Wabunge 10 wa CCM kesho wana ziara ya kuitembelea Clouds Media

Tuna
Lengo nikuwapa pole clouds media kutokana na tukio lililowakuta LA kuvamiwa.

Wabunge hao ni

1:Hussein Bashe

2:Msukuma

3:Mlinga

4:Mpina

5:Ridhiwani

Wengine Wa 5 ni mawaziri lengo ni kuwapa pole clouds media kwa uvamizi huo.
ubiri tuwaone wakienda.
 
Hilo jambo limekuwa exaggerated na limechukuliwa kisiasa kiufupi overrated sana

Aah kutoa pole eti kana kwamba jambo zito limefanyika wakati hakuna uharibifu uliofanyika wala hasara iliyotokea

Sitetei alichofanya makonda lakini hawa wanaodai wanaenda kutoa pole wana lao ,..clouds wanatumika tu ,

Awamu ya matukio na comedy hii
Ww ulitakaje?
 
Makonda sasa ni Mungu mbele ya Dsm hakuna jinsi zaidi ya kuombea apate Akili ya kusepa mwenyewe bila shinikizo
 
Lengo nikuwapa pole clouds media kutokana na tukio lililowakuta LA kuvamiwa.

Wabunge hao ni

1:Hussein Bashe

2:Msukuma

3:Mlinga

4:Mpina

5:Ridhiwani

Wengine Wa 5 ni mawaziri lengo ni kuwapa pole clouds media kwa uvamizi huo.

Pole HAITAREJESHA HESHIMA kwenye tasnia ya habari na HAITAONDOA UKWELI kwamba KATIBA IMEVUNJWA (Ibara ya 18), kwani uhuru wa maoni, wa kupata na kusambaza habari PASI NA KUINGILIWA umekiukwa!

POLE ni sawa na kumlambisha mtu asali HUKU WAMKATA VIDOLE VYA MKONO MWINGINE!

[HASHTAG]#HatutakiPoleTunatakaHeshima[/HASHTAG]
[HASHTAG]#MakondaAondoleweLaSivyoPatachimbika[/HASHTAG]
[HASHTAG]#NiiteniMchocheziLakiniNasemaUkweli[/HASHTAG]
 
Yeah kwa kweli sasa wamezidi.

Hakina kuna watu wanali exploit hilo tukio kwa manufaa yao ya kisiasa tu.

Pole ya nini sasa? Kuna mtu kafa?

Heri hata wangeenda Ocean Road kuwapa pole wagonjwa wa saratani.

Waliobomokewa na kufiwa katika tetemeko mliwapa pole ya aina gani? Nothing hurts like betrayal. Ruge was cheated on and betrayed. Wacha apewe pole to console his broken heart.
 
Ajali nyingi hutokea nchini na kuua watu, hata watu kuuwawa na majambazi kwa bunduki.

Sijawahi kusikia wabunge wakiongozana kwenda kutoa pole kwa wananchi. Hata shida nyingine haswaaaaa mmmmh

Nape kaamua haswa, bonge la chance watimize ila wameulwa ha ha haaaaa

Hii inaonyesha kuwa wanaguswa haswa ya maslahi yao ambayo yanayovunja sheria.

JPM oyeeeeee

Makonda oyeeeeeeee
Ng'ombe mwingine huyu
 
Unafikiri watu wote wana roho mbaya kama ya Sizonje.
 
d03797e1771f6c4b7d59cd47fbb2ac53.jpg
 
Ajali nyingi hutokea nchini na kuua watu, hata watu kuuwawa na majambazi kwa bunduki.

Sijawahi kusikia wabunge wakiongozana kwenda kutoa pole kwa wananchi. Hata shida nyingine haswaaaaa mmmmh

Nape kaamua haswa, bonge la chance watimize ila wameulwa ha ha haaaaa

Hii inaonyesha kuwa wanaguswa haswa ya maslahi yao ambayo yanayovunja sheria.

JPM oyeeeeee

Makonda oyeeeeeeee
Akili ya mchwa umeanza. Sasa unawapinga hata CCM wenzako. Hujui kama Mh. Nape ana akili zaidi, weledi, na kasoma vizuri na ana vyeti halali kuliko vyako wewe ukichanganya pamoja na Daudi Bashite?
 
video tunayoiona ni ile makonda anaingia mapokezi na askari ameshika bunduki. je video ya makonda na vijana wake anawapiga wakina sudi iko wapi?????
Unajua clouds hawana akili kama bashite other incidents should remain mystery to avoid unexpected confusion
 
Lengo nikuwapa pole clouds media kutokana na tukio lililowakuta LA kuvamiwa.

Wabunge hao ni

1:Hussein Bashe

2:Msukuma

3:Mlinga

4:Mpina

5:Ridhiwani

Wengine Wa 5 ni mawaziri lengo ni kuwapa pole clouds media kwa uvamizi huo.

Huku kwenda Clouds kuwapa pole kuna ashiria nini?

Watu wengi wanapatwa na matuko ya uharifu lakini sioni wakiandamana kwenda kuwapa pole.

Je inaweza kuashiria mpasuko ndani ya serikali au ndani ya ccm?

Mwakyembe alisema birth certificates kable ya ndoa, raisi akasema hakuna sababu. Huku ni kumshusha hadhi waziri lakini pia inaonekana kila mtu anfanya anvyoona inafaa.

Sasa juizi kwenye chama wameonywa waliokuwa wanapangwa kumwona mbunge wa upinzania wakati wa shida. Wengine leo wametender resignation.

Wakati Makonda anatetewa, naona kundi lingine linakwenda kushadadia difference kati ya clouds na Raisi.

Tutegemee nini?

Mkuu atatuma jeshi la wananchi kwenda kufanay usafi Clouds ili wasiende hawa washadadiaji?

Ni maandamano yasioykuwa halali?

Tutegemee nini hasa kitafuata baada ya kubishana na kudhalilishana kunakoendelea ndani ya serikla na chama chetu?
 
Back
Top Bottom