Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 772
- 392
Tuseme sasa umeshinda, wote akina shibuda, arfi, abwao,... Ni makamanda, tena wapambanaji hodari! UmeridhikaUzuri wa watu wa CDM nipale mwanachama wa CDM anapo hama kuhamia chama kingine huitwa msaliti
Lakini akitokea chama kingine na kujiunga na CDM huitwa KAMANDA.
Hataka kama ni mchafu vipi au kama kafukuzwa au kazeeka mpaka kucha zinangonka achilia meno basi wao watampachika majina mazuri tu.