King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,104
- 98,437
Aiseee bado 45.
Huo ndio mfumo wa kivita duniani pote, na hii ni vita ya kumtoa mkoloni mweusi. Anayejitoa kwenye vita ni msaliti na anayejiunga na mapambano ni Kamanda.
Nyie nanyi waiteni majina mpendayo. Mbwa wangu mie simwiti mbwa ana jina lake lakini siwezi kukuzuia kumwita mbwa.
Pengine:
1. Alitamani kugombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA ila amekosa nafasi hiyo baada ya Msigwa kuibuka kidedea?
2. Ana mahaba na siasa za Zitto toka awali na hivyo amemua kumfuata ACT-Wazelendo?
3. Labda, labda, labda.....
Mwisho: ana uhuru kufanya apendacho ilimradi hajavunja sheria yoyote.
Uzuri wa watu wa CDM nipale mwanachama wa CDM anapo hama kuhamia chama kingine huitwa msaliti
Lakini akitokea chama kingine na kujiunga na CDM huitwa KAMANDA.
Hataka kama ni mchafu vipi au kama kafukuzwa au kazeeka mpaka kucha zinangonka achilia meno basi wao watampachika majina mazuri tu.
Pengine:
1. Alitamani kugombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA ila amekosa nafasi hiyo baada ya Msigwa kuibuka kidedea?
2. Ana mahaba na siasa za Zitto toka awali na hivyo amemua kumfuata ACT-Wazelendo?
3. Labda, labda, labda.....
Mwisho: ana uhuru kufanya apendacho ilimradi hajavunja sheria yoyote.
Kwani wamekuambia wanataka kurudi bungeni?Kwneye hiyo list weney uwezekano wa kurudi Bungeni ni Zitto menyewe na hao hao wawili walionda CHADEMA,waliobaki Bunge watalitizamia kwenye TV
Mkuu hawa wote ni ni wafuasi wa Mbowe kila anachosema Mbowe ni amri yeyote atakayepinga anafukuzwa kama paka.Nyie wapuuzi kabisa kudhani chama chenu kina hati miliki ya upinzani nchini, ndio maana mnaendesha chama kama saccos, na sasa mbowe kauza chama tuone mtakwenda wapi!!
Makapi ya CCM yote yanakwenda Chadema kina Lembeli na wenzake.Hakuna Mbunge wa CCM ambaye amejiunga na ACT so far.. Hahahaa ACT Hoyeeeee
Hawa wabunge wanachanganya wananchi, huyu alifanikisha na cdm kuchukuliwa kwa kata ya lizaboni Songea Mjini. Huyu mama Chiku hakushauriwa vizuri
Basi na akina mchange, abwao, arfi, shibuda & Co. Wote ni makamanda, shida iko wapi?. Furahi sasa tumewaita makamandaMabere Marando alipotoka NCCR mageuzi kuhamia chadema ilionekana ni sawa tu na kuitwa kamanda ila mtu akitoka chadema kwenda chama kingine eti yupo kuua upinzani na kuitwa msaliti
Hakushauriwa vizuri kivipi? Tatizo lenu mnadhani Chadema ndiyo wana hati miliki ya kuwa wapinzani Tanzania, Chiku Abwao, ni mtu mzima kaanza siasa kabla ya kuingia Chadema anajua anachokifanya.Huyu Chiku si angegombea viti maalum? Du hii imeniuma Kweli hakushauriwa vzr au alijikuta desperate akafanya maamuzi kwa hasira. Nakumbuka mchango wake wa mwisho bungeni huyu mama ni mpambanaji na alikuwa anasupport sana CDM. Inawezekana Kuna mengi juu yake hatuyajui au kajichanganya
Zitto anaimarisha chama chake ACT,unazani wapinzani ni CDM tu, hata ACT na chama cha upinzani sasa ulitaka awafukuze ama?
Nyie wapuuzi kabisa kudhani chama chenu kina hati miliki ya upinzani nchini, ndio maana mnaendesha chama kama saccos, na sasa mbowe kauza chama tuone mtakwenda wapi!!
Hakushauriwa vizuri kivipi? Tatizo lenu mnadhani Chadema ndiyo wana hati miliki ya kuwa wapinzani Tanzania, Chiku Abwao, ni mtu mzima kaanza siasa kabla ya kuingia Chadema anajua anachokifanya.