuwe tunaweka post za maana kama hatuna cha maana tulale.Wewe unapanga ambao hawatarudi bungeni wewe ni Mungu.Je ukisema fulani hatarudi halafu akarudi utaficha wapi uso wako.
 
Salome Mwambu wa Iramba mashariki. Welia Omari lazima achukue jimbo hilo kupitia Chadema.
 
Vizee vyote havirudi labda wamtumie Prof. Majimarefu mzee wakujisevia mabmw ya watu.
 
1.Nshashu=Nkenge
2.Mbunge wa Bukoba vijijini.
3.Mbunge wa Kyelwa.
4.Said Arfi
5.Zitto.
6.Shibuda
7.Obama
8.Nchambi
 
Omari Nundu wa Tanga huyu hana msaada wowote kwa watu wa tanga na huyo jamaa anayeitwa lusinde anawadhalilisha sana akina mama
 
Paul John Lwanji-Manyoni magharibi huyu yupo bungeni sababu jimbo lake hakuna mpinzani wa maana.
 
professa Anna Tibaijuka, Mwijage, Rweikiza, Asumpter, Kagasheki, Magufuli, Penina, Conchester na Blandes
 
Jituson virjal-babati mjini
na kiserian chambili- babati (v) mbona mmewasahau nao pia out 2015
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom