Wabunge 10 wa CCM kesho wana ziara ya kuitembelea Clouds Media

Ajali nyingi hutokea nchini na kuua watu, hata watu kuuwawa na majambazi kwa bunduki.

Sijawahi kusikia wabunge wakiongozana kwenda kutoa pole kwa wananchi. Hata shida nyingine haswaaaaa mmmmh

Nape kaamua haswa, bonge la chance watimize ila wameulwa ha ha haaaaa

Hii inaonyesha kuwa wanaguswa haswa ya maslahi yao ambayo yanayovunja sheria.

JPM oyeeeeee

Makonda oyeeeeeeee
Yaani ninavyokuchukia!!! Basi tuu ila punguza mihemko
 
Ajali nyingi hutokea nchini na kuua watu, hata watu kuuwawa na majambazi kwa bunduki.

Sijawahi kusikia wabunge wakiongozana kwenda kutoa pole kwa wananchi. Hata shida nyingine haswaaaaa mmmmh

Nape kaamua haswa, bonge la chance watimize ila wameulwa ha ha haaaaa

Hii inaonyesha kuwa wanaguswa haswa ya maslahi yao ambayo yanayovunja sheria.

JPM oyeeeeee

Makonda oyeeeeeeee
Hv wewe sio kale ka swala kanako cheza mbele ya simba kwa malingo
 
hawana ubavu wa kupingana na Makonda.........Makonda ni Zaidi ya wabunge na mawaziri
Safari hii wabunge wamejifunza kitu lakini nina imani wabunge ni watachukua hatua kwa mbinu za kisayansi zaidi baada ya kugundua kuwa kamati ya ufundi ya makonda imekuwa na ujanja mwingi zaidi
 
kuweni makini wana jf, jambazi Bashite ndo mida yake ya kuvamia hii na he is officially licenced to do UNGESE.Muambie na mwenzako
 
Hilo jambo limekuwa exaggerated na limechukuliwa kisiasa kiufupi overrated sana

Aah kutoa pole eti kana kwamba jambo zito limefanyika wakati hakuna uharibifu uliofanyika wala hasara iliyotokea

Sitetei alichofanya makonda lakini hawa wanaodai wanaenda kutoa pole wana lao ,..clouds wanatumika tu ,

Awamu ya matukio na comedy hii

Yeah kwa kweli sasa wamezidi.

Hapo kuna watu wanali exploit hilo tukio kwa manufaa yao ya kisiasa tu.

Pole ya nini sasa? Kuna mtu kafa?

Heri hata wangeenda Ocean Road kuwapa pole wagonjwa wa saratani.
 
Lengo nikuwapa pole clouds media kutokana na tukio lililowakuta LA kuvamiwa.

Wabunge hao ni

1:Hussein Bashe

2:Msukuma

3:Mlinga

4:Mpina

5:Ridhiwani

Wengine Wa 5 ni mawaziri lengo ni kuwapa pole clouds media kwa uvamizi huo.

Niwashauri tu kuwa wasipoteze muda wao na badala yake waendelee tu na majukumu yao mengine ya Kazi kwani hata wafanyeje ninachojua tu ni kwamba RC Makonda is there to stay period.
 
Hilo jambo limekuwa exaggerated na limechukuliwa kisiasa kiufupi overrated sana

Aah kutoa pole eti kana kwamba jambo zito limefanyika wakati hakuna uharibifu uliofanyika wala hasara iliyotokea

Sitetei alichofanya makonda lakini hawa wanaodai wanaenda kutoa pole wana lao ,..clouds wanatumika tu ,

Awamu ya matukio na comedy hii

wacha waende wasisubiri kama lingetokea baya., kama ungekuwa na mtazamo wa mbali next time hii itazoeleka na kibaya zaidi kama hakikukemewa basi sasa wanaweza kupiga na kuumiza watu mana ni [HASHTAG]#piga[/HASHTAG] kazi tu, akili yako jaribu kuitanua tanua.
 
Lengo nikuwapa pole clouds media kutokana na tukio lililowakuta LA kuvamiwa.

Wabunge hao ni

1:Hussein Bashe

2:Msukuma

3:Mlinga

4:Mpina

5:Ridhiwani

Wengine Wa 5 ni mawaziri lengo ni kuwapa pole clouds media kwa uvamizi huo.
Kwa mujibu wa Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm aliyenyakua 100% ya kura , huo ni usaliti wa kiwango cha kutisha .
 
Ajali nyingi hutokea nchini na kuua watu, hata watu kuuwawa na majambazi kwa bunduki.

Sijawahi kusikia wabunge wakiongozana kwenda kutoa pole kwa wananchi. Hata shida nyingine haswaaaaa mmmmh

Nape kaamua haswa, bonge la chance watimize ila wameulwa ha ha haaaaa

Hii inaonyesha kuwa wanaguswa haswa ya maslahi yao ambayo yanayovunja sheria.

JPM oyeeeeee

Makonda oyeeeeeeee

Ajali na mambo kama hayo hayawatii simanzi hao jamaa
 
Hilo jambo limekuwa exaggerated na limechukuliwa kisiasa kiufupi overrated sana

Aah kutoa pole eti kana kwamba jambo zito limefanyika wakati hakuna uharibifu uliofanyika wala hasara iliyotokea

Sitetei alichofanya makonda lakini hawa wanaodai wanaenda kutoa pole wana lao ,..clouds wanatumika tu ,

Awamu ya matukio na comedy hii
ushauri wako unahusika mkuu....
 
Nyumbani kwa makonda kuna waganga wa kienyeji zaidi 100 wanapishana kila mmoja kwa mda wake kazi yao kubwa ni kuiroga JF na akina Nape nk mpaka awini lengo lske.
 
Keep it up bashite,! Ikiwezekana mteke hadi anaekutetea sasa hivi asije akakugeuka mbeleni.
 
Back
Top Bottom