Wabunge Chiku Abwao, Mhonga watimkia ACT-Wazalendo

Wabunge Chiku Abwao, Mhonga watimkia ACT-Wazalendo

Inaelekea, ataendelea kusafiri tena toka "Safari ya matumaini" hadi "Safari ya uhakika."

NCCR,CHADEMA na sasa ACT? Haishiwi safari huyu au ni Vasco DaGama wa kisiasa...?
Hahaasa ma Vasco Da Gama wako wengi sana hadi wa kisiasa.
 
Uzuri wa watu wa CDM nipale mwanachama wa CDM anapo hama kuhamia chama kingine huitwa msaliti
Lakini akitokea chama kingine na kujiunga na CDM huitwa KAMANDA.
Hataka kama ni mchafu vipi au kama kafukuzwa au kazeeka mpaka kucha zinangonka achilia meno basi wao watampachika majina mazuri tu.

kaka na wewe wa kwenu waiteni maluteni basi kwani shida ipo wapi
 
Hapana chiku abwao ni moja ya wana mageuzi ya kweli Hapa nchini huyu mama ni mwanamke shujaa sana amekomaa kisiasa na niyeye aloyechangia mafsnikio ya huyoo mzigwaa..!
 
Back
Top Bottom