Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

Status
Not open for further replies.
Abantu boona ti balolwa,ebilolwa bisigaile bukoba owanyu.mala abalikuzoola okwo bukoba mwinebishambu omumitwe ni amoi naiwe.
Nikwo waitu,Ogu namala amani gangi utushonesa wakati ababunge baitu karibu boona talimu kantu,baikaile a porojo ne ilangila ,Bukoba bilibi amaendeleo agalio ngaletwa abantu binafsi,ababunge tibaina ekyo baikutujuna,gyo ombyalo olebe enjala eliyo,amaizi aliyo mbali gaikugulwa edebe sh 500 ,emiiga elayomile chonka ababunge baliyo na abandi kwema twabachagua titukababonaga,nko owo waitu Bukoba vijijini agende alebe emiiga ya Keikome na Kashura elayomile buzima noutao ekisima kiom ekyoubeiyesa chei,abantu bilebi nokwoga balekeile ,shana juba bajunilwe enjula.BAGAMBILA BALINSI.....
 
Aeshy Hiraly a.k.a Asha jimbo Swanga,
SABABU;form two doja....hakidhi vigezo va katiba mpya.
 
Hata wa bukoba vijijini humjui kwa jina ashuo tu atapita kwa 80% hivi utawaeleza nini watu wa kazinja,kemondo,butahyaibega,kabaragaine,rukoma,kanyangereko,izimbya,ibaraizibu n.k kwa rweikiza?
1.Nshashu=Nkenge
2.Mbunge wa Bukoba vijijini.
3.Mbunge wa Kyelwa.
4.Said Arfi
5.Zitto.
6.Shibuda
7.Obama
8.Nchambi
 
Malocha -jimbo la kwela, Aeshi-Sumbawanga mjini, Kandege-kalambo na Kessy-nkasi
 
Aeshy Hiraly a.k.a Asha jimbo Swanga,
SABABU;form two doja....hakidhi vigezo va katiba mpya.

Huyu alisoma nna dada yangu Mazwi Sec kabla hawajamtimua shule , kaniambia alikuwa anashinda bangwe analanduka maganja
 
Hata wa bukoba vijijini humjui kwa jina ashuo tu atapita kwa 80% hivi utawaeleza nini watu wa kazinja,kemondo,butahyaibega,kabaragaine,rukoma,kanyangereko,izimbya,ibaraizibu n.k kwa rweikiza?
Tuwe realistic,ni kweli jina lake nilikuwa nimelisahau kwani tangia nimpigie kura sijawahi kumuona.To be honest na tuache ushabiki,kama huko karibu naye muulize ni ktu gani amewafanyia watu wa Bukoba vijijini tangu achaguliwe kuwa mbunge?Mind yoy ni nadra sana kwwa Bk vijijini Mbunge kupewa terms mbili labda kama kuna exceptional performance.Bukoba vijijini imekuwa na Bahati mbaya kama zilivyo sehemu nyingi za mkoa wa Kagrea kwa kupata wabunge ambao hawana vision na ambao wanachukulia ubunge kama ajira.Sasa hivi ndugu yangu watu wa Bukoba vijijini wana shida nyingi sana ikiwemo shida ya maji kwa vijiji vya Kemondo Rwagati,Rulongo,Kanazi,Kansenene, na vinginevyo vingi kwani mito ya asili imekauka,walitegemea mbunge angepiga kelele Bungeni kudai visima hata kama serikali itakataa au kutoa ahadi hewa,lakini yaelekea kwa vile yuko mbali na wananchi hajui tatizo ilo kubwa sana,tatizo la ugonjwa wa mnyauko na matattizo mengine mengi ambayo hayajui kwani yeye anaishi Dar na uwa anakuja kwa nadra sana kuangalia maendeleo ya shule yake pale Kyetema ya ''OMWANA ASHOME''.Na yaelekea wale bootleakers wa vijijini ambao anawasiliana nao wanampa imani kuwa hali ni shwari na wananchi wana imani naye,KWA LIPI?Honestly 2015 hana chake na kama CCM watamrudisha rest assured kuwa jimbo litaenda upinzani.
 
Nikwo waitu,Ogu namala amani gangi utushonesa wakati ababunge baitu karibu boona talimu kantu,baikaile a porojo ne ilangila ,Bukoba bilibi amaendeleo agalio ngaletwa abantu binafsi,ababunge tibaina ekyo baikutujuna,gyo ombyalo olebe enjala eliyo,amaizi aliyo mbali gaikugulwa edebe sh 500 ,emiiga elayomile chonka ababunge baliyo na abandi kwema twabachagua titukababonaga,nko owo waitu Bukoba vijijini agende alebe emiiga ya Keikome na Kashura elayomile buzima noutao ekisima kiom ekyoubeiyesa chei,abantu bilebi nokwoga balekeile ,shana juba bajunilwe enjula.BAGAMBILA BALINSI.....
Bali iguru kuulila.taina kikunshasa nka kubona amahanga agandi gaina abantu alafu ichwe nitwebembelwa neebiba.olebe ekiiba kya nkenge kikora okusiima batai bakyo wakumanya oti eyokikuluga tabayo shida.yahani buhaya tusigaize eilanga lyakala,kyonka mwaa tainakyo tulikugasha.iwe olebe omumukate gwe'nsi titwinayo muntu.
 
Hata wa bukoba vijijini humjui kwa jina ashuo tu atapita kwa 80% hivi utawaeleza nini watu wa kazinja,kemondo,butahyaibega,kabaragaine,rukoma,kanyangereko,izimbya,ibaraizibu n.k kwa rweikiza?
amu umekuwa mwenyeji kabisa
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom