Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 529
- 123
Chiku Abwao, Huyu ni mwenyekiti mkoa wa Iringa CHADEMA, aliyempa tabu sana mh. Lukuvi jimboni kwake.
Wabunge 10 wamehama vyama walivyokuwa wanachama walipoingia Bungeni mwaka 2010. Katika hao
i) 1 ( John Shibuda) kajiunga na TADEA,
ii) 2 ( Said Arfi, Leticia Nyerere na Philipa Mturano) wamejiunga na CCM,
iii) 2 ( James Lembeli na Esther Bulaya) wamejiunga CHADEMA na
iv) 5 ( Moses Machali, Mhonga Ruhwanya, Chiku Abwao, Anna-MaryStela Mallack na Zitto Kabwe) sasa ni wanachama wa ACT.
Chanzo: Zitto