Mm sina sababu ya kiridhishwa na ww wake zangu wananitosha wanavyo niridhisha na nikihitaji kuridhishwa zaidi ninazo nafasi zaidi kwa mujibu wa dini yangu.
Lakini upuuzi wa watu wa CDM mm mungu aninusuru.
Na ainusuru ikulu ya Magogoni kukaliwa na mpuuzi yeyote wa CDM Mubaki na hiyo hiyo ikulu yenu ya mapadri wa karatu.
uzuri wa watu wa cdm nipale mwanachama wa cdm anapo hama kuhamia chama kingine huitwa msaliti
lakini akitokea chama kingine na kujiunga na cdm huitwa kamanda.
Hataka kama ni mchafu vipi au kama kafukuzwa au kazeeka mpaka kucha zinangonka achilia meno basi wao watampachika majina mazuri tu.
teh teh teh teh teh ati unasema akitoka CDM 2 elsewhere anaitwa MSALITI,vice versa anaitwa KAMANDA, bonge moja la equation yaan thamani ya x haipatikanUzuri wa watu wa CDM nipale mwanachama wa CDM anapo hama kuhamia chama kingine huitwa msaliti
Lakini akitokea chama kingine na kujiunga na CDM huitwa KAMANDA.
Hataka kama ni mchafu vipi au kama kafukuzwa au kazeeka mpaka kucha zinangonka achilia meno basi wao watampachika majina mazuri tu.
au sio 'kamanda'!Zitto hakuhama chama Bali alifukuzwa CHADEMA kwa kutumiwa kama akina dada wa Corner Bar
Nyie wapuuzi kabisa kudhani chama chenu kina hati miliki ya upinzani nchini, ndio maana mnaendesha chama kama saccos, na sasa mbowe kauza chama tuone mtakwenda wapi!!
Huyu Chiku si angegombea viti maalum? Du hii imeniuma Kweli hakushauriwa vzr au alijikuta desperate akafanya maamuzi kwa hasira. Nakumbuka mchango wake wa mwisho bungeni huyu mama ni mpambanaji na alikuwa anasupport sana CDM. Inawezekana Kuna mengi juu yake hatuyajui au kajichanganya
Mtoa post hii naomba nikusahihishe kua chiku Abwao sio mwenyekiti wa chadema wa mkoa yeye alikua ni mbunge tu wa Viti maalumu ninae kujuza mm ni mwana chadema nipo hapa Iringa.
Kwa taarifa yako chiku tunashukuru kwakazi aliofanya mwaka 2010 kwenye kampeni kwakuwatia ujasiri vijana wa iringa na kusimama kidete kupigania hakiyao yamsingi yakupiga kula na kulinda kula zao kwailo tunampongeza alishirikiana nasi bega kwa bega lakini pasipo kumung'unya maneno mbunge Wa viti maalumu chiku Abwao hakuna kitu chochote cha kimaendeleo alicho kifanya katika jimbo la iringa mjini au hata katika majimbo mengene amboyo yeye kama mbunge wa viti maalumu alipaswa kuyatazama.
Malanyingi amekua akijitetea kua nimekua nikimuuguza mama yangu mzazi alikua anaumwa na malanyingine amekua akisema nilikua kwenye shughuri ya kumuozesha mwanangu yule wakike kwaiyo nilikua nimetingwa miaka yote mitano ya ubunge wake.
Sisi tunasema aende kwa amani sana kwani tunashukuru kwa mchangowake pia aliweza kushilikiana na wabunge wetu wapambanaji kule bungeni walipokua wana simamia hoja yenye masrahi kwauma nae amekua akiunga mkono hata walipo amua kugoma nakutoka nje.
Pia tuta kumbuka mchango wake wakusimamia uchaguzi mdo wa madiwani songea mjini nakufanya chadema ishinde kata ya lizibon mjini songea.
Lakini kama ataondoka kwashali basi tuta muweka wazi hadi atashangaa mwenyewe kwani tunajua alikua anatamani kuiongoza iringa mjini wakati yeye uwezo wake nimdogo pia hana ushawishi mkubwa kwa jimbo hili kumzidi msigwa.
Iringa katu hatuto ruhusu akili ndogo kuitawala akili kubwa hata kwamtutu wabunduki.
akifa zitto anazikwa na chama chake
Kwa alivyokuwa nadhan no. 2 ni sawa.
Sio Mch.Msigwa,ni kijana mmoja,Makamu mwenyekiti BAVICHA taifa,anaitwa Patrick ole Sosopi.
Hawa wabunge wanachanganya wananchi, huyu alifanikisha na cdm kuchukuliwa kwa kata ya lizaboni Songea Mjini. Huyu mama Chiku hakushauriwa vizuri