Wabunge Chiku Abwao, Mhonga watimkia ACT-Wazalendo

Wabunge Chiku Abwao, Mhonga watimkia ACT-Wazalendo

Huyo chiku abwao ni mchumia tumbo,amehamia ACT ili agombee viti maalum,alikua nccr mageuzi mbunge viti maalamu,akahamia chadema akapewa viti maalum na sasa ACT....mwaka 2020 atahamia tadea ili apate viti maalum

Huko CHADEMA asingeweza kupewa nafasi hiyo ya ubunge viti maalumu?

Mwaka huu, mengi yatashuhudiwa....
 
Huenda kaona hataweza kuendana na speed ya CHADEMA msimu huu
 
Chiku Abwao, Huyu ni mwenyekiti mkoa wa Iringa CHADEMA, aliyempa tabu sana mh. Lukuvi jimboni kwake.

Wabunge 10 wamehama vyama walivyokuwa wanachama walipoingia Bungeni mwaka 2010
. Katika hao ...

Zitto Kabwe) sasa ni wanachama wa ACT.

Chanzo: Zitto
Mkuu heshima yako.Imenilazimu ni-edit bandiko lako ila nilipokoleza cjakulelewa.Maana ukweli ni kwamba ZZK hajahama CDM.
 
Hivi huyu Chiku Abwao hadi unapost ni post ipi iliyomuita msaliti? Au unataka kuwatia watu kauli mdomoni?

Waliotoka CDM wote mumewaita wasaliti bila kujali wameenda wp na msaliti mkubwa kwenu ni ZZK.
Labda ww ni mgeni na siasa za CDM au ulikuwa hupitii magazeti na mitandao ya kujamii hasa huu wa jf.
 
Chiku Abwao, Huyu ni mwenyekiti mkoa wa Iringa CHADEMA, aliyempa tabu sana mh. Lukuvi jimboni kwake.

Wabunge 10 wamehama vyama walivyokuwa wanachama walipoingia Bungeni mwaka 2010. Katika hao

i) 1 ( John Shibuda) kajiunga na TADEA,

ii) 2 ( Said Arfi na Philipa Mturano) wamejiunga na CCM,

iii) 2 ( James Lembeli na Esther Bulaya) wamejiunga CHADEMA na

iv) 5 ( Moses Machali, Mhonga Ruhwanya, Chiku Abwao, Anna-MaryStela Mallack na Zitto Kabwe) sasa ni wanachama wa ACT.

Chanzo: Zitto

Kwanza tuliambiwa wabunge 50 kutoka vyama mbali mbali watajiunga na ACT, ah, kumbe wabunge wenyewe ni wa viti maalumu tene baada ya kushindwa kwenye kura ya maoni, haya watawapata wengi maana orodha ya waliodondoka kwenye kura ya maoni ni ndefu.
 
Mkuu nikumbushe hivi bulaya ni viti maalum au ni mbunge wa jimbo?
 
Pengine:

1. Alitamani kugombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA ila amekosa nafasi hiyo baada ya Msigwa kuibuka kidedea?

2. Ana mahaba na siasa za Zitto toka awali na hivyo amemua kumfuata ACT-Wazelendo?

3. Labda, labda, labda.....

Mwisho: ana uhuru kufanya apendacho ilimradi hajavunja sheria yoyote.
Chiku Abwao! Huyu mama enzi zile za NCCR ya Mrema alikuwa moto kisha akaenda CHADEMA na sasa ACT naona bado yupo kwenye safari ya matumaini
 
Ukweli kuhusu huyu Mama Abwao, Nakumbuka tulivyoanza naye harakati za Kumchagua Msigwa alionesha ushujaa wa hali ya juu ila mara baada ya Kuchaguliwa viti maalum huyu hajawahi kufanya mkutano pamoja na Msigwa labda mpaka pawe na viongozi wa kitaifa.

Kuna kipindi walikuwa na Ugonvi na Msigwa baada ya kuhisiwa kuwa anakisaliti chama ikafika kipindi akapotea kabisa.

Kuibuka kwa Kijana Patrick Sosopi ndio kuliko mvunja Nguvu huyu mama baada ya yeye kuwa analitaka Jimbo la Isman. Kiukwe huyu dogo kajitambulisha sana kwa Wana Isman tofauti na huyu mama na ndiyo nadhani kilichomfanya aende ACT baada ya Kuona Hana nafasi ya kupitishwa kugombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema. ACT ameenda Kuungana na KAPWANI ambaye mwaka 2010 aliuza jimbo kwa Lukuvi baada ya kujitoa dakika za Mwisho na akahahidiwa Milioni 25 akapewa Milioni 10 na inasadikiwa Mpaka leo hiyi hela hajamaliziwa. Baada ya kuuza Jimbo Akapalalaizi akawa ni mtu wa kubeba tu.
 
Waliotoka CDM wote mumewaita wasaliti bila kujali wameenda wp na msaliti mkubwa kwenu ni ZZK.
Labda ww ni mgeni na siasa za CDM au ulikuwa hupitii magazeti na mitandao ya kujamii hasa huu wa jf.

Hiyo mitandao unayopitia wewe naona inaandikwa chumbani kwako, zaidi ya ZZK hakuna mwingine aliyeitwa msaliti nionyeshe post ipi, na ZZK kwa matendo yake yaliyopelekea kufukuzwa pale ni ya kisaliti,huyo Chiku Abwao zaidi ya kumsikitikia wapi ameitwa msaliti? your deluded chuki zinakutia ujinga pole
 
Nilifikiri naongea na mtu mwenye busara na IQ ya kutosha.
Lakini nadhani naongea na kidada cha kazi au kibinti cha shule ya kata.
Ndio maana hata unacho andikia hakieleweki unachanganya tu.
 
Nakumbuka baada ya chadema kumpokea alie kuwa mwenyekiti wa vijana ccm mkoa wa arusha kama sitokosea miaka miwili au mitatu ilio pita mbowe alisema awatopokea tena MIZOGA kutoka ccm sasa naona mizoga ndio inayo pokelewa kwa maandalizi ya mikutano mikubwa tu

#nawaza tu, mizoga ikianza kunuka nini kitatokea??????????
 
Chiku Abwao! Huyu mama enzi zile za NCCR ya Mrema alikuwa moto kisha akaenda CHADEMA na sasa ACT naona bado yupo kwenye safari ya matumaini

Inaelekea, ataendelea kusafiri tena toka "Safari ya matumaini" hadi "Safari ya uhakika."

NCCR,CHADEMA na sasa ACT? Haishiwi safari huyu au ni Vasco DaGama wa kisiasa...?
 
Back
Top Bottom