samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,968
Kweli mkuu zitto ni jembe na najua unajua kuwa kanuni ya JEMBE LAZIMA LITIWE MPINIZito jembe.
Kweli mkuu zitto ni jembe na najua unajua kuwa kanuni ya JEMBE LAZIMA LITIWE MPINIZito jembe.
Alikuwa na mchango sana kwa Taifa??!!!Mbona Chiku Abwao kajichimbia Kaburi mapema hvo?
Dah Rest In Parking Chiku
Huo ndio mfumo wa kivita duniani pote, na hii ni vita ya kumtoa mkoloni mweusi. Anayejitoa kwenye vita ni msaliti na anayejiunga na mapambano ni Kamanda.
Nyie nanyi waiteni majina mpendayo. Mbwa wangu mie simwiti mbwa ana jina lake lakini siwezi kukuzuia kumwita mbwa.
Uzuri wa watu wa CDM nipale mwanachama wa CDM anapo hama kuhamia chama kingine huitwa msaliti
Lakini akitokea chama kingine na kujiunga na CDM huitwa KAMANDA.
Hataka kama ni mchafu vipi au kama kafukuzwa au kazeeka mpaka kucha zinangonka achilia meno basi wao watampachika majina mazuri tu.
Ndugu acha mihemko. Kwenye siasa kila chama hutangaza sera zake na wateja wakuziguata hizo sera ni wananchi wooote bila kujali yupo chama gani. Kwahiyo ukiona mwanachama kakihama chama ujue alikoelekea ndiko anakoamini kuna sera nzuri . Pia usijitie ujinga kuwa upinzani ni cdm tu bali ujue hata ACT ni wapinzani tena wenye sisa za uhakika.
Act ni ccm b
Ajiangalie hasije kuukosa ubunge
Alikuwa na mchango sana kwa Taifa??!!!
Hongereni sana kina abwao filipa na arfi hoja zenu ni za kiwango sana bunge litawakumbuka mda wote si kama wale kina mdee na bwalya
CUF ni CCM ... Vile
CUF ni CCM ... Vile
Huyu Bwalya ndio nani?
"Siongei na mbwa bali naongea na mwenye mbwa"Mbwa wangu mie simwiti mbwa ana jina lake lakini siwezi kukuzuia kumwita mbwa.
Chiku Abwao, Huyu ni mwenyekiti mkoa wa Iringa CHADEMA, aliyempa tabu sana mh. Lukuvi jimboni kwake.
Wabunge 10 wamehama vyama walivyokuwa wanachama walipoingia Bungeni mwaka 2010. Katika hao
i) 1 ( John Shibuda) kajiunga na TADEA,
ii) 2 ( Said Arfi na Philipa Mturano) wamejiunga na CCM,
iii) 2 ( James Lembeli na Esther Bulaya) wamejiunga CHADEMA na
iv) 5 ( Moses Machali, Mhonga Ruhwanya, Chiku Abwao, Anna-MaryStela Mallack na Zitto Kabwe) sasa ni wanachama wa ACT.
Chanzo: Zitto
Yap! alukuwa vizuri sana kihoja, sijui kala maharage ya wapi huyu.???