Wabunge 10 wa CCM kesho wana ziara ya kuitembelea Clouds Media

Hivi kuna kamati ya bunge iliundwa na bunge kwenda kutembelea wahanga wa tetemeko huko Kagera? ..zile maiti zilizokutwa pwani? ..na maafa mengine kama wale waliouwawa mskitini mwanza n.k...hivi wakifika hapo clouds wanaoneshwa nini?...wanazungumza nini?...je wanawapa mikono nakutoa pole au?
 
Lengo nikuwapa pole clouds media kutokana na tukio lililowakuta LA kuvamiwa.

Wabunge hao ni

1:Hussein Bashe

2:Msukuma

3:Mlinga

4:Mpina

5:Ridhiwani

Wengine Wa 5 ni mawaziri lengo ni kuwapa pole clouds media kwa uvamizi huo.
Waachie ngazi kabisa, nafasi zao zitazibwa na wakenya.
 
Hii hasa imuhusu kibonde na wenziwe wamekuwa wakitumia nguvu nyingi sana kutetea uovu,double standards kabla ya kituo chao kuvamiwa.Natamani kibonde Naye angekutwa atwangwe na kitako cha bunduki,ngwara,kibao mpaka meno na akili vimkae sawa
Wana mtindo huo aisee hasa kama ambae anakuwa attacked ni mtu hao, hata baadhi ya vichwa vya habari vya baadhi ya magazeti hawasomi
 
Mnaomtetea Makonda ni wapumbavu, vita dhidi ya madawa ya kulevya vina uhusiano gani na kuvamia Clouds? Tatizo mlifeli shule na hamtaki kujishughulisha, mnasifia mambo ya kijinga ili mpate kula. Mtu mwenye akili timamu hawezi kumtetea makonda kwa tukio lile
 
Najiuliza makonda anafanya haya hadharani tena kwa rafiki zake wa chanda na pete,je akiwa mafichoni nini kinatokea?.lissu aliona mbali sanaa pale alipo sema tumepata rais wa ajabuu

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Hilo jambo limekuwa exaggerated na limechukuliwa kisiasa kiufupi overrated sana

Aah kutoa pole eti kana kwamba jambo zito limefanyika wakati hakuna uharibifu uliofanyika wala hasara iliyotokea

Sitetei alichofanya makonda lakini hawa wanaodai wanaenda kutoa pole wana lao ,..clouds wanatumika tu ,

Awamu ya matukio na comedy hii
Naamini ikifika kipindi cha Bunge April utajua kwanini wanalikuuza.
 
Ajali nyingi hutokea nchini na kuua watu, hata watu kuuwawa na majambazi kwa bunduki.

Sijawahi kusikia wabunge wakiongozana kwenda kutoa pole kwa wananchi. Hata shida nyingine haswaaaaa mmmmh

Nape kaamua haswa, bonge la chance watimize ila wameulwa ha ha haaaaa

Hii inaonyesha kuwa wanaguswa haswa ya maslahi yao ambayo yanayovunja sheria.

JPM oyeeeeee

Makonda oyeeeeeeee
Huruma kwa wagonjwa
 
Bidada ulishawahi kuimba taarabu kabla?
 
Lengo nikuwapa pole clouds media kutokana na tukio lililowakuta LA kuvamiwa.

Wabunge hao ni

1:Hussein Bashe

2:Msukuma

3:Mlinga

4:Mpina

5:Ridhiwani

Wengine Wa 5 ni mawaziri lengo ni kuwapa pole clouds media kwa uvamizi huo.
Majimboni kwao kuna matatizo mangapi hawaendi...kuwatembelea huo ni unafki mtupu..KWANU CLOUDS KUNA MSIBA MNAENDA KUHANI?
 
Hilo jambo limekuwa exaggerated na limechukuliwa kisiasa kiufupi overrated sana

Aah kutoa pole eti kana kwamba jambo zito limefanyika wakati hakuna uharibifu uliofanyika wala hasara iliyotokea

Sitetei alichofanya makonda lakini hawa wanaodai wanaenda kutoa pole wana lao ,..clouds wanatumika tu ,

Awamu ya matukio na comedy hii
Ninachokiona mimi hapa kwamba wanatuma message kuwa hawakufurahishwa na kilichofanyika. Kwa hivyo namna ya kufikisha ujumbe kwa uzito ni kwenda mahali lilipotokea tukio.
 
Nasubiria Mkulu atasema nini kwa hao wabunge ambao wanataka kwenda. Maana yeye ndio Rais na alichukua fomu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom